Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298][emoji298]Twenty-nine states have already joined the coalition on the creation of a special #tribunal for #Russia’s crime of aggression against #Ukraine.[emoji298][emoji298]
 
[emoji298][emoji298]In Lviv, President of #Ukraine Volodymyr #Zelensky met with Deputy Prime Minister and Minister of Foreign Affairs of the #Netherlands Wopke #Hoekstra and Minister of Foreign Affairs of #Estonia Urmas #Reinsalu.[emoji298]
 
President of #Ukraine Volodymyr #Zelensky and President of the Republic of #Latvia Egils #Levits signed a joint declaration confirming Latvia’s support for Ukraine's full European and Euro-Atlantic integration.[emoji298]
 
Mamluki maana yake Nini?Hivi mfano Tanzania,ni nchi ya mamluki kisa watu kutoka mataifa mbalimbali wanafanya kazi nchini Tanzania?Kampuni zilizoajiri watu kutoka mataifa mbalimbali zinaitwa kampuni za mamluki?
Hebu tuambie tafsiri hasa ya mamluki!
Mkuu, nashauri ujipatie kamusi.
Kwa mfano Kamusi ya Kiswahili Sanifu (Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (TATAKI))
mamluki [mamluki/ nm (-) [a-/wa-] askari wa kukodiwa; kiroboto.
au kwa kipana zaidi Kamusi Kuu ya Kiswahili (BAKITA):

mamluki /mam 'lu:ki/ nm, (0). (a/wa)
a. askari anayepigana na jeshi lolote ambalo litamlipa; askari wa kukodiwa
b. mtu yeyote anayekodiwa ili afanye kazi fulani
ch. mtumwa mwanamume anayepigana vita kwa kulipwa


Kamusi zinasaidia kuelewa lugha na pia maana mbalimbali za misamiati tunayokuta.
 
Wazee wa bakhumut mpooooooooooooo [emoji16][emoji1787][emoji28]



[emoji298][emoji298]Colonel General Oleksandr Syrskyi, commander of the Ground Forces of Ukraine, arrived in Bakhmut, Donetsk Oblast, on March 3 to visit the command posts in the frontline city.

"The enemy does not give up hope of capturing Bakhmut and continues accumulating forces to occupy it," Land Forces wrote.[emoji298][emoji298]
 
Vitu vinazidi kupukuchuliwa kama senene huko [emoji28][emoji1787][emoji16][emoji91][emoji91][emoji123][emoji123][emoji1255][emoji1255]


[emoji298][emoji298]Ukrainian anti-aircraft gunners destroyed a Russian Su-34 fighter-bomber near the town of Yenakiieve in Donetsk Oblast on March 3, Ukraine's Air Force reported.

One of the downed aircraft's pilots was killed, and another was injured, according to the Ukrainian military. [emoji298]
 
Zelensky anachekesha sana.
Sasa hapo anaomba au ana lazimisha (demand)

Yeye akae kwa kutulia, ameshalikoroga, na ndio alinywe sasa.
Kwa nini atulie? Siyo hadi sasa amefaulu kiasi kikubwa kujipatia silaha bora hadi kurudisha jeshi la Putin kutoka theluthi ya ardhi ya Ukraine hadi chini ya asilimia 20?

Tena kwa kutonyamaza anaonekana aliweza kuunganisha taifa lake na kupata ahadi za mambo yaliyokuwa mbali au haiwezekani kabla ya kuvamiwa na Putin, kama vile kuahidiwa uanachama wa EU na NATO?

Ukitafuta neno kwa demand, jaribu "anadai". Hana njia kulazimisha mataifa ya Ulaya.
 
Basi hata majeshi ya NATO ni majeshi ya mamluki Kwa tafsiri hiyo uliyoleta!
Lakini pia jeshi la Ukraine ni jeshi la mamluki Kwa tafsiri uliyoleta!
 
Inaeleweka. Kuna maslahi ya Hesbollah (ikiwa chama cha Lebanoni) katika Syria, pamoja na kuhakikisha usafiri wa vifaa kutoka Iran kupitia Syria. Hakuna maslahi za Lebanoni huko Ukraine. Hao si wajinga, kwa nini waende kuuawa kwa fujo la Putin?
 
I see hii ni hatari.
🇺🇲🇺🇦 CNN, citing its sources in the Ukrainian General Staff, reports that on February 28, 2023, the losses of the Armed Forces of Ukraine amounted to:

▪️ 259,085 people killed, died from wounds, diseases;

▪️wounded, crippled 246,904;

▪️deserted, as well as missing - 83,952;

▪️ captured - 28 393.
 
Ndege za Russia zinaruka zikiwa Ndani ya Russia cause zikifika huko zitatunguliwa, ndio maana Bado kuna mjadala kuhusu kuipa Ukraine ndege vita, cause Nawao wataweza kushambulia wakiwa Km300 nyuma
Walizokuwa nazo ukraine zimeenda wapi maana ka russia hapeleki ndege vita ukraine na kwa mujibu wenu hana udhibiti wa anga la ukraine basi ilitakiwa ndege walizokuwa nazo ukraine ziwe zinashambulia urusi zikiwa ndani ya ukraine
 
Inaeleweka. Kuna maslahi ya Hesbollah (ikiwa chama cha Lebanoni) katika Syria, pamoja na kuhakikisha usafiri wa vifaa kutoka Iran kupitia Syria. Hakuna maslahi za Lebanoni huko Ukraine. Hao si wajinga, kwa nini waende kuuawa kwa fujo la Putin?
Unaposema Hezbollah haina maslahi Ukraine imenibidi niangalie umejiunga lini JF... kumbe umejiunga 2022.

Okay, naomba nikubaliane na wewe kwamba Hizbollah hawana interest hapo Ukraine

Ila nenda kajifunze Geopolitics.
 
Tanzania yangu imo ktk hizo twenty nain???


Itakua poa mno km ungeziorodhesha
Bado. Kwenye kura iliyopita huko UN mwakilishi wa TZ aliamua kujificha, hakuonekana.
Naona viongozi wengi Afrika wanakumbuka usaidizi wa Umoja wa Kisovyeti wakati wa kupambana ukoloni, ilhali Uingereza, Ufaransa ziliendesha ukoloni na Marekani ilijaribu kuathiri mwelekeo wa baadaye.
Isipokuwa
  • hawajui au hawakumbuki kwamba Ukraine ilikuwa sehemu ya Umoja wa Kisovyeti sawa na Urusi
  • hawajui au hawakumbuki kwamba Urusi ilikuwa mkoloni mkubwa, aliyeshindana na Uingereza tu duniani, na ameendelea na ukoloni wakati Uingereza umeshaacha
  • hawajui au hawataki kutafakari kwamba si upendo wa Afrika uliyosababisha usaidizi wa USSR dhidi ya ukoloni wa Ulaya Magharibi, lakini nia ya kuleta matatizo kwa mataifa mengine iliyoshindana nayo na kujenga athira yake . . . (kwa mafanikio kiasi, tunavyoona)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…