Huwezi kuamini hii kauli imetolewa na prigozhin
"Hatutaondoka Bakhmut," aliapa Prigozhin katika ujumbe wake wa sauti. "Tutakufa kwa idadi maradufu hadi wote [Wagner] wamalizike. Na Wagner watakapokamilika, kuna uwezekano mkubwa Shoigu na Gerasimov watalazimika kuchukua mtutu wa bunduki""
Kama Kuna mtu haamini kauli hiyo' atafte Link ya BBC Swahili niliyoiweka hapo
Sasa Bora ito, je Ukraine mpaka sasa wameuwawa wanajeshi 250,000 but anyway naona furaha yako iko kwenye maafa ya wanadamu wenzio you are dumb n stupid[emoji298][emoji298]Ukraine's defense forces eliminated about 145,850 russian military personnel from February 24, 2022, to February 23, 2023, including 790 in the past day alone.[emoji298][emoji298]
una upumbavu mwingi kweli [emoji848]Sasa Bora ito, je Ukraine mpaka sasa wameuwawa wanajeshi 250,000 but anyway naona furaha yako iko kwenye maafa ya wanadamu wenzio you are dumb n stupid
Wale wazee wa DEMOKRASIA waione hii
BOSS kuna koment fulani nimeiona kule fb"Russian forces wipe out six Ukrainian ammo depots in DPR — top brass - Military operation in Ukraine " Russian forces wipe out six Ukrainian ammo depots in DPR — top brass
Pole babaanguRussia sio tishio Tena Kwa West Countries. Mataifa ya magharibi yanaiona China km tishio kwao linalokuja na sio Russia!
Russia walishaimaliza zamani kabisa kilichobaki Kwa Russia ni kukifuta tu sasa
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app