Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,089
- 1,748
Russia sio tishio Tena Kwa West Countries. Mataifa ya magharibi yanaiona China km tishio kwao linalokuja na sio Russia!West unayoijua wanaiona Russia Kama taifa kitisho kikuu namna 1 Cha usalama we unaleta kejeli. Kuna shida kubwa kujenga hoja na mtu kw wewe ambae bila shaka Russia waifananisha na visiwa vya Shelisheli
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo zile air defence pale juu ya white house nikwamba potus hajiamini nchini kwake?Kwamba hajiamini hadi nchini kwake anahisi atatupiwa bomu?
hapa ww ndio umeonekana mswahili kabisa....,,,unaongea kiswahili kabisa...huna tofauti na Mz. Mpili..., huna facts zozote..!!!..Collective West yote wanaiogopa Russia wazwaz ... ww unatuambia kuwa Russia sio chochote!!!...ni nchi gani duniani inaweza kuvimbiana na Collective West na ikabaki salama...ni nani huyoo!!! zaidi ya Russia....,,,Biden kila siku anasisitiza ni lazima waisapot Ukrein kwa tahadhari .. wasijesababisha direct confrotation na Russia...ww hapa huoni kabisa kuwa Russia sio ya kawaida...,,,Wabongo bwana..!!!...hao NATO wanashindwa nn kuingia hapo Ukrein tu waliondoe jeshi la Russia nje ya mipaka....wamebakia kila siku vikao tu...blah blah...tu!!!...aisee!!!Russia sio tishio Tena Kwa West Countries. Mataifa ya magharibi yanaiona China km tishio kwao linalokuja na sio Russia!
Russia walishaimaliza zamani kabisa kilichobaki Kwa Russia ni kukifuta tu sasa
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wabongo kwa ujuaji utawaweza ndugu...!!!..Kwahiyo zile air defence pale juu ya white house nikwamba potus hajiamini nchini kwake?
Napenda kufuatilia silaha kuliko vita yenyewe. That time najiunga JF nilikuwa nasoma sana silaha za Urusi kuliko wengine, tangu mwaka jana nafuatilia silaha za China zaidi. Nilikuwa na imani hiyo MBT itakuwa tishio kulingana na data zilizokuwepo kwamba inatakiwa iweje. Na report ya wizara ilisema vifaru vitakuwa accepted 2020 kama sikosei.Nje kidogo ya mada. Kwanini uliamua kutumia T14 Armata kama ID yako ya JF mkuu?
Kufanikiwa Kwa price cap Kwa ulaya ni kuweza kushusha bei ya gas ulaya Ila, huu NI mtego WA urusi Kwa west Maana anasubiria wakati maalumu wa kuzuia kabisa kuuza gas ulaya ambayo itasababisha mfumuko wa bei
Yaani we mpka Leo bado unaaamini BBC Kama chombo chako Cha habari? Nazani Kama hivyo itakuwa TBC unatazana na kusikiliza 24 hour's.Wanaanza kulaumiana baada ya kichapo kuwa kikali [emoji16][emoji28][emoji2]View attachment 2527177
Angekua Putin hapo ndo kajikwaa hapo Ingekua habari kubwaMzee wa kusahau jana kajikwaa wakati anapanda ndege kutoka Poland, mzee apumzike asiongeze muda wa Urais.
View attachment 2526708
BBC wakitangaza jambo positive kuhusu Russia,mara Moja unaleta habari hapa...,ikiwa opposite basi ni propaganda [emoji2][emoji28][emoji16]Yaani we mpka Leo bado unaaamini BBC Kama chombo chako Cha habari? Nazani Kama hivyo itakuwa TBC unatazana na kusikiliza 24 hour's.
Kwa hiyo unakili na kukubali Marekani Jambazi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu unaleta kilio kirefu ambacho hakisaidii katika swali la unyama wa Putin katika Ukraine.
Hatuhitaji kuvutana kuhusu jinai za Marekani hapo na pale. Kuhusu Iraki tuko pamoja, katika mengine una mifano ya ajabu.
Ila huwezi kumtetea mjambazi kwa kulialia kuna mjambazi mwingine.
Labda ni ugonjwa wa kila taifa kubwa - ya kwamba linaweza kupuuza wadogo.
Hapo ni muhimu zaidi wadogo kutetea haki na sheria ya kimataifa.
Wale walo wakali zaidi ni nchi ndogo za Ulaya, hasa zile zinazojua Urusi kwa sababu walivamiwa na kubakwa na Urusi tangu karne kadhaa.
Wakati Ujerumani na Ufaransa zilifurahia kufanya biashara na Urusi (Ujerumani mteja mkubwa wa gesi na mafuta, Ufaransa aliyeuza mifumo ya darubini za mizinga kwa vifaru vipya vya Urusi, na mengi mengine...),
nchi hizo ndogo zilionya na kudai hatua.
Ila wengine walikataa hata baada ya Putin kuanza vita mwaka 2014.
Sasa amezidi. Tena kwa vita iliyoandaliwa vibaya...
Du!Hakuna vita iliokosewa hapo IRAQ ilivamiwa kwamkakati maalum kabisa US na wenzake walijua kama IRAQ hakuna silaha ila walitaka kufanya walichofanya na wamefanikiwa kwa 101% maana nia yao ni IRAQ kutotawalika tu hakuna jengine
Pale VIETNAM jamaa alizidiwa nguvu na USSR ila alikua kajipanga haswaa
Hapo UKRAINE mmetumia njia mlotumiliwa nyie kule VIETNAM ila mpaka sasa hesabu kwa west zinakataaa
Kwan kabla ya FINLAND na SWEDEN hio RUSSIA haikua inapakana na mataifa ya NATO !!?
Jana PUT IN alisema kadri UKRAINE anavyopewa silaha ndivyo kadri na wao wanavyofanya juhudi kuiweka RUSSIA mbali na hilo tishio
Muda nimwalimu mzuri
Watu wanadhani USA ni Kila kitu.Yah! Somalia hii hii uijuayo. imeikimbiza US humo Somalia.
Yaelekea historia huijui but una tabia ya kuendekeza ubishi.
Sikia Soma history
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hata Mimi nilidhani nilipitiwa na taarifa hiyo,maana sikumbuki kama Price cap ilikubaliwq na Moscow.