passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Kipanya data yake inasoma watu lakini 150k na anasema kila siku watu 500 wanakufa.Kipanya Leo upo wapi? Nimeingia kwenye web yenu kumbe unaficha ukweli unabaki kusema wamechinjwa.View attachment 2537017
[emoji298][emoji298]View attachment 2536713
Tunamsalimu kwa jina la jamhuri Uraaa uraa Russia 🇷🇺Putin chef anawasalimia Team Russia.
Anakuja na statistic ya watu 500-900 kuwa wamechinjwa kila siku wakati wakifa sana labda watu 10 ila kwao wanakufa 300Kipanya Leo upo wapi? Nimeingia kwenye web yenu kumbe unaficha ukweli unabaki kusema wamechinjwa.View attachment 2537017
HahahaNATO hawawez weka pandikiz humu ndan
Isipokuwa washkaj wanajaribu kujiegemeza huko labda watapata viza kirahis siku wakijilipua
😀 😀 😀 😀 😀 Alpha Squad kiboko ya magaidiAlpha Group is part spy network, part counterterrorism team, part general-purpose commando squad — and entirely terrifying. It first gained notoriety for leading the assault on the presidential palace in Kabul during the initial phases of Russia's invasion of Afghanistan in 1979.
Nashukuru sana sababu hao mianane wanaochinjwa 80% ni GaykrainiansTutaendelea kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji1255][emoji123]
Hahahahah bob mazishi Prigo anatuma salamu za pongezi kwa mashoga kwa kuwatumia zawadi ya maiti Ukraine 🇺🇦 🤣🤣🤣Prigo atuma batch nyingine ya idadi kubwa maiti za wanajesh wa Ukraine.
Russia 🇷🇺 ni wabaya sana kijeshi, yani mbinu zao huwa zinabadilika anytime huwezi elewa. Yani kila ukiikadiria unaishia kufeli 🤣🤣🤣 na sasa amekata mazoea kabisa kwenye kushirikiana kufanya drills za kijeshi na USA kwenye kupasha moto strategic missiles ambao karata waliobakia nayo US ilikuwa ni kutaka kuchungulia stoo ya jamaa amewaandalia nini.Nasisitiza tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini. Waswahili husema pole pole ndio mwendo... Russia alipogundua njama za west akabadili upepo wa mapigano
Operation ilaanza kua too slow, wajinga wakaanza kucheka kua Russia sio kitu ni super power wa mchongo, wengine wakaanza ohoo kashindwa kuiteka kiev ndani ya saa 24.
Intelligence ya urusi iliona na kunisa mipango ovu ya west toka 2015 walipoanza ku train vijana wa ukraine.. huwez kukurupuka kupeleka jeshi lote eti uonekane umeshinda ndani ya mda mfupi. Vita ni gharama kubwa sana... warusi walikuja na strategical measures
Sasa mnaona kinachotokea, kuanguka kwa Bakhmut ni hatari sana kwa Ukraine, maana eneo linalofuata ni tambarare linaloruhusu "kichapo " kutembea vizuri. Bwana Zelensky alikataa kuachia donbase sasa ana hatari ya kuipoteza Ukraine yote..
Ndio kwanza mwaka mmoja, hii vita itasogea hata miaka 3 ijayo ambapo mbivu na mbichi tutaziona.
Jitekenye tuInaonekana idadi inayotolewa na Ukraine kuhusu warusi wanaochinjwa ni ndogo sana kulingana na uhalisia unaoonekana kwenye battle front [emoji848][emoji848]View attachment 2537103
Ndio Hivyo shekhe fashisti Putin kaamua kwa makusudi kabisa kuwapeleka machinjioni watoto wa mother Russia 🥱🥱🥱Jitekenye tu