Kinachonishangaza sana mimi ni pale pro upinde wanapodai kuwa russia anapeleka wanajeshi wasio na mafunzo uwanja wa vita ili hali hao untrained soldiers na mateja wa russia wameweza kulizidi na kulishushia kipigo heavy jeshi hodari la ukraine na kukwapua maeneo mbalimbali. Siku ambayo wanajeshi wa russi waliokula mafunzo wakiingia uwanja wa vita sijui milio gani ya ukraine itasikikaUngeniletea ushahidi kuwa walitolewa gerezani na kupelekwa Moja Kwa Moja Frontline ingekuwa vema zaidi maana wewe ndiye uliyesema hayo so una wajibu wa kuthibitisha!
Ile ya mtanzania,ulifeli kuverify maana kilichosema ni mara ya mwisho kijana huyo anawasiliana na ndugu zake na sio tarehe ya kujiunga na Wagner!
Haiwezekani hujui hata kutumia silaha upelekwe Frontline!
Hao walisha Changanyikiwa Kila wakijaribu Kumchafua Wanachafuka wenyeweKinachonishangaza sana mimi ni pale pro upinde wanapodai kuwa russia anapeleka wanajeshi wasio na mafunzo uwanja wa vita ili hali hao untrained soldiers na mateja wa russia wameweza kulizidi na kulishushia kipigo heavy jeshi hodari la ukraine na kukwapua maeneo mbalimbali. Siku ambayo wanajeshi wa russi waliokula mafunzo wakiingia uwanja wa vita sijui milio gani ya ukraine itasikika
Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Dah ila Russia inawapiga Ukraine kihuruma sana.Russia may soon destroy the satellites used by the armed forces of Ukraine
"Components of the civilian infrastructure in space provided to Ukraine for military purposes may become a legitimate target for a retaliatory strike," the Russian FM said.
View attachment 2519201
Anasonga mbele jangwani au maana hatusikii miji anayochukua yeye ni kusonga mbele kila sikuKwasasa Mrusi Anasonga Mbele kwa kasi kubwa Sasa Wamevuka barabara kuu na kuanza shambulio nje kidogo ya kijiji cha BerkhovkaView attachment 2518727
Yaani Basi tu kunamuda mwenyewe Nakwazika sana Kwann Jamaa Hatumii Nguvu sanaDah ila Russia inawapiga Ukraine kihuruma sana.
Kumbe Kuna satellite zinasaidia jeshi la Ukraine na wanauwezo wa kuziharibu lkn waliziacha TU.
Kwa hiyo Putin ni Rais wako ?...Hiyo Tarehe 21 Nisiku ya Mapumziko Rais wa Dunia Atakuwa Mubashara Kuihutubia Dunia
Na Kwavile Dunia Inamuhitaji sana Neno lake Kwetu Ni Dawa!
Putin Mwenyezimungu Akupe Maisha Marefu zaidi Dunia Bado Inakuhitaji
#BREAKING The Kremlin has ordered Russia’s main TV channels to broadcast Putin’s message to the Federal Assembly on February 21.
It will be around an hour according to Peskov.
Ndio uwezo wao Ulipo Ishia
Sio Wangu wa DuniaKwa hiyo Putin ni Rais wako ?...
Zelensky mpumbavu sanaLeo Hypersonics 20 zimepiga miundombinu ya Ukraine maana hakuna ADS ya kuzitungua
Makombora hayo hurushwa machache sababu yana gharama
Wamekufa wanajeshi 3000 wa Ukraine katika mashambulizi hayo
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Leo Hypersonics 20 zimepiga miundombinu ya Ukraine maana hakuna ADS ya kuzitungua
Makombora hayo hurushwa machache sababu yana gharama
Wamekufa wanajeshi 3000 wa Ukraine katika mashambulizi hayo