Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kipigo kinaendelea [emoji91][emoji1255][emoji1255][emoji123]


[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] over the past day Ukraine's air force launched 20 strikes on enemy personnel and military equipment clusters.seven strikes on enemy's ant aircraft missiles system, and two more on other important objects [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]
 
Zelensky Kuhusu utetezi wa Bakhmut: "Ndio, hii sio jiji kubwa saaana. Kweli, kama mengine mengi katika Donbass yaliyoharibiwa na Urusi. Ni muhimu kwetu kuitetea, lakini si kwa gharama yoyote mpaka kila mtu kufa. Tutapigana kwa muda mrefu kama ni busara, lakini Warusi wanataka "
 
Wivu wa kichawi huu.
USA ni taifa la hovyo sana.
 
Si tulikubaliana kwamba Ile bakhumut tumeshaizunguka kikamilifu?
Fix nyingine za nini Tena?? Kuhusu bakhumut niltegemea unipe habari kwamba askari kadhaa wa ukraine wamezungukwa baada ya mji kuzungukwa kikamilifu Kama mlivyotuaminisha hapa wiki 2 zilizopita.., mpaka thread zililetwa hapa[emoji1787]
 
Demilitarization De NATO nization De UKROnization

SMO inaendelea vyema haswaaa


[emoji635][emoji1255][emoji779]️ NATO countries have transferred to Ukraine 1,170 air defense systems, 440 tanks, 1,510 infantry fighting vehicles, 655 artillery systems since December 2021, according to the data of the Foreign Intelligence Service of the Russian Federation.

Most of this equipment has already been destroyed, the department added.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea point kubwa sana. Ndo maana Nyerere alisema hatufungamani na nchi yeyote.
Kwenye hiyo picha kuna mavifaru ya kutisha lakini wewe umeona mapaja ya mrembo tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe Kuna vifaru mle? Ha ha
Sijaona mkuu. Huwezi kuamini

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Unatoa kichwani unaandika tu huku ukitegemea watu waamini hizi ngonjera zako[emoji1787][emoji2][emoji28]
 
Kuichukua bakhmut sio jambo la chini ya miezi 3+
 
Zelensky changes stance on key battle in Donbass

The town of Artyomovsk, which Ukraine calls Bakhmut, is important to Kiev, but it won’t be defending it at any cost, Ukrainian President Vladimir Zelensky has said.

Earlier this month, Zelensky insisted that “nobody is going to surrender Bakhmut. We’ll fight as long as we can.”

However, he gave a different account when asked whether it was worth losing men to maintain control of the strategic settlement in Donbass during an interview with Italy’s Corriere della Sera newspaper on Sunday.

“For us it’s important to defend it, but not at any price and not until everybody dies. We’ll fight while it remains reasonable,” the Ukrainian leader replied.

Trying to hold on to Artyomovsk is crucial because “the Russians want to continue towards [the bigger cities of] Kramatorsk and Slavyansk, to the borders of Donbass and to Dnepr,” he explained.

“We resist and, in the meantime prepare, our next counterattack,” Zelensky said.

Artyomovsk is a major Ukrainian stronghold and logistics hub in the People’s Republic of Donetsk (DPR). The key town is now on the brink of being encircled by Russian forces after a battle that lasted for months and had been described by Zelensky himself as “hell” for the Kiev troops.

According to Western media reports, the US government, which promised to support Ukraine for “as long as it takes,” has been urging Kiev to withdraw from Artyomovsk since late January and instead prepare for future counteroffensives in other areas. However, Zelensky has been reluctant to comply with the American requests. Senior Biden administration officials told the Washington Post last week that the Ukrainian leader “attaches symbolic importance” to the town and fears a setback to morale if it’s surrendered.

Yan Gagin, an adviser to the DPR’s acting head Denis Pushiln, said on Monday that the Ukrainians were clinging onto Artyomovsk because other settlements in the area lacked proper fortifications. “They didn’t think that they would have to retreat,” he explained. The nearby town of Chasov Yar, where Ukrainian commanding officers have already been moved, is currently unprepared to resist a Russian advance, according to Gagin.
 
Urusi ni mbwa asiye na meno Kwa Sasa..,kama unalitegemea Hilo basi utasubiri sana!!
Ila we kirat akili zako unazijua mwenyewe,, mbwa asie na meno anakalia Ukraine ardhi asilimia ishirini, mbwa asie na meno anapigana vita na mataifa zaidi ya thelathini ,, kwani wewe mwenzetu unatumia kiungo gani kufikiri🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…