Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mpaka kufikia mwishoni kabisa mwa mwezi February,Sina shaka idadi ya warusi wanaolambishwa mchanga itafikia laki Moja na nusu.., achilia mbali wale wanaojeruhiwa na kutiwa vilema..,Jana walichinjwa zaidi ya mia sita
 
Imetumika Ukraine lini!!??.....
 
95% of Ukrainians believe in their country’s victory over Russia, according to the survey conducted by the Sociological Group “Rating.” 97% trust the Armed Forces of Ukraine.
 
[emoji298][emoji298][emoji1134] Prime Minister of Israel Benjamin Netanyahu may visit Kyiv in the near future to meet with President Zelensky, Israel Hayom reported.

[emoji328]: Associated Press[emoji298][emoji298]
 
Kwa Nini wao wasiheshimu !!?? Walivyoenda Iraq waliheshimu Nini!!? Yugoslavia waliheshimu Nini!! Nicaragua , Libya, Afghanistan !!?? Mbona mnajizima data KIZEMBE sana... Walipoenda kote huko kuvamia waliheshimu sheria/mikataba Gani ya kimataifa!!?
 
Mimi siamini katika innocence ya West, west wako very cunning kuliko tunavowaona..wana-agenda zao za chini kwa chini nyingi sana....Mikataba wanayosaini mingi inakuwa kwenye kuwafavour kiasi fulani...Deep state ya west inafanyakazi nje ya haya maneno wanasiasa wao wanaongea..

1.Angalia mfano wa hilo bomba lililolipuliwa NORD STREAM...angelikua kafanya Urusi..makelele yangekuwa kama yote...sasa kafanya US akishirikiana na Norway na wanajua kabisa..wako kimya (Unafiki huu)

2.Minsk 2 Agreements: Wote wamekiri kabisa walikua wanavuta subira..hawakua kwenye mpango wa kutekeleza.

3.Uongo wa US kuishambulia Iraq 2003..(Huwezi ukasikia West wanasema chochote

4.Jana Putin kasema kabisa walikua na taarifa zote za kiinteligensia kuwa Ukraine wanajiandaa..watashambulia Donbass na baadae wataenda hadi Crimea...mpango huu walikuwa wanapewa taarifa etc na kila kitu ba West.

5.Donbass..imetandikwa mabomu tangu mwaka 2014....watu wameuliwa kule kisa hawataki kuwa ndani ya Ukraine sababu ya Uhaini wa kumpindua kiongozi aliyechaguliwa kwa kura kabisa..haijalishi ni mrengo wa Urusi..(2010)

6.Nato kwa nini wanatengeneza mazingira ya nchi kujiunga nazo...(Military blocks huwa zinaelekea kwenye vita tu)..yaani mfano leo Tz, Kenya, Rwanda tutengeneze military alliance, kitakachofuata nchi nyingine nazo zitaanza kuunda alliance zao kulingana na ideology au urafiki...(Refer WWI & 2)

7 NATO waliitandika Yugoslavia..kosovo ikatoka na wakassupport...leo kwa nini hawataki Donbas wajitenge??Kwa nini wasiseme waitishe kura ya wazi chini ya UN..watu waamue kwa uwazi...??

8.Ulimwenguni vita au machafuko yako kila sehemu..angalia mfano Afrika:Afrika ya Kati, Somalia, DRC..watu wanakufa kila siku..mbona hatuoni nguvu iliyotumika UKRAINE kutumika kwenye hizi nchi nyingine au Kisa ni Ulaya na Russia yuko involved????(Unafiki tu)

9.Kwa nini wasiitie moyo Ukraine kuwa ikawa na sera zake zenyewe kuliko kuichochea kuchukua upande??

10.Wakati wa Obama: CIA waliingilia mazungumzo ya Markel-Councillor wa Ujerumani-mshirika wao namba moja Ulaya.ni colony lao tu....Hiyo scandal angekuwa kafanya Russia ungesikia makelele yake...

Hao west sio wazuri kama mnavolazimisha wawe, na hata Russia naye sio mzuri pia..lakini kwa hili la unafiki wa West dhidi ya nchi nyingine (Russia CASE study)..ni vizuri West wafundishwe adabu...na mtu pekee wa kufanya hivyo ni Putin kwa sasa..
Viva Putin





Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
anataka kuwapangia wa Ukraine nani awe rafiki yao na nani asiwe, hataki kabisa Ukraine kujihusisha na NATO kwa namna yoyote ile sababu kufanya hivyo ni kuhatarisha usalama wa Urusi.
Marekani na NATO ni corrupt entities ambazo zinaongoza kuwaingilia nchi nyingine mambo yao.

Wamemtongoza Ukraine ili wakishamteka wamtumie kumdhuru Urusi. Thats plain simple ila Urusi alivyo react mnaona kwamba reaction yake sio sawa. Thats holly shit.
 
Ila Marekani akiwapangia wengine nani wa kuwa marafiki ni sahihi!!?? Mna vitu Gani kwenye kichwa humo!!
hakuna hata taifa moja limepangiwa na US namna ya kuishi bali mataifa yenyewe ndiyo yanavutiwa na mfumo wa US. kwa mfano NATO ilianza na mataifa chini ya 10 mwaka 1949 baada ya vita kuu ya pili ya Dunia ila sasa hivi yapo mataifa zaidi ya 30 tena mbaya zaidi mataifa yaliyo kando kando ya Urusi ambayo yaliyokuwa kwenye umoja wa Sovieti yamejiunga na NATO na meingine kama Poland na Sweden pia yameomba kujiunga jiulize kwa nini? Mrusi anakwama wapi? Je US aliwawekea mtutu masikioni ili wajiunge?
 
Tunamfukuza mwizi kimyakimya [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]

[emoji298][emoji298][emoji187] “Artillery reserves in Russia have decreased to 30%, the remaining missiles are almost exhausted, and production is about 40 cruise missiles a month,” Ukrainian Intelligence Chief Kyrylo Budanov said in an interview with Forbes Ukraine.[emoji298][emoji298]
 
[emoji298]️The decisive battles of this war will take place in the middle to the end of spring, Ukrainian Intelligence Chief Kyrylo Budanov said in an interview with Forbes Ukraine.[emoji298]
 
ni balaa, tena ajiandae kwa vita ndefu, atapigania ngumi dadeq 😀 😀
 
[emoji298]️President Volodymyr Zelensky plans to personally attend the NATO summit in Vilnius in July, Baltic news agency BNS reported, citing the Ukrainian ambassador to Lithuania, Petro Beshta.[emoji298]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…