Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298][emoji298]A Russian Su-25 attack aircraft crashed while returning from a combat mission to the airfield in the Belgorod region of Russia. Its pilot ejected but was killed, Belgorod Region Governor Vyacheslav Gladkov reported.[emoji298][emoji298]
 
Hata Mimi nilidhani nilipitiwa na taarifa hiyo,maana sikumbuki kama Price cap ilikubaliwq na Moscow.
On 27 December 2022 Russia issued a decree applicable from 1 February 2023 until 1 July 2023 which banned the sale of crude oil and finished oil products to any country or company that, directly or indirectly, referred to the price cap in the contract.
 
Hivi Bay of pigs kilitokea nini?
 
Maelezo mengi ila hayana mantiki!Hapo ni kama unasema Cuba anaruhusiwa kuwa na uhusiano wa kawaida tu na Urusi!Sasa Iweje ulipangie taifa huru namna ya kujilinda?Mnang'ata na kupuliza!Huko Donbas,watu wamekuwa wakiuwawa baada ya kujitenga na Ukraine baada ya serikali halali kupinduliwa!Urusi ameingia kuyakomboa hayo majimbo yawe huru!Hicho kinachofanyika Ukraine,si ndicho alichofanya US huko Yugoslavia na Kosovo ikajitenga na kuwa taifa huru!
Kunya anye kuku,akinya bata kaharisha!
Soma hapa kidogo uelewe chanzo Cha Cuba kutaka kujilinda isivamiwe Tena!
In 1961, the US government put Jupiter nuclear missiles in Italy and Turkey, and attempted to invade Cuba. Starting in November of that year the US government engaged in a campaign of terrorism and sabotage in Cuba, referred to as the Cuban Project, which continued throughout the first half of the 1960s. The Soviet administration was concerned about a Cuban drift towards China, with which the Soviets had an increasingly fractious relationship. In response to these factors, Soviet First Secretary, Nikita Khrushchev, agreed with the Cuban Prime Minister, Fidel Castro, to place nuclear missiles on the island of Cuba to deter a future invasion. An agreement was reached during a secret meeting between Khrushchev and Castro in July 1962, and construction of a number of missile launch facilities started later that summer.
 
Hivi mrusi naye akitaka kujiunga na NATO, NATO na washirika wake watakubali?[emoji16][emoji38][emoji38][emoji38]
Urusi aliwahi kuwa mdau muhimu wa NATO!
In 1994, Russia joined the Partnership for Peace program, and on 27 May 1997, the NATO–Russia Founding Act (NRFA) was signed at a NATO Summit in Paris, France, enabling the creation of the NATO–Russia Permanent Joint Council (NRPJC).
 
Markebisho katika daraja la crimea yamekamilika rasimi. Njia zote nne zimeanza tena kutumika kwenye Daraja la Crimea "Daraja la Crimea liko wazi kwa trafiki ya magari katika njia zake zote, siku 39 kabla ya ratiba" - Naibu Waziri Mkuu wa Urusi Khusnullin.
 
Piga popote ili mradi umepiga ndani ya Ukraine.
"Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameishambulia Urusi kwa matamshi makali leo akisema inawaua raia bila huruma kwenye jimbo la Kherson ikiwa ni saa chache baada ya jeshi la Ukraine kusema shambulizi la Moscow limeangamiza maisha ya watu 6 kwenye eneo hilo.

Katika ujumbe kupitia mtandao wa Telegram, Zelensky amesema kwa mara nyingine makombora ya Urusi yameyalenga maeneo ya makaazi, maegesho ya magari na vituo vya usafiri wa umma na kuhujumu maisha ya watu huko Kherson.

Duru za kijeshi zimearifu kwamba mashambulizi hayo yalifanywa wakati rais Vladimir Putin alipokuwa akitoa hotuba mjini Moscow aliyoitumia kusisitiza kuwa nchi yake haiko vitani dhidi ya umma wa Ukraine"
 
"Leo, wabunge wa Urusi waidhinisha mswada uliowasilishwa na Rais Vladimir Putin, ambapo Moscow itasitisha kwa muda ushiriki wake katika Mkataba wa Kimkakati wa Silaha za Kivita (NEW SRART) - makubaliano ya mwisho ya nyuklia kati ya Urusi na Marekani"
Wabunge vibaraka wa Putin.
 
 

Attachments

  • 20230221_021731.jpg
    67.2 KB · Views: 20
Fujo za maandamano zalipuka huko Ugiriki. Waandamanaji waitaka Marekani na NATO kufunga kambi za kijeshi nchini humo na kuacha kushiriki katika migogoro iliyoibuliwa na muungano huo, pamoja na kuondoa vikwazo vilivyowekewa Syria.
 
Mkuu si tegemei kukuondoa katika ulimwengu wako wa ndoto mbaya.
Watu wa Donbass hawakujitenga. Wakati walipokuwa na uhuru wa kupiga kura walithibitisha kila safari wako Waukraine (ukiona kinyume, lete kura pamoja na chanzo!). Hawakujitenga, walitenganishwa na Putin aliyetumia askari bila sare na kulipa wanasiasa wa kundi lile dogo lililotaka kuhamia upande wa Urusi.
Kwenye mstari wa mapigano pande zote mbili zilipigana, vifo vilitokea kila upande. Taarifa za OECD ziko tele zinpatikana hadharani.

Kuhusu Kuba - Marekani ilivumulia Kuba ingawa Kuba ilikuwa na kituo cha kijeshi cha Urusi , USSR walitums kila mwaka milioni mia kadhaa (hasa silaha) na hivyo jeshi la Kuba lilikuwa kati ya majeshi makubwa katika Amerika kusini mwa USA. Hivi vifaru zaidi ya 1,000 walivyokuwa navyo vyote vilitoka Urusi (na Marekani haikuwazuia).
Ona taarifa ya CIA ya mwaka 1986 (ilikuwa siri wakati ule)


Hitimisho: baada ya majaribio ya kwanza ya kupindua Castro (bila uvamizi wa jeshi la Marekani) Marakani ilivumilia Kuba.
Ila Putin lazima kutetemeka na kulialia eti Ukraine ni hatari kwake, ilhali ni yeye mwenyewe aliyeanza uvamizi na mauaji.
 
[emoji631][emoji635]The Russian economy is holding up better after US sanctions than could have been expected initially — US Treasury Secretary Janet Yellen

According to her, the US sanctions "had a very significant effect on Russia."
 
Maliupol inazidi kuwaka moto kila kukicha [emoji91][emoji1255]

[emoji298][emoji298] On February 23, three explosions were recorded in temporarily occupied Mariupol. The enemy troops were hit in the territory of the Illich Iron & Steel Works and near the airport.[emoji298][emoji298]
 
[emoji298][emoji298]Sweden's Defense Minister Pal Jonson has said that his country is open to sending some of its Leopard battle tanks to Ukraine.[emoji298][emoji298]
 
[emoji298][emoji298]The Group of Seven nations plan to resolve by the end of March the issue of supporting Ukraine with the funds of the International Monetary Fund.[emoji298][emoji298]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…