Kila siku inavyo songa ndiyo mrusi anazidi kuwa vizuri kumbuka dola ya marekani inakwenda kukumbwa na pigo kubwa miaka ya hivi karibuni ...hivyo uchumi na uthabiti wa utulivu wa USA utayumba kimataifa na kitaifa tutashuhudia maandamano na vyama vipya vya kisiasa vyenye mtazamo tofauti vikipata nguvuSidhani Urusi ana uchumi wa kupigana vita hii kwa miaka 5
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani ni balaaa Urusi anapigwa kachoka kachakaaaaa .....Kapoteza Mariupol, Kherson, LUHANSK, Zaporizhzhia, Donetsk , Soledar na sasa anakimbia ana retreat kuelekea Bakhmut .... Aseee Ukraine ni noma sana wanatoa kichapo kwelikweli...
Pigo la sunami kwa USA NA NATO ukweli ni kwamba mtu yoyote anaye chagua NATO basi ajue kachagua fungu bovuKremlin says too early to initiate global push for replacing dollar as key currency
At the same time, the Kremlin spokesman stated that "the process of de-dollarization is now underway"
Westerns wenyewe wanasema sanctions hazijaweza kumtingisha Russia. Lakini bado wanarudia hapo hapo kwenye Sanctions, kwani hawawezi kuja na kitu kingine.Fashisti anazidi kubanwa kila kona
[emoji627]Japan has imposed sanctions on 48 individuals and 73 entities from Russia.
In particular, the restrictions affected the head of the Kalashnikov Concern, Alan Lushnikov, Russian Deputy Defence Minister Viktor Goremykin, the Wagner PMC and Rosbank.[emoji298]
Si vibaya kujipa matumaini, maana inasaidia kupunguza stress [emoji16][emoji28]Westerns wenyewe wanasema sanctions hazijaweza kumtingisha Russia. Lakini bado wanarudia hapo hapo kwenye Sanctions, kwani hawawezi kuja na kitu kingine.
Albert Einstein alisema hivi:
“The definition of insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results.”
Kwa hiyo wanachokifanya hao Westerns kuendelea na Sanctions ni Insanity tu.
Hawana namna. Inabidi waweke vikwazo tu. Kivita hawamuwezi.Westerns wenyewe wanasema sanctions hazijaweza kumtingisha Russia. Lakini bado wanarudia hapo hapo kwenye Sanctions, kwani hawawezi kuja na kitu kingine.
Albert Einstein alisema hivi:
“The definition of insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results.”
Kwa hiyo wanachokifanya hao Westerns kuendelea na Sanctions ni Insanity tu.
Vikwazo tumeshinda mda mrefu we unaamka leo?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Fashisti anazidi kubanwa kila kona
[emoji627]Japan has imposed sanctions on 48 individuals and 73 entities from Russia.
In particular, the restrictions affected the head of the Kalashnikov Concern, Alan Lushnikov, Russian Deputy Defence Minister Viktor Goremykin, the Wagner PMC and Rosbank.[emoji298]
[emoji298][emoji298]The U.S. government transferred the first tranche worth $1.2 billion of direct budget support to Ukraine.[emoji298][emoji298]
Kama wameweza kuigeuza operation maalum ya kijeshi ya Saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo kuwa vita ya muda mrefu.., unafikiri ni nini kingine kitashindikana!Hawana namna. Inabidi waweke vikwazo tu. Kivita hawamuwezi.
Na zile mlizopeleka zinasubiri nn kuanzia kazi? Kazi mnasema ameishiwa risasi na bunduki ila mnapigwa na mawe[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hii counteroffensive itakuwa ya moto kwelikweli [emoji1255][emoji91][emoji91]
[emoji298][emoji298]Future Ukrainian counterattacks using modern Western combat vehicles are being discussed everywhere, from Washington news conferences to Ukrainian military expert circles.
Ukraine hopes to receive up to two brigades of tanks, on top of many infantry vehicles from Western allies. But there are two main obstacles to using the tanks — the first being their delivery schedule and the second being logistics and maintenance.[emoji298]
Kwa nini Sasa super pawer wa kwenye makaratasi anamtuma china akawaombe west Ili waondoe hivyo vikwazo [emoji28]Vikwazo tumeshinda mda mrefu we unaamka leo?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]