Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Moja wa Marais huru duniani
- Belarus
-Iran
-China
-Nk
-Russia
-US

Haya ndo mataifa huru the rest tunajua nini kinaendelea.
 
Yaani Basi tu kunamuda mwenyewe Nakwazika sana Kwann Jamaa Hatumii Nguvu sana
Yaani uwezo anao na Wanachokoza Wenyewe Twanga Kweli kweli Dunia Itulie
Mkuu,hebu fikiria,unajua satellite ndio zinawapa taarifa maadui juu ya movement ya askari na vifaa vyao,walipo,wanakokwenda na wanachokifanya.Hali hii inawapa maadui nafasi ya kushambulia.
Urusi wanauwezo mkubwa kabisa wa kuharibu satellite ya nchi yoyote hapa duniani,na hasa za Ukraine kwa sababu wako vitani nae,lkn Cha ajabu hawaziharibu.ila Leo ndio wanatoa onyo kua wataziharibu wakitaka.
Baada ya kusoma hapo ndio nikajua kua kumbe Urusi anaipiga Ukraine kwa huruma,kiungwana na kistaarabu sana.
 
Huwezi kuwa na huruma na mtu anayechinja askari wako kila iitwapo Leo.., Sio kwamba urusi anaipiga ukraine kihuruma,no, urusi ameshatumia resources zake zote tu lakini bado ngoma imedinda!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Habari kama hizi Hawa ndugu zetu wa NATO tawi la East Afrika sijui kama hua wanazisoma kweli.
Ikiwa kaka Mkuu wa NATO anakula Kona ,unafikiri Ukraine atatoboa kweli?
Ingekua nchi kama Algeria ndio Iko nafasi ya Urusi nadhani NATO wangekusanyana kama nzi kwenye ganda la embe.
 
Kama ukraine ameweza kumchakaza urusi akiwa peke yake unataka NATO waingilie kufanya kazi gani Tena [emoji16][emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…