Kama chizi anaweza pambana mpaka akawa rais wa Marekani, kama chizi anaweza kuwa billionaire...basi duniani machizi ni wengi sana.Yule Trump chizi pandikizi la Russia anaweza kuongea point Gani zaidi ya pumba?
Mataifa ya magharibi wao wanafikiria hayo manyuklia tu ya Russia na si vinginevyo. Yaani nyuklia ndio zinaibeba Russia lkn ktk mambo mengine Russia ni km Zaire ya Mobutu
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Huyu chizi yeye guta anayo?Kama chizi anaweza pambana mpaka akawa rais wa Marekani, kama chizi anaweza kuwa billionaire...basi duniani machizi ni wengi sana.
Kwa hiyo hiyo Ukraine imeharibiwa na Nyuklia au sio na sio silaha za kawaida tu hizi, hao maelfu wanaouliwa huko Ukraine ni sababu ya matumizi ya nuclear, hizo mariupol, crimea, luhansk na Donbass zinachukuliwa kwa sababu ya nuclear au sio???
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Na komaa nao kote mpaka TwitterBOSS kuna koment fulani nimeiona kule fb
Nna imani yule mwamba kwaanavyoupiga mwingi kule niwewe bila yashaka
Mkuu humu tunabishana na waafhirika wa Hollywood movies ,Mshikaji kabisha mno. Maandishi yake yanaonesha namna alivyo mseja wa ubabe wa Marekani duniani kote. Nimemuacha aendelee kubisha coz nimemwambia asome histori ya Us huko Usomali kaniuliza hivi unaichikuliaje Marekani ikimbizwe na Wasomali! Imebidi nimpe pole.
Imani yake Ni Kwamba US haijawahi gongeka na vijana wadogo akina Aidid
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Unaweza kuzifatilia sana historia, pande zote mbili za mgogoro kati ya Urusi na Marekani.Mkuu, hao wote wanasikia wanatishiwa mno na Urusi maana Lativia, Lithuania na Estonia zilikuwa koloni za Urusi, Poland ilivamiwa na Urusi na sehemu kubwa ya nchi kuwa koloni kuanzia 1775 hadi 1918, halafu nchi yote nusu koloni 1945-1989. Hapo sababu ni wakli mno katika EU na NATO dhidi ya Urusi. Ila ni dhahiri, hao si Warusi.
Issue tofauti na Ukraine ni: miaka 1000 Urusi = Moscow ilikuwa jimbo la Kyiv, na wakati ule walikuwa kama utamaduni moja. Baadaye waliendelea pekee na tofauti zilitokea (jinsi ilivyo katika maeneo mengi kote duniani); Tangu Ukraine ilivamiwa na Urusi miaka 300 iliyopita, Warusi hawakutaka kukubali Ukraine ina nafsi tofauti; tangu miaka 200 walijaribu kukandamiza lugha ya Ukraine;
Putin anaamini hawastahili kuwa nchi ya pekee, sawa na Belarus ambayo anataka kumeza pia.
Siasa nyepesi nyepesi hizo.Urusi inataka kumeza Belarus, ni punguwan pekee ndo anaeza kuamini hii propaganda
Haaaaaaaa wapi russia anaunda vinu vipya vya hatari sasa hivi vinatengenezwa kwa wingi siku si nyingi vifaru visivyo na binadamu tunavituma mstari wa mbele vyenye high tech ukrain huu mwaka ukimalizika bila kuchukuliwa yote au asilimia 80% sijui labda urussi itumie njia nyepesi ya kuteketeza ukrain na nato kama iliyo tumia hivi majuzi kwa kuwa tengenezea machinjio kisha kurudi nyuma kidogo na kufyeka maelfu ya askari wa ukrain na nato na kuteketeza vifaa vya kivitaNaanza amini kuwa Urusi kaishiwa ndo maana anakimbilia NKorea, China, Iran.....
Na inaonekana kabisa kuwa Ukraine anaposema Spring atachukua maeneo mengi anamaanisha, na ndio maana West wanatoa Tanks nyingi ili ziwasaidie kwenye counter offensive
Tangu lini Duda amekuwa msemaji wa Russia?Hii Statement mnaielewa..?
"Duda believes that Russia is waiting for Ukraine's allies to get tired of military action."
Ndio maana Putin anasema kwamba, serious actions bado hazijaanza hapo Ukraine.
Kutoka kwenye hiyo statement ya Rais wa Poland, maana yake ni kwamba Russia wanasubiri hao west wachoke na Vita ndio yeye Sasa aanze serious actions.
Punguza wasiwasi ndugu.Nina wasiwasi huenda urusi kaanza kumtumia mshirika wake china kujaribu kumaliza mambo yaliyomfika shingoni[emoji848]View attachment 2528260
Mnajichanganya wenyewe, ile mi special military operation iliyoku na malengo makubwa matatuMwaka mmoja sasa bado Putin hajashinda Vita.
Amechukua maeneo, Ukraine imebakiwa na bandari moja, Ukraine imekuwa dhaifu,amechukua Donbas au wewe ushindi kwako maana yake ni nini?Mwaka mmoja bado Russia hajafanikiwa vitani
Ukraine haiwezi kujiunga na NATO, NATO wameshindwa kuitoa Russia Ukraine au wewe unatafsiri vipi ushindi.Mwaka mmoja bado Russia hajafanikiwa vitani
Ameshachukua 27% ya Ukraine.Mwaka mmoja bado Russia hajafanikiwa vitani