Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,996
- 11,887
Yaani kawapiga chenga ya Mwaka wale wote waliojifanya wachambuzi wabobezi😂Yaani watu wanataka Putin afanye wanayotamani...et jamaa anasema nilitarajia, hiki na kile....blahblah.....[emoji1][emoji1]Watu wanajipa umuhimu ambao hawana kabisa....Yaani leo hii Putin aanze kufanyakazi kwa wishes na matamanio ya watu....??
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Huyo ni 'mungu' gani unamzungumzia wewe unayebwabwaja mambo usiyoyajua?! Au una maana ya 'Mungu' tunayemwabudu sisi watu duniani kwa mamilioni?! Kwa kumtaja 'mungu' inawezekana wewe ni mpagani na ni wewe ndiye wa kuhurumiwa hasa...na kwa hakika comments zako humu zinaoneeha upro wako wa issues mbalimbali upeo ambao ni wa chini kabisa...wewe ni wa kuhurumiwa na kuelimishwa..Sawa,mungu akuhurumie kwa kweli [emoji120][emoji120][emoji120]
Msamehe tu kichwa chake na vidole vinavyotype havina ushirikiano haoni kama kusema "haujadili kama mtu mzima" ni dhihaka/TUSI ..sasa utamsaidiaje wa hivyo....Hakuna tusi hapo...because that is what you are...kwa kuwa unaonesha kutokomaa kwenye debates...how can you tell me ni-comment Kama mtu mzima...kwa kusema hivyo unadhani Hilo siyo tusi?!?! Stupid
Trump kwa kauli hii sahau kuitawala tena US.Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameahidi kuimaliza vita kati ya Ukraine na Urusi ndani ya saa 24 tu endapo akipewa tena Urais wa Marekani.
Trump ambaye tayari ameonesha nia ya kugombea tena Urais kwenye uchaguzi ujao wa mwakani 2024 ametoa kauli hiyo Florida, Marekani ambapo amesema ataimaliza vita hiyo akishatangazwa Mshindi tu hata kabla ya kuapishwa.
“Nikishinda tu sitosubiri hadi kuapishwa, nitampigia simu Rais wa Urusi, Putin na Rais wa Ukraine, Zelensky na kuwaambia tunapaswa kuonana, nawahakikishia nitamaliza vita hivi, nitamwambia Putin hivi na kumwambia Zelensky vile na tutakuwa na dili ya kumaliza vita ndani ya saa 24 tu”
Trump amekosoa pia kitendo cha Rais Biden kuidhinisha pesa za kuisaidia Ukraine kwenye vita hivyo na kusema kufanya hivyo ni kama Marekani inachochea vita zaidi na kufanya Watu wengi waendelee kupoteza maisha “Namjua Putin hawezi kukubali kushindwa vita kwa kumtunishia msuli au kumuonesha ubabe, bali kwa njia bora za mazungumzo, Urusi imeshinda vita nyingi ina silaha na mbinu kibao za vita huwezi kuishinda kirahisi kwa kutumia mabavu”
Sema tu ukweli shekhe,Leo kidogo umevurugwa..,nafuatilia sana mwenendo wako humu.., lakini Hali uliyonayo Leo ni tofauti sana..,na Mimi staki nikuvuruge zaidi.., pole [emoji28][emoji28]Huyo ni 'mungu' gani unamzungumzia wewe unayebwabwaja mambo usiyoyajua?! Au una maana ya 'Mungu' tunayemwabudu sisi watu duniani kwa mamilioni?! Kwa kumtaja 'mungu' inawezekana wewe ni mpagani na ni wewe ndiye wa kuhurumiwa hasa...na kwa hakika comments zako humu zinaoneeha upro wako wa issues mbalimbali upeo ambao ni wa chini kabisa...wewe ni wa kuhurumiwa na kuelimishwa..
Poland ana mpaka mkubwa na Urusi ipi kushinda Finland !!??Mimi huwa nikitafakali hila jambo huwa nakosa jibu! Kwamba hataki Ukraine kuwa na urafiki na West lakini anataka iwe na Urafiki na Russia? Yaani taifa huru ulipangie rafiki wa kuwa naye kweli inaingia kwenye ubongo? Ili jambo la kuchaguliana marafiki ndilo kila siku linapigiwa kelele, Kwanini Poland mwenye mpaka mkubwa na yeye hasiwe Tishio kwa usalama wake lakini Ukraine awe tishio?
Marekani anapovamia nchi za wenzie kwa visingizio visivyo na tija na kufanya uharibifu mkubwa huwa yeye hakoseagi au sio. Ila kwa kuwa Russia amekaza mnamuita majina yote ya hovyo.Mimi huwa nikitafakali hila jambo huwa nakosa jibu! Kwamba hataki Ukraine kuwa na urafiki na West lakini anataka iwe na Urafiki na Russia? Yaani taifa huru ulipangie rafiki wa kuwa naye kweli inaingia kwenye ubongo? Ili jambo la kuchaguliana marafiki ndilo kila siku linapigiwa kelele, Kwanini Poland mwenye mpaka mkubwa na yeye hasiwe Tishio kwa usalama wake lakini Ukraine awe tishio?
Mkuu US imeingilia na kupindua serikali za nchi ngapi duniani???Hiyo ndo kupenda unayosema?Hata hizo nchi zinazojiunga NATO in real sense ni kama Vasal states za US tu....USA imekua ikizitongoza hizi nchi kwa viprogramme kibao....mwisho wa siku nchi inajikuta tayari....hata hii Ukraine ipo kwenye biprogramme vya chini kwa chini kibao...@wanarubuniwa tu....hakuna hata taifa moja limepangiwa na US namna ya kuishi bali mataifa yenyewe ndiyo yanavutiwa na mfumo wa US. kwa mfano NATO ilianza na mataifa chini ya 10 mwaka 1949 baada ya vita kuu ya pili ya Dunia ila sasa hivi yapo mataifa zaidi ya 30 tena mbaya zaidi mataifa yaliyo kando kando ya Urusi ambayo yaliyokuwa kwenye umoja wa Sovieti yamejiunga na NATO na meingine kama Poland na Sweden pia yameomba kujiunga jiulize kwa nini? Mrusi anakwama wapi? Je US aliwawekea mtutu masikioni ili wajiunge?
Endelea kuwa na mawazo hayo....mtu hujui hata maana ya 'kuvurugwa'.. Hujui hata kutofautisha Kati ya 'mungu' na 'Mungu' au 'god' na 'God' halafu mnavamia mijadala sensitive Kama hii....kutwa nzima mtu anaimba 'fashisti', ' mwamba' na kadhalika....yaani Hawa moderators sijui vipi?! Watawaachaje humu watu wa aina yako'?!Sema tu ukweli shekhe,Leo kidogo umevurugwa..,nafuatilia sana mwenendo wako humu.., lakini Hali uliyonayo Leo ni tofauti sana..,na Mimi staki nikuvuruge zaidi.., pole [emoji28][emoji28]
Hivi Poland anashare mpaka na Russia?Mnaandika tu bila kuwa na uhakika na mnayoandika!Mimi huwa nikitafakali hila jambo huwa nakosa jibu! Kwamba hataki Ukraine kuwa na urafiki na West lakini anataka iwe na Urafiki na Russia? Yaani taifa huru ulipangie rafiki wa kuwa naye kweli inaingia kwenye ubongo? Ili jambo la kuchaguliana marafiki ndilo kila siku linapigiwa kelele, Kwanini Poland mwenye mpaka mkubwa na yeye hasiwe Tishio kwa usalama wake lakini Ukraine awe tishio?
Vp kuhusu china kuwekewa nongwa na west km ataiuzia silaha urusihakuna hata taifa moja limepangiwa na US namna ya kuishi bali mataifa yenyewe ndiyo yanavutiwa na mfumo wa US. kwa mfano NATO ilianza na mataifa chini ya 10 mwaka 1949 baada ya vita kuu ya pili ya Dunia ila sasa hivi yapo mataifa zaidi ya 30 tena mbaya zaidi mataifa yaliyo kando kando ya Urusi ambayo yaliyokuwa kwenye umoja wa Sovieti yamejiunga na NATO na meingine kama Poland na Sweden pia yameomba kujiunga jiulize kwa nini? Mrusi anakwama wapi? Je US aliwawekea mtutu masikioni ili wajiunge?
Kwanini Ukraine kuwa Nato ni hatari kwa Urusi kuliko Finland kuwa Nato ?PUTIN hana shida na Finland kuingia NATO. ana shida na Ukraine kuingia NATO. hayo ameyasema mwenyewe. Kama Finland inataka kujiunga na NATO kila la kheri kwao na wala sio hatari wala hasara kwa Urusi. Ila Ukraine kujiunga NATO ni hatari na hasara kwa usalama wa urusi.
Ni scenario mbili tofauti na hazina uhusiano wowote.
Uhuru wa mmoja unaishia pale uhuru wa mwengine unapoanzia. Uhuru wako haupaswi kuingilia/kuathiri uhuru wa mwengine. Kwa lugha nyingine kila uhuru una mipaka na bila ya mipaka uhuru unakuwa ni uwendawazimu.
Dah!...hawa watu wana ndugu kweli wa kuwalilia ?....mbona kama wamepelekwa kuwa chambo tu ?Imepostiwa na Prigozhin wa Wagner
Anaomba silaha maana watu wake wanakufa
Hapa ni BakhmutView attachment 2526273