Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine inflicting β€˜extraordinarily’ losses on Russian forces: Zelenskyy​

Ukraine’s military is inflicting β€œextraordinarily significant” losses on Russian forces near the town of Vuhledar in the eastern Donbas region, President Volodymyr Zelenskyy says.
β€œThe situation is very complicated… We are breaking down the invaders and inflicting extraordinarily significant losses on Russia,” Zelenskiy said in his nightly video address.
He referred to several towns in Donbas, where fighting has been focused for months, saying β€œthe more losses Russia suffers there in Donbas – in Bakhmut, Vuhledar, Marinka, Kreminna – the faster we will be able to end this war with Ukraine’s victory”.

Al jazeera
 
Analialiq Nini?, Anaona wanamuacha? Na liwe fundisho Kwa viongozi wengine wenye udhaifu kama wake..Yani nchi yangu, nimeaminiwa na watu niwaongoze, Leo na iharibu kupambania maslahi ya watu wachache wa hovyo? *** "US"
 
Umeongea point kubwa sana. Ndo maana Nyerere alisema hatufungamani na nchi yeyote.
Huyo dadae ana mipaja so mchezo asee

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kwenye hiyo picha kuna mavifaru ya kutisha lakini wewe umeona mapaja ya mrembo tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Naye anataka awe na kajeshi kake alambe asali πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mkuu ulipotea πŸ˜ƒ umetuacha na kp kipanya44 na ngojera zake za kufurahisha baraza pro Ukraine+NATO/USA wenzie wengi wamekimbia humu, uzi wanauchungulia kwa juu juuπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
China naona anamendewa iwapo atathubutu kushirikiana na fashisti Putin [emoji848][emoji848]

[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] Us senator lindsey graham said china would be making colossal blunder if it decide to provide lethal aid to Russia for it's war with Ukraine [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]
 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] individual members of European union supported Estonia 's proposal for investment for the joint procurement of ammunition for Ukraine's needs. A relevant decision may be taken at the EU summit next month, Blomberg reported [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]
 
Wazee wa winter is coming nawakumbusheni tu kwamba winter is almost over [emoji1787][emoji28][emoji2][emoji1787][emoji28][emoji2]
 
Kabudi unamchukulia poa kwenye hayo maeneo uliyoyataja?

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…