kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kwani waliambiwa Russia anashida ya Relation na magashoo[emoji14][emoji14][emoji38][emoji38][emoji187]“We must realize that the end of this war will not lead to normal relations with Russia. There is no turning back in the relations between NATO and Russia,” NATO Secretary General Jens Stoltenberg said at the SAMAK Nordic EU Summit in Helsinki.[emoji298][emoji298]
Unakurupuka tu kujibu bila kujua hata unachokijibu.., mungu akuhurumie!!Kwani waliambiwa Russia anashida ya Relation na magashoo[emoji14][emoji14][emoji38][emoji38]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yaani mambo hayo uliyoyataja yatokee huko Russia halafu vyombo vya habari vya west vinyamaze?? Duh....Hivi unafikiri hali ingekuwaje kama mauaji yanayotokea huko Marekani 'kila kukicha' yangekuwa yanatokea huko Russia??? Yaani Marekani kuna violence za kutisha, mtu akijisikia tu hajapata hela ya mkate siku hiyo anachukua bunduki na kuwachakaza wenzake au anaingia kwenye mashule na kuwamiminia risasi wanafunzi...Hiyo ni violence...suppose ingekuwa inatokea Russia???!!! USA is a rotten society...It has degenerated into violence.safi,
angalau upo wewe unayekuja na fact kuliko huyo jamaa niliye m'quote'. Kaja na taarifa ya uwongo kutetea na wenzake wenye mahaba mbele wamemsapoti.
binafsi hufuatilia taarifa toka vyanzo vyote west na east. Most of russian media ni state-owned.
Media huru zililazimika kufunga shughuli baada ya ile sheria ya march.
je uliwahi kusikia maandamano ya ndani ya urusi kupitia rt au tass?
uchumi wa urusi ume decline, je umesikia cost of living crisis kupitia hizo media kama unavyosikia crisis ndani ya western?
kulikuwa na anti war protest ndani ya urusi,je ulipata habari hizo via rt or tass?
Je hii inamaanisha hali ndani ya urusi ni shwari kabisa?
hiyo ya kutoa resource kutoka sector nyingine ni nadharia kweli kwa sababu hatujui kabisa yanayoendelea ndani ya urusi kwa sababu hakuna uhuru wa media.
-sawa mfumo wa swift umezuiwa lakini kama bado unaweza kuendelea kufanya biashara kama anavyouza mbolea afrika kwa nini asiuze na mafuta?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Zele anasema Russia anapiga kipigo kibaya sana bhakmut kwamba wanajeshi wake kukaza ni swala ambalo ameliita la kishujaa sana. Hii ina maanisha hata angekuwa ni yeye angekimbiza kipele chake fasta sana nje ya uwanja wa mapambano.Ukraine ya wapi unayoizungumzia Ndugu yetu???!!! Yaani mpaka sasa bado umeng'ang'ania fikra mgando za kwamba eti Ukraine inapambana na Russia??!! Hutaki kuukubali ukweli kuwa Russia inapambana na nchi 54 duniani? Yaani Nchi zote za NATO zinapambana na Russia halafu kuna nchi nyingine kama Australia, New Zealand na kadhalika yaani zote hizo jumla yake ni 54......Yaani zinapambana kijeshi, kiuchumi, kijamii, kiuandashi wa habari, kipropaganda (yaani west wameingia kwenye mitandao yote ya kijamii duniani na kwenye mainstream media kusambaza propaganda ) na kadhalika. Yaani Russia, dude kubwa, bado limesimama tu na linaendelea kusonga mbele huku maelfu ya askari wa Ukraine na wale wa NATO (ambao wanapambana kwa kificho au isivyo rasmi) wakiendelea kuteketea. Zele leo analia kwa nguvu kuwa Russia inaharibu kila kitu waliko manazi na wapinga utu. Kilichobaki ni kwa NATO kuingia rasmi mzigoni na kuteketezwa kimoja na kuwa mwisho wa enzi.
Washauteka sio wanakaribia 🤣🤣🤣 BBC waache uzembe wa kukwepa kuongea ukweli.Naona BBC wameamua waongee ukweli wa mambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2532850
Ha ha ha haa.Kwa hiyo?????!!!!!!
Ha ha hahaaDuh....kweli wewe hujui kitu...jibu langu Hilo Lina maana kubwa Sana...