Duu nimeamini ashki majunun!Hiii taka taka inaharibu huu uzi, waungwana wenzangu naomba tumblock huyu jamaaa kuliko kuendelea kumpa kichwa.
Mchaw lugha“Stoltenberg was stating quite recently, in the past days in fact, that the risk of a Russian victory in the battlefield, outweighed the risk of escalation and direct confrontation with NATO. In plain terms it means NATO will rather intervene, than letting Russia win this conflict. That means of course a nuclear confrontation. It serves to show the stupidity and arrogance of European politicians to the entire world. We're putting ourselves, willingly, in the exact same kind of absolutist positions that led to WW1. Uncompromising absolutist position, unwillingness to negotiate a single thing. Not that there is nothing to negotiate now, the events went too far already. If rumors of an alleged chemical weapons attack being prepared by the AFU are true, then they will get out of hand completely and into the WMD realm. But instead of trying to defuse tensions, our glorious leaders are escalating them. What they expect to achieve with this is truly a mystery, after all, even the simplest of organisms have a self-preservation instinct. We'll just have to find out if Stoltenberg means it, but i suspect he'll be far far away from the front-lines and from primary impact zones. Probably in a bunker with the remaining vassals, wondering exactly what went wrong and blaming the European population for their lack of patriotism and fighting spirit”
Unäamini google kuliko Vitabu vya Mungu ww kichekesho sana!We jamaa kama hauna tatizo la akili hebu "gugo" neno "what is homosexual mean?" eunuch au towashi ni aina ya watu wapo kama "ndafu" za kina bwashee...ww uwshawahi kuta ndafu inampanda ndafu mwenzie? Ila homosexual anampanda homosexual mwenzie...naamin huna tatizo la akili ila umeamua tuu kujifanya una tatizo
Ipo nafasi ya kuondoka ila uwa haurusiwi kuondoka na silaha.kipengele icho cha makubaliano uwa kipo uwanja wa vita maana kinachogombaniwa ni ardhi na sio mtu.kwa iyo bado wana nafasi ya kuondoka BakhmutAnaondoa vipi vikosi wakati tayari vimeshazingirwa?
Ukraine tu kawatoa jashoYani NATO wana Ego kishenzi kwamba wakionekana wamezidiwa na Urusi wataaibika bora waanzishe WW3 tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] uzuri majasusi wa Urusi washaujua huo mpango wa chemical weapons na watajibu accordingly [emoji14] washushe kidude hata cha 30 kilotonnes tu
Mkuu una habari za ajabu kidogo.Wahindi hawawezi kuwatenga Warusi siku hata moja. Wanajua Russia Ni nani!
Ni Russia iliyosimama kidete kuizuia England na Us kuwavamia wahindi katika Rasi ya Bengal miaka ya Coldwar. India ikiwa inaelekea kuangamia kwa makombora kutoka Submarines ghafla waingereza wakagundua jambo... Oh Admiral Soviet are here! Basi wakaahirisha uvamizi Soviet Russia Navy ilikua tayari kulinda India. Waingereza na Wamarekani wakaondoka kwa aibu.
Leo wamtenge Russia kisa ujinga wa kujitakia wa Zeleboy?
Ni Russian waliowasaidia India kuwa nuclear power miaka 20+ iliyopita. Powerfully India is here to stay kwasababu ya nuclear technology tokA kwa warusi.
Mwaka 1986 kwa kuwaamini zaidi wahindi S Russia iliwauzia state of the Art air superiority fighter jet by the name Mig 29.
India Wana mengi ya kufanya kubaki zaidi kuwa rafiki zaidi wa Russia kuliko adui wa Russia .
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ipo nafasi ya kuondoka ila uwa haurusiwi kuondoka na silaha.kipengele icho cha makubaliano uwa kipo uwanja wa vita maana kinachogombaniwa ni ardhi na sio mtu.kwa iyo bado wana nafasi ya kuondoka Bakhmut
Uwa ipo uwanja wa vita.mnakubali kuweka silaha chini mnaondoka bila silaha.Maliupol walishindwa kufanya ivyo kwa sababu Kikosi cha Azov kilikuwa kinatambuliwa na Warusi kama kikosi cha kigaidi.Mkuu hii umeitoa wapi?, kwenye hii vita uki surrender basi unachukuliwa kama prisoners of war kwaajili ya kubadilishana baadae, huwezi kuruhusiwa ukarudi nyumbani kizembe.
Uwa ipo uwanja wa vita.mnakubali kuweka silaha chini mnaondoka bila silaha.Maliupol walishindwa kufanya ivyo kwa sababu Kikosi cha Azov kilikuwa kinatambuliwa na Warusi kama kikosi cha kigaidi.
Mkiomba kuweka chini silaha ili mpewe njoa ya kuondoka mnakubaliwa wala awawezi kukataa kwa sababu wanapunguza gharama na madhara ya kupoteza wanajeshi.ila mnakaguliwa kwanza ili msiondoke na silaha
Ukraine ya wapi unayoizungumzia Ndugu yetu???!!! Yaani mpaka sasa bado umeng'ang'ania fikra mgando za kwamba eti Ukraine inapambana na Russia??!! Hutaki kuukubali ukweli kuwa Russia inapambana na nchi 54 duniani? Yaani Nchi zote za NATO zinapambana na Russia halafu kuna nchi nyingine kama Australia, New Zealand na kadhalika yaani zote hizo jumla yake ni 54......Yaani zinapambana kijeshi, kiuchumi, kijamii, kiuandashi wa habari, kipropaganda (yaani west wameingia kwenye mitandao yote ya kijamii duniani na kwenye mainstream media kusambaza propaganda ) na kadhalika. Yaani Russia, dude kubwa, bado limesimama tu na linaendelea kusonga mbele huku maelfu ya askari wa Ukraine na wale wa NATO (ambao wanapambana kwa kificho au isivyo rasmi) wakiendelea kuteketea. Zele leo analia kwa nguvu kuwa Russia inaharibu kila kitu waliko manazi na wapinga utu. Kilichobaki ni kwa NATO kuingia rasmi mzigoni na kuteketezwa kimoja na kuwa mwisho wa enzi.Ukraine tu kawatoa jasho
Na unaondoka mikono yote kivhwani.Ipo nafasi ya kuondoka ila uwa haurusiwi kuondoka na silaha.kipengele icho cha makubaliano uwa kipo uwanja wa vita maana kinachogombaniwa ni ardhi na sio mtu.kwa iyo bado wana nafasi ya kuondoka Bakhmut
Mkuu hadi sasa tunaona nchi mbalimbali zinamsaidia yule aliyevamiwa na mjambazi . . Ila hawampigi jambazi. Wangempiga, angekwisha tayari . . .Ukraine ya wapi unayoizungumzia Ndugu yetu???!!! Yaani mpaka sasa bado umeng'ang'ania fikra mgando za kwamba eti Ukraine inapambana na Russia??!! Hutaki kuukubali ukweli kuwa Russia inapambana na nchi 54 duniani? Yaani Nchi zote za NATO zinapambana na Russia halafu kuna nchi nyingine kama Australia, New Zealand na kadhalika yaani zote hizo jumla yake ni 54......Yaani zinapambana kijeshi, kiuchumi, kijamii, kiuandashi wa habari, kipropaganda (yaani west wameingia kwenye mitandao yote ya kijamii duniani na kwenye mainstream media kusambaza propaganda ) na kadhalika. Yaani Russia, dude kubwa, bado limesimama tu na linaendelea kusonga mbele huku maelfu ya askari wa Ukraine na wale wa NATO (ambao wanapambana kwa kificho au isivyo rasmi) wakiendelea kuteketea. Zele leo analia kwa nguvu kuwa Russia inaharibu kila kitu waliko manazi na wapinga utu. Kilichobaki ni kwa NATO kuingia rasmi mzigoni na kuteketezwa kimoja na kuwa mwisho wa enzi.
Hato watoto hawatarudi tena kwenye utawala wa manazi wa Kiev. If you don;t know the children are Russians from the Eastern Ukraine (Donbass and Luhansk). Now they are in safe hands of the mother Russia. Walikuwa wanateswa sana kwenye utawala wa Zele.[emoji779]️Russia's representatives and accomplices have already deported more than 16,000 Ukrainian children. Ukraine has managed to return 307 of them, the Ukrainian Prosecutor-General's Office said.[emoji298][emoji298]
Kwanza kwa mtu mwenye mawazo na vitendo vya kkunga mkono Marekani, West na Ukraine usiniite mimi 'mkuu'... Mimi sitaki kuitwa hivyo. Sitaki mtu anayejipendekeza kwangu kwa kunipa wadhifa wa kinafiki. Kma una mawazo kuwa nchi hizo zinamsaidia huyo anayedaiwa kuvamiwa nakupa pole. Hujui kitu. Hujui kinachoendelea kwenye dunia hii. Au unajifanya hujui what is going on. This world should be cleansed of all evils za west.Mkuu hadi sasa tunaona nchi mbalimbali zinamsaidia yule aliyevamiwa na mjambazi . . Ila hawampigi jambazi. Wangempiga, angekwisha tayari . . .
Kinyume bado NATO wanalinda Urusi wakizuia Ukraine kupiga maneo ya Urusi wenyewe (si maeneo yale ambayo Putin alitangaza...).
Wanafanya vile kwa sababu wanataka kunyesha hawataki kuharibu Urusi (kinyume cha propaganda ya Putin) na kutuliza hofu ya vita ya nyuklia.