Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jeshi la Warusi limefanikiwa kuingia kwenye kijiji cha Pobeda.kijiji cha Pobeda kipo pembezoni mwa mji wa Marinka.usafishaji unaendelea ili kuweza kuchukua kabisa kijiji kizima.




[emoji95][emoji635][emoji95]Latest from Maryinka South Front: RF Armed Forces entered Pobeda village! There is a fight[emoji95][emoji635][emoji95]
 
Wanafanya msako kijiji kwa kijiji 🤣🤣🤣 hakuna kama Wagner PMC
 
Jamaa wameuliwa na machepe tu au sio 🤣🤣🤣
 
Wameshaporwa silaha za kibabe sasa wanasubiria misaada ambayo nayo haina pa kuingilia maana corridor zote Wagner wameshazikaba
 
Naunga mkono hoja umshana Ni punga la kimagharibi lililokuja kujaribu kueneza Russophobia. Halitafanikiwa. Hili Ni zungu kabisa.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ha ha ha ha ×500

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu humu wanateseka nyie. Wengine wenye moyo migumu wanasema kweli. Wengine ndo haoo wanakubali propaganda za BIBISI, CNN, na Aljazeera eti RF wapigana kwa chepe na Paulo. Eti warusi hawana silaha!
Huu mwaka Ni kipigo tu Hakuna kupoa.
Hekoo Sana Leutenant Colonel Vladmor Putin. Wakalishe mapunga.
Slava Ukraine.


Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wa jeshi la kibinafsi la Urusi la Wagner amesema kuwa hawapati silaha wanazozihitaji kutoka Moscow, kwa vile inalenga kupata udhibiti wa Bakhmut.

Wanajeshi wa Urusi - kutoka kwa Wagner na vikosi vya kawaida vya Urusi - wanajaribu kuuteka mji wa mashariki kutoka Ukraine.

Lakini mkuu wa Wagner Yevgeny Prigozhin amelalamikia ukosefu wa risasi, akisema inaweza kuwa "urasimu wa kawaida au usaliti".

Mahusiano kati ya Wagner na Moscow yanazidi kuwa ya wasiwasi.

Kundi la Wagner lina maelfu ya wapiganaji nchini Ukraine - baadhi yao wakisajiliwa moja kwa moja kutoka magereza ya Urusi - na wamekuwa sehemu muhimu ya uvamizi wa Moscow.

Katika chapisho hilo Jumapili, Bw Prigozhin alisema hati zilitiwa saini tarehe 22 Februari, huku risasi zikitarajiwa kutumwa Bakhmut siku inayofuata.

Lakini nyingi hazijasafirishwa, alisema, kabla ya kupendekeza inaweza kuwa hatua ya makusudi.

Katika video iliyochapishwa Jumamosi - lakini inayoonekana kurekodiwa mwezi Februari - Bw Prigozhin alisema watu wake wanahofia kwamba "wanatatumiwa" kama mbuzi wa kuadhibiwa ikiwa Urusi itashindwa katika vita vyake nchini Ukraine.

"Ikiwa tutarudi nyuma, basi tutaingia katika historia ya milele kama watu ambao walichukua hatua kuu ya kushindwa vitani," alisema.

Chanzo: BBC Swahili (6 March, 2023)

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi wa mamluki wa Wagner, Bwana Prigozhin atakuwa yupo sahihi.
Hiyo vita haramu ya Putin itakuwa inaungwa mkono zaidi na mamluki hao wanaotumia wafungwa. Kwa hiyo siyo ajabu wakahujumiwa makusudi Kwa kucheleweshewa mahitaji muhimu ya mapambano.

Bila hao mamluki wapiganaji wa Putin wangesha susa!
 
Huyu mzee mwenzangu anachekesha Sana
Your browser is not able to display this video.

🇺🇸👴Joe Biden:"I came back from trip after being away for couple of days,and i had this terrible headaches. They had to take my head off couple a times to see if i have a brain"
 
Wee jamaa ni muongo sana...warusi 7 kwa
Ukraine 1...wangesonga mbele kweli??Si maiti zingekuwa nyingi hata hapapitiki...yaani mtu anayeshinda ndo anakimbia ....??

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…