Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Minato imelowa lowa.. Mrusi kailowesha minato saivi imekuwa tepetepe ni mwendo wa kupelekewa pumzi ya moto tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Poleni sana Kwa kitu kizito mlichodondoshewa Leo..,mmejitahid kufunika kombe ili mwanaharamu apite lakini bado naona mmegonga mwamba [emoji1787][emoji16][emoji28]
 
[emoji298][emoji298] president volodymyl zelensiky of Ukraine said the country as received new assistance package from Italy [emoji298][emoji298]
 
Zelensky is the one who will be prosecuted by the People's Republic of Donesk for war crimes. In Donbass
Sawa, muda ndio mwamuzi, lakini fahamu tu ya kwamba huyo fashisti wa clemlin Kwa Sasa anagombaniwa kama mpira wa Kona
 
Kweli urusi Kawa na adabu[emoji2][emoji1787] USA kamnyoosha .., mpaka amempa uwanja bwana mkubwa kwa heshima na tahadhima Ili afanye mambo yake kisha aondoke salama salimini[emoji2][emoji28]
Hayo ni mambo ya kidiplomasia we kirat, mbona unapenda kujitoa ufaham!! Kwani wewe hujaona/kusikia nchi mbili zinapigana vita au makundi mawili hasa hapa kwetu Africa lkn viongozi hukutana kujadili wakati huo huo vita inaendelea, ikiwa hivyo ndivyo kwanini wasipigane risasi hapo wanapokutana kwenye hivyo vikao,, yani we jamaa sijui hata ni kabila gani🤔 unajadili vita hujui hata mambo ya kidiplomasia.
 
Kwa hiyo tumekubaliana kwamba Russian anapigana na Ukraine+NATO+USA si ndio kirat!
 
Hakuna diplomasia hapo semeni tu ukweli Putin kazidiwa kete..,kila aina ya mikwara aliyotoa inazidi kupuuzwa..,hapa wanaume wanamuonesha kwamba " wewe Putin ni kama kinyago tu,huna lolote unaloweza kufanya sisi tukiamua""
Huo ndio ilikuwa ujumbe wa ziara ya rais Biden Leo hii,
 
Wakati Mkishangiria Kizee poteza Netwerk Kutembelea Ukren
Wanaume Wanasonga Mbele
Saizi PMC Wagner wamevunja Defense ya Ukrein Huko Kaskazini mwa Artemovsk

PMC "Wagner" broke through the defense of the Armed Forces of Ukraine north of Artemovsk (Bakhmut)

According to "Come and See", the fighters of the PMC "Wagner" managed to break through the Ukrainian defenses north of Artemovsk (Bakhmut).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…