Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hawa warusi wasipotafuta amani au kumuondoa Putin mapema,vifo vya wanajeshi wao vinaweza fikia milioni na ushee.....Amakweli warusi hawana tofauti na wanachama wa CCM,anachosema mwenyekiti ndio hichohicho🤣
Aliekwambia warusi wana tabu na hivyo vita ni nani? Ushasikia lini makazi ya urusi yameguswa zaidi ya vidrone kudondokea kwenye viwanda huko.
 
Kama M23 wanapewa support na West jua vita haitakaa iishe Congo.
 
Bora kama wamepata akili sasa waunde NATO huru sio hii nato maslahi ya bwana wao USA
 
[emoji1099]EU countries have agreed on a plan to quickly transfer of scarce artillery ammunition to Ukraine, the Financial Times reported. According to the newspaper, it is now a matter of "days, weeks, not months".[emoji298][emoji298]
 
[emoji298]️German Chancellor Olaf Scholz and US President Joe Biden will hold confidential talks in Washington today about Russia's war in Ukraine, China and other issues amid signs of tensions between the transatlantic partners, Reuters reported.[emoji298]
 
Nina uhakika wakugongwa ka Nuclear kamoja USA hawezi kufurukuta zaidi atalia sana
 
Bakhmut imezingirwa kila pande.

Ukraine kama ilivyo Russia na nchi zingine za ilokuwa URRS zina mahandaki ambayo mengi yalijengwa wakati wa vita kuu ya dunia.

Mahandaki haya yana kila kitu kwa binadamu kuishi humo zaidi ya mwaka, kuna njia, umeme na hata maji.

Hivyo mji wa Bakhmut upo hivyo na ndio sababu wanajeshi wa Ukraine wameweza kuishi humo wakijificha kwa miezi kadhaa.

Russia kwa kutambua uwepo wa mahandaki haya walikuwa wakisubiri muda ufike ili waweze kuyafurumua mahandaki haya kwa mabomu maalum ambayo huweza kupenya hadi huko chini.

Lakini Russia kama walivyofanya kule Mariupol na Zaporizhzhia watataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe au wawe tayari kupoteza maisha.

Wagner wamemwambia Zelenksky aamuru wanajeshi wake wajiokoe mapema na wajitokeze kujisamilisha kabla kazi haijanza.
 
Je hatuwezi badili mifumo ya magari toka mafuta kwenda gesi?
 
Waliongea sana kuhusu haya ila mpaka leo Russia ipo na inagawa dozi kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…