Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

TISS wajifunze, PSU wanamganda sana Rais hata kupumua anashindwa.

Biden kaenda nchi ya vita ila hatujaona walinzi wakikaa nyuma yake na mabunduki makubwa
Kaka askari waliopo hapo ukraine wote ni askari wa US wamevaa gwanda tu za ukraine pamoja na askali watiifu wa ukraine wachache. Hapo kila kitu kipo secured tofauti na tuonavyo.sasa siraha kubwa za nn?.Kibongo bongo ulinzi wa kitecknolojia BADO haujawa hundred percent kama marekani so siraha kubwa kubwa za mikono BADO zinahitajika ila kuwatisha vibaka.
 
Mpaka mfalme wa uingereza katoka kwenye kasri Ili awaone vijana wakakamavu wa rais zelensiky [emoji91][emoji1255][emoji91][emoji1255][emoji1255]

[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] The king of great Britain chalse III visited Ukrainian military personnel undergoing training in wiltishire[emoji298][emoji1255][emoji91][emoji1255]
 
Ufaransa Wanachoma Bendera ya EU
EU flags are burned at rallies.
Kama wananchi wa Urusi ndio wangekua Wanachoma bendera za Urusi nadhani vyombo vya habari vya Dunia vingesimamamisha habari zote na kitangaza habari hizo.
Humu Jukwaani ndo tungekoma.
Hebu fikiria Leo TU Biden kaenda Ukraine utadhani hakuna kiongozi wa nchi aliekwisha ends.

Nadhani west walitudanganya mambo mengi sana,ambayo wengi yanawaathiri Hadi leo .
 
Kwahyo Huo ndio ushind ?[emoji635][emoji635][emoji635]
 
[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] Biden and zelensiky are satisfied with conversation.this visit was carried out against everything for the sake of victory of Ukraine,a clear signal to the swamps-no one is afraid you, Ukrainian foreign minister dymitro kuleba said about US president's visit [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]
 

Taarifa unapewa ili ukijichaganya upigwe ukose visingizio. HIMARS 20 unalia nazo na wakati ziko over 200 zinapigwa vumbi kwenye maghala. Na hata hivyo Russia haina means ya kumshambulia Rais wa Marekani hapo Ukraine, Zelensky analala hapohapo mwaka mzima mmemshindwa mje muweze superpower mwenyewe.

Na mikwara ilishatolewa ila wapi hadi waliotoa hizo silaha walishakuja wenyewe kukagua matumizi
 
Hichi ni kile kikosi kinachogawa dozi za anga. Sijui unataka kusemaje sasa
Nani kakudanganya?
Kwa mfano ni kikosi cha anga, hapo kwenye naval base kinafanya nini na kimevaa sailors uniforms, hapo kanisani kwa Orthodox kimeenda na Putin kufyatua makombora kwenye misa? Na kuna picha nyingine alikuwa hospitali na huyo mmama alikuwa staff hospitalini.

Putin ana chawa wake anakaa nao akienda popote kwenye watu wanakuwa staff ya hapo. Viazi tu hao hawajui lolote kuhusu Airforce ni maafisa usalama
 
[emoji845][emoji779] the results of today's meeting will be reflected on battle field , volodymyl zelensiky said at the press conference with Biden [emoji298][emoji1255]
 
Putin aliweka wazi kwamba hata muua Zele, Kaa ukijua Hilo. Akimtaka anmtoa mavi asubuhi na mapema
 
[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] President volodymyl zelensiky of Ukraine insists on the need to establish special tribunal to prosecute Russian war criminals [emoji298][emoji298]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…