kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Wanaopigwa kama mawe ni wale wanaopigana kwenye mji mmoja tu wa bakhumut mwaka mmoja Sasa[emoji1787][emoji1787]Na zile mlizopeleka zinasubiri nn kuanzia kazi? Kazi mnasema ameishiwa risasi na bunduki ila mnapigwa na mawe[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hakuna aliyekataa ila haibadilishi ukweli kuwa Vita ni Ghali.China ni nchi tajiri wewe
Kamikaze kaanza tena 😀 😀Drone za iran zimefanya mambo usiku wa kuamkia leo
Muulize zele anayetaka kuonana na xi akamuombee radhi.Kwa nini Sasa super pawer wa kwenye makaratasi anamtuma china akawaombe west Ili waondoe hivyo vikwazo [emoji28]
"China haitavumilia vitisho vya Marekani - Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China. "Marekani haina haki ya kushambulia uhusiano wa China na Urusi. Na mbona Washington inaipatia Kiev silaha za maangamizi!" Ni kana kwamba Washington inadhani bado inamiliki ulimwengu!
Zelensky ni sadist par excellence, hana UTU kabisa yuko radhi kutoa kafara kwa WaUkraine wenzake ili kutekeleza njama za mabeberu za kutaka kuitawala Dunia.Mwendo wa mawe ya kichwa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 2532456
Ngoja Bhakmut itwaliwe ili sasa kipigo kiwe cha face to face maana hiko ndio kilikuwa kichaka cha mashoga kujifichia kwa ajili ya counter offensive.Fashisti Putin atanyooka tu taratibu [emoji1787][emoji28]
[emoji298][emoji298]The Institute for the Study of War said Russia will face increasing costs to replace its losses in the latest report on Russian forces’ recruitment campaigns on Feb. 26.
The D.C.-based think tank estimated that Russia “likely began to run out of combat-ready forces” in May 2022, forcing Russian dictator Vladimir Putin to resort to various mobilization strategies[emoji298][emoji298]
Nimeona majeneza kama 200 hivi yakiwa yana miili ya vijana wa shoga zelensky wakiwa tayari kwa ajili ya Kurudishwa kwa wazazi waoZelensky ni sadist par excellence, hana UTU kabisa yuko radhi kutoa kafara kwa WaUkraine wenzake ili kutekeleza njama za mabeberu za kutaka kuitawala Dunia.
Mtu na akili zake timamu anajua wazi wazi kwamba uwezekano wa jeshi la Ukraine na mamuluki kulishinda jeshi la Urusi hizo ni kama ndoto za mchana, hilo wala yeye halimpi shida anaendelea tu kuwa subject vijana wa Kiukraine kwenye meat grinder za jeshi la Urusi na wanakufa kweli kweli, as I said he doensn' t care hata wakifa mamillioni, after all is already stinking rich akizidiwa atakimbilia kwenye Mansion yake huko Miami Beach Florida.
Westerns wenyewe wanasema sanctions hazijaweza kumtingisha Russia. Lakini bado wanarudia hapo hapo kwenye Sanctions, kwani hawawezi kuja na kitu kingine.
Albert Einstein alisema hivi:
“The definition of insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results.”
Kwa hiyo wanachokifanya hao Westerns kuendelea na Sanctions ni Insanity tu.
Bloomberg...inatawaliwa na Serikali ipi.???kwani mkuu wewe unajuaje impact ya vikwazo kwa warusi wakati media zinazokupa taarifa zinatawaliwa na serikali?
kwani mkuu wewe unajuaje impact ya vikwazo kwa warusi wakati media zinazokupa taarifa zinatawaliwa na serikali?