Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🤣
Sababu ya usalama wake, why Russia hakusolve issue ya Ukraine kama USA alivosolve issue ya CUBA
🤣 🤣 🤣 kwamba Russia wakati anapiga biti wote nyie hamkusikia? Marekani alifanya nini hata baada ya Russia kusema hataki apandikize majeshi yake hapo Ukraine na Ukraine azingatie mkataba wa Minsk?

Je, Russia alimuwekea vikwazo vyovyote vya kiuchumi huyo Marekani kwenye mgogoro wa Cuba?
 
Unajipapasa mwenyewe
"Vikwazo dhidi ya Urusi ni mzizi wa maovu yote": Chama cha Uhuru cha Austria kinataka ipigwe kura ya maoni kuondoa vikwazo ambavyo ulaya imeiwekea Urusi lakini vinawatesa wenyewe kwa kuongeza gharama za maisha.
Hahahahah wamempiga cheni Dubu matokeo yake anawaburuza akiwa na cheni yake shingoni na wanaumia kweli kweli
 
Putins Bastard whooping Ukraines asses real quick🤣🤣🤣
 
Na ndio maan mrusi kwasasa utaona anaptsh makombora yake juu ya anga za NATO , na zaid kuanza kufanya mashambuliz makali zaid.

Ila mmarekan kamwe hawez wek mguu kirahis maan anajua kunamataifa yapo nyuma ya Mruss na yenye nguvu
nlikua na hope urusi kushinda vita ila nimekuja kujua marekan alikua mbele ya muda sana kuanzia kwenye nord stream Urusi hatashinda hii vita cha kufanya urusi ni aingie vitan na marekan mchezo uishe basi
 
Dollar Crash Coming — Robert Kiyosaki

Famed writer and economist Robert Kiyosaki has warned investors that the stock markets are about to crash and the US economy is heading into a “depression.”

According to the “Rich Dad Poor Dad” co-author, this will be fueled by the fact that the US Federal Reserve will print billions in “fake money.” “[A] Giant crash is coming. Depression possible,” Kiyosaki tweeted late Sunday.

He also wrote that by 2025, Bitcoin would hit $500,000, followed by $5,000 and $500 price marks for gold and silver, respectively. He explained that this will be “because faith in the US dollar, fake money, will be destroyed,” adding that Bitcoin is the people’s money, and gold and silver are “God’s money.”

Subscribe to RT
 
Mbna Bank ya BRICS ipo zamni tu. Now wapo kutengeneza currency yao
 
Leo Hypersonics 20 zimepiga miundombinu ya Ukraine maana hakuna ADS ya kuzitungua

Makombora hayo hurushwa machache sababu yana gharama

Wamekufa wanajeshi 3000 wa Ukraine katika mashambulizi hayo
It hurts I'm going to have to put you to 'ignore list' again.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Siasa nyingi ila kipondo cha PUTIN kiko palepale, utakuwa ni ujinga wa karne kumwacha Putin aikalie Ukraine na kuweka mamluki wake, ni suala la muda tu.. hata kama itakuwa miaka 10 ila ni lazima ang'oke.

Haka ka move kake ka pale Bakhmut ni ka muda tu.
 
Tulieni tulieni, mlitaka kukapindua mkakwama baada ya Mwamba kuingilia kati
Soma hapa itakusaidia ili kujua kwamba ni suala la muda tu kinachofanyika kwa Urusi ni killing softly.

 
Hayo ni maandishi yameandikwa na mtu kwa utashi wake pengine na interest zake. Vipi wewe kwa akili zako( lakini kama unazo) unaonaje?
 
Ila wakuu tuache masihara, Urusi anabonda jamani, minato inabondwa huko mpaka huruma.

Jeshi legelege la machoko la US liende nalo likaaibishwe kama lilivyoaibishwa Syria. Minato iko hoiii kwa moto wanaopelekewa..

Hayo ni maandishi yameandikwa na mtu kwa utashi wake pengine na interest zake. Vipi wewe kwa akili zako( lakini kama unazo) unaonaje?
Sawa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…