Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] the Russian federation May increase nuclear blackmail aimed at disrupting the visit of US president joe Biden to Europe [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]
 
Jana kuna kundi kubwa la watu limeuliwa, lilionekana likiingia kwenye Base yao
Bila shaka ni unawazungumzia Hawa[emoji1787][emoji28][emoji2]

[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]in the southern city of berdiansk a fire broke out at the recreation facility used as military hospital by Russians[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]
 
Mkong'oto unaendelea [emoji91][emoji91][emoji123][emoji123][emoji1255][emoji1255]

[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] explosion range out in occupied Donetsk city: the Russian military barracks and so called "DPR" prosecutor's office were struck [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]
 
Waziri Mkuu Wa Hungary Anasema
wa
tadumisha uhusiano wao wa kiuchumi na Urusi, na wanashauri ulimwengu wote wa Magharibi kufanya hivyo, kwa sababu bila uhusiano hakutakuwa na usitishaji wa mapigano au mazungumzo ya amani.

Pia aliongeza kuwa njia pekee ya Hungary kuishi kwa amani ni kujiepusha na vita vya Urusi na Ukrain kwani si vita vyao
Yaani wote Kwenye NATO NA EU

Wangelikuwa na Msimamo wakutofungamana na Upande wowote na Kuwa Kibaraka wa US
Hali ya Dunia Ingelikuwa Swari sana


Hungary will maintain economic relations with Russia and advises the West to do the same

Hungarian Prime Minister Viktor Orban, during the traditional annual address to fellow citizens, "We will maintain our economic relations with Russia, and we advise the entire Western world to do the same, because without relations there will be no cease-fire or peace talks," Hungarian Prime Minister Viktor Orban said during the traditional annual appeal to fellow citizens.

He also added that the only way for Hungary to live peacefully is "to stay away from the Russian-Ukrainian war as it is not their war."
 
Urusi Imebain Mipango yakufanya Shambulio la Kigaidi kwenye Daraja la Crimea
Kitengo cha Ujasusi/ Usalama cha Ukrein
SBU na GRU Wanahusika Katika Mkakati huo

MUNGU IBARIKI URUSI

The investigative committee of the Russian Federation received confirmation of the version about the organization of a terrorist attack by the Ukrainian special services on the Crimean Bridge, the head of the department, Alexander Bastrykin, said for TASS.(This is the newest report from today confirming that SBU and GRU is behind that)
 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] individual members of the European union supported Estonia 's proposal for investment for the joint procurement of ammunition for Ukraine's needs.the relevant decision may be taken at the EU summit next month, Blomberg reported [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]
 

Kwa wasiofahamu ni kwamba huyu Gen Gerasimov ndiye aliye design Russian Hybrid Warfare Doctrine

Kipindi icho akiwa kwenye low ranking za Russian Army ndipo alipo design na imekuwa inatumika muda mrefu sana.

Gerasimov Doctrine inaongelea kuhusu New Generation Warfare .

Ndio maana leo hii tunawaona watu kama kina Wagner Group PMC... na tunadhani tu kwamba kazi yao ni kupigana vita tu, kumbe ni zaidi ya hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…