Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] Russia's strategy of attacking bakhumut and vuhledar in Donetsk oblast aims to delay Ukraine's counteroffensive ,andriy yusov the ukranian defense ministry's main intelligence directorate spokesperson reported on February 15 [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]


Muda ukifika atachakazwa tu hata akikimbilia shimoni[emoji28][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Super pawer anazidi kuishiwa pumzi [emoji28][emoji23][emoji23]

[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] The ongoing Russian offensive isn't comparable to the scale of large scale invasion on 24, as Russia faces equipment issues despite having mobilized power[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Poland wamesema kwamba wana ndege vita chache sana kwa hiyo hawawezi fanya donation kwa Ukraine na wamewashauri Ukraine wakatafute msaada sehemu nyingine.

Naona manyanyaso yameanza sasa. Si walisema wapo pamoja mpaka mwisho wa huu mtanange.
 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] oleksii reznikov will remain the defense minister of Ukraine . president volodymyl zelensiky personally asked him to continue his mission . reznikov said in an interview with Reuters [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Unaongea kwa uhakika sana mpaka unaanza kusema uongo.
 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] volodymyl zelensiky will meet with Joe Biden in Poland.dziennik gazeta prawna reported [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Waziri wa Ulinzi wa UK - Ben Wallace analalamika kwamba hii SMO ya Russia imewa take by surprise. Kwa hiyo hawakuwa wamejiandaa.

Halafu akaongeza kwamba, kwa namna ya upiganaji wa Russia wa kutumia many ammunitions ni tofauti kabisa na upiganaji wa NATO. Na inawawia vigumu ku match hizo ammunitions.

Swali:

Je, haya ndio wanayajua leo? Au ndio wanatafuta sababu ya kumtema mla maunga..?
 
Hivi si tuliambiwa Moja ya malengo ya special military operation ni kwamba ukraine isijiunge NATO [emoji28][emoji23][emoji16][emoji116][emoji116]

[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] NATO is ready to see Ukraine in it's ranks,but only after it defeated a full scale Russian invasion,NATO secretary jeneral Jens stoltenberg said at briefing today [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…