kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ukizingatia china FM alikua Urusi juzi TU,kuweka mambo sawa.Zeleboy anatapatapa. Uchina haipo tayari kuiona Urusi yenye nguvu ikianguka. Russia ikianguka atakaefuatia Ni yeye. Hili lipo wazi!
Hatasaidiwa chochote zaidi ya kuambiwa azingatie zaidi mazungumzo kuliko mapigano.. so kikubwa aendelee na msimamo nchi yake izidi kuitwa Russia
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
PointIv ipo siku na sisi tutakuja kua na intelligence makini kama ya urusi au marekani.
Najaribu kufikiria intelligence ya urusi ilivo makini dhidi ya intelligence ya ukraine na west.
Bila ujasusi makini Urusi angekua chali kitambo sana.
Anzisha uzi wa kúwaunga mkono wavamizi uone käma sijakuombea LaanaIla miaka yote umeshindwa kuilaani mauaji yanayotokea Kongo hapo ambao ni jirani zako.
Mauaji na vifo vinavyotokea Msumbiji ambako Tanzania tumepakana nao.
Vita kule Somalia
Vita ya Waethiopia
Vita vya Afrika ya Kati
Hilo Dua lako ni la kinafiki na wanafiki peponi hawaingii
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣😂😂😭😭😭😭Vitu vyenyewe ndio hivi

The Leopards that were delivered to Ukraine are already back in Poland for maintenance
Hii haitafanya SMO isitishweYeyote anae iunga mkono russia kuivamia Ukreine na kwenda kuuwa Watu na Viumbe Pasipo na hatia LAANATULAH!!!; KILA WANAPO TOKA NA KUINGIA MAKAZI YAO WALAANIWE!
SEMA AMIN [emoji120]
Ulichoweka kama source hakina hayo maandishi uliyoweka, mwenyewe unajua umeyatoa wapi.Huku blomberg wanatwambia hv kule ndugu T14 Armata anatwambia vile
Haya acha tuone
[emoji631] [emoji921][emoji635] Bloomberg writes that on average Russia sells oil for $ 74 per barrel, despite the price ceilings. China buys at a price of as much as $ 82. And half of this same oil from Russia goes by shadow schemes and does not fall under the ceiling at all. The publication makes an unexpected conclusion that the introduction of the price ceiling by the West harmed only those who ate it, but it did not work against Russia
Mpaka sasa ndan ya field Urusi yupo vzr ingawaje anapata changamoto lkn anasonga mbele kwa hiyo usitarajie kuona Belarus akiingia mzigon wala china na Iran wakipeleka misaada ya kinomanoma.Belarus vs Ukraine?
Miezi miwili iliyopita tuliambiwa huo mji ni completely encircled [emoji16]Mkuu wa majeshi wa Ukraine, amemuonya Zeleboy kuhusu situation ya Bakhmut
Amemwambia kwamba hali ni tete na wanabidi wauachia huo mji na watafute position nyingine ya defense.
View attachment 2530949
Kwenye hao walosema kua wataganda naomba unitoe hukoUlichoweka kama source hakina hayo maandishi uliyoweka, mwenyewe unajua umeyatoa wapi.
By the way hii ni average price ya mafuta ya Urusi kulingana na hao watafiti. Price cap iliwekwa na nchi 7 ambazo mojawapo zake humu mlikuwa mnasema zitaganda winter ikifika. Price cap haihusiani na wanunuzi wengine kama China na India.
Hizo laana baada yakutuombea sisi hapa jf kwanini usizielekeze kwahao wavamizi wakalaaniwa ili madege yao vifaru vyao drones badala ya kutoa moto vikatoa mvuaAnzisha uzi wa kúwaunga mkono wavamizi uone käma sijakuombea Laana