Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naona watu wameshindwa sherekea birthday ya uvamizi wao. Kyiv iko kimyaaa

Nikikumbuka ile siku mikwara ya ndege kibao na sijui ziliishia wapi zile ndege
Wait lakini sio leo Wala kesho. Nahisi itakuwa jtatu. But usiombee wenzio wa Kyv wateseke . Hata hivyo haitasaidia kitu Russian are there to stay.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Pole babaangu.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
UN ni nzi wa mashineni . UN imeshindwa kuwazuia great powers kufanya uhalifu wa kivita huko Vietnam, Iraq,Libya, Yugoslavia, Georgia, Syria na hata Ukraine.
Nb.
Tunaweza kusema pia Un Ni dume lenye nyoka mkuubwa lakini asiyetoa adhabu kwa mkewe mwenye ashki

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
We jamaa unatumia kiungo gani kufikiri
 
Ukiskia Pro NATO wakifrahia ujio wa Leopard 2 unaweza kujiuliza hiyo leopard haipigiki? Lakini wapi kihistoria leopard zaidi ya 50 zimepotea kwa kupigwa na ATGM Kama Konkurs, na Metis( Both analogy to Kornet ATGM) Hapo Syria. Ndo itakuwa Russia? Taifa linalotisha zaidi kuliko yote Ulaya?
Ni miujiza watu kuwa na imani kubwa hivyo juu ya silaha hi ambayo pigo moja la guided missile kutoka TORNADO MLRS litakifanya kuwa chuma chakavu.
Ama pigo 1 la Kornet litakifanya Leopard kuwa tanuri dogo.
Ama missile kutoka armor piercing ka 52 ama Su 25 zitakifanya leopard kuwa kaburi la crew.
Nb.
Swali. Ni Nini kinawafanya muamini Leopard 2 Ni silaha unique ya kumkimbiza Russia ?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Wiki hii kina Jambo naliona kidogo la kushangaza. Kuna I'd flani zimekuja humu na Kiswahil Cha kizungu. Wanachangia lakini so Kiswahil kile tukijuacho Cha Kenya, tz , Kongo nk.
Wao kiswahili Chao Ni Cha ugeni kabisa kutoka Ulaya. Na hasa Nina wasiwasi tumeingiliwa ama kwa kujua ama kutojua na Warusi halisi ama Wamarekani halisi.
Ni wazo tu.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Tuonyeshe mfano.
 
Mkuu tunaomba uzitaje ili tujue tunadili nao vipi?
 
Russia angeweza dhibiti Ukraine, hao wengine wasingejaribu kufanya lolote.

NATO yote iliamua kujilipua sana sana UK, US, Poland ili wasionekane wachovu
Kabisa, mpaka dakika za mwisho NATO hawakuwa tayari kuisaidia Ukraine ila hata 'performance' mbovu ya jeshi la Urusi na ushujaa wa Ukraine uliwatoa hofu ya kupeleka misaada.

T14 Armata Sela Son
 
Kwa hiyo I'd zinakutisha ?
 
Spring offensive ya Ukraine itajibu maswali yote.
 
[emoji298]️Russia is allegedly negotiating with China on the supply of lethal weapons. They plan to buy a trial batch of one hundred ZT-180 kamikaze drones, capable of carrying a warhead weighing from 35 to 50 kg, Der Spiegel reported.[emoji298]
Zile za Iran zimeisha?

China lazima atapeleka
 
Kuna packages nyingi za Marekani hazina specifics, inaonesha kuna silaha wanapewa ila wanasubiri maelekezo

Japo naona kwa sasa wamepewa drone inayoweza tembea 450Km

Australia sends $33 million in military drones to Ukraine and imposes new sanctions to mark one year since President Vladimir Putin's invasion​

Australia has ramped up its support for Ukraine by sending $33 million in military drones and imposing new sanctions on a further 90 people and 40 entities on the first anniversary of President Vladimir Putin's invasion.
==================


Ndio hizi kutoka Australia ?
 
Wale wazee wa DEMOKRASIA waione hii
Sio waione tu, tuwaulize wapo tayari kuona watoto wao wa kiume wakisoma hayo masomo?? Wako tayari mtoto wake wa kiume amletee mkwe ambaye ni jinsia ya kiume?

Nina hakika hili swali hawatojibu. Na kama hawatojibu ndio ujue hawa wenzetu wapo hapa kutetea maslahi fulani, labda na wao ni jinsia hizo
 
Kabisa, mpaka dakika za mwisho NATO hawakuwa tayari kuisaidia Ukraine ila hata 'performance' mbovu ya jeshi la Urusi na ushujaa wa Ukraine uliwatoa hofu ya kupeleka misaada.

T14 Armata Sela Son
Sio kweli...!!! NATO wameanza kuisaidia Ukrein just after Crimea annexation ..2014,,, walianza kuwapa Training wanajeshi wa Ukrein katika nchi za Poland, UK..and US..., ref..maelezo Germany ex. Chancelor...Angelar Markel..na Macron wamekiri wazwaz kwamba ile Minsk agreement ilikuwa ni kubuy time ili ...wapate muda wa kulijenga Jeshi la Ukrein baadae waje kupambana na Russia/Donbas..., na hata speech ya Juzi Putin..kaongea hk kitu...!!!
kwanza kwa historia ilivyo isingewezekana Russia apigane sehemu halafu Marekani asiingilie...(remember..NATO =US)...( ref: Vietnam War...jeshi la Vietnamese lilikuwa armed kwa silaha na Intelligence na Soviet Armies, angalia hata recently wars...Syria..mtiti wa Venezuela..etc)
kwa hiyo pamoja na Putin kutoa ule mkwara siku anatangaza SMO alikuwa anajua ...NATO lazima watamsaidia Ukrein kwa hali na mali...!!!..point kubwa hapa ni msaada wa aina gani..?

Unatakiwa uelewa hata Military Doctrine ya Ukrein kwa sasa ni ya Kimagharibi....,sio Kisoviet tena...sasa jiulize wamebadilisha lini hii kitu..

watu wengi mnapelekwa na propaganda sana za magharibi..., hv hamjiulizi silaha zote hz zinazoharibiwa na Russia hapo Ukrein zimeingia lini..?...achanane na hzo package zinazoingia hapo kipindiki hk vita imeanza...Ukrein walikuwa well equiped kabla hata ya SMO...sababu West wanamjua Mrusi kwamba tukifanya jambo hili reaction yake ni hii...na ndio maana wanasita kutuma long range missiles sababu ..they know whats going to happen ....!!!!

Zelensky kaandaliwa yule....aje pale...hv kujidai kote huko kwa Zele..toka mwanzo...ni kwa sababu ipi..??...Ukrein alikuwa na jeshi la kupambana na Russia..??...


Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…