Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

#In the past 24 hours, Ukrainian defenders have repelled about 70 attacks by russian invaders in the Kupiansk, Lyman, Bakhmut, Avdiivka and Shakhtarsk directions.[emoji298]
 
Vilianzia Crimea na vitaishia Crimea [emoji56]

[emoji1255][emoji298]The Ukrainian leadership is preparing to bring Crimea back, and it is necessary to work towards this.[emoji298]
 
Kabisa, mpaka dakika za mwisho NATO hawakuwa tayari kuisaidia Ukraine ila hata 'performance' mbovu ya jeshi la Urusi na ushujaa wa Ukraine uliwatoa hofu ya kupeleka misaada.

T14 Armata Sela Son
West kutokana na analysis zao waliona Kyiv inadondoka, wakaogopa peleka silaha, maana Ukraine hawakuwa na Training....

Zile Javelin za kwanza nyingi watu walipewa ila hawakujua zitumia.

Ila kuanzia March 1 mambo yakageuka upesi sana
 
Huyu zele ni Jinga kbsa hana busara atakama akubalian na vigezo vya rusia na yeye angeonyesha kuwa anatak nn ili kufikia mwisho wa vita Dunia ya sasa anakaz kichwa wakat anategemea misaada kwa 100%


Lakn nazan kunakitu wanatak kujarbu dunia hii kikifeli jeshi lake nitajisalimisha
 
Pro Nato baadhi kama hawa wana shida kichwani
 
[emoji1063]Canadian Prime Minister Justin Trudeau has announced that Canada will send 4 more Leopard 2A4 main battle tanks to Ukraine, CBC News reported.[emoji298]
 
Chinese wameshaweka peace plan yao mezani.

Ni jukumu la west kuikubali au kuikataa. Sasa, kama wakiikataa maana yake ni kwamba, west wanataka kuendelea ana huu mgogoro.

Ndio maana China amesha sign agreements na Russia za ku supply lethal wepons ili zikatumike hapo Ukraine.

Pia, hii peace plan ina reflect kile kinachoendelea kule Taiwan.


 
Unaijua UN security council?Unajua wanachama wake?
Kwanini hao uliowataja ndio wawe permanent kwenye security council?
Composition ya security council Iko hivi;
Five permanent members: China, France, Russian Federation, the United Kingdom, and the United States, and ten non-permanent members elected for two-year terms by the General Assembly!

NATO ni US,ukatae au kupinga!
Kati ya member wote wa NATO,yeyote anaweza kutoka na NATO ikaendelea kusimama ila sio US!US akiamua NATO ianguke Leo basi inaanguka!
Hili unalijua ila umeamua tu kuwa mbishi!
 
Wakati huo hakuna sehemu nyingine ya kupata hyo baiskeli Ila mm naweza nikauza kokote ninakotaka njaa inakutoa pangoni.

Putin Signs Decree Banning Russian Oil Exports To Countries That Impose Price Cap​

December 27, 2022 17:46 GMT

Russian President Vladimir Putin
Russian President Vladimir Putin has signed a decree banning the supply of crude oil to foreign companies and citizens that abide by a $60-per-barrel price cap set by Western allies as a means to squeeze Russian revenue used to fund the war in Ukraine.
 
Zelensky hana akili! Hata unusu ya nusu ya akili hana!

Maadamu Russia ilimthibitishia Waziri Mkuu wa Israel ambaye Bw. Zelensky alimtumia kama mjumbe wake ahakikishiwe usalama wa maisha yake na Putin kuthibitisha kuwa hana mpango wa kumuua anayoyafanya huyu jamaa ni mawili tu:
1) Uigizaji na
2) Uropokaji
 
Tunaendelea
 
Kauli za kibabe hizi [emoji16]

[emoji298]️The war will end in some kind of negotiation, and the starting point will be the withdrawal of Russian troops from Ukraine, US Defense Secretary Lloyd Austin said.[emoji298]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…