DaaahI see waukrein wanakufa kama kumbikumbi hadi huruma loh .
View attachment 2539789
[emoji725][emoji725][emoji635][emoji3538][emoji1255][emoji3517]"Wagner" showed new demilitarisation/denazification in Bakhmut direction.
On the video there is appeal from "Wagner":
"The Gods of war from the ranks of the Wagner PMCs covered the positions of Ukrainian militants in the Bakhmut direction.
These guys[Wagner] deserve ammo!"
Waafrica wengi wanazidi kujielewa wameshajua west wako Africa kwa ajili ya maslahi yao.West wanawakati mbaya sana kihistoria imagine hata rais wa ufaransa .. macron....anapingwa wazi wazi na waandamanaji waafrika
Hii haijawahi tokea kwa hawa viongozi ma Giant[emoji23]
Sasa hiki ndio kiswahili gani?Mkuu una uhuru wote kuona jambo unapopenda.
Walikua wanasema Russia kaishiwa silaha zenye high accuracy, jamaa yuko front line Bakhmut anasimulia tofautiWameshaporwa silaha za kibabe sasa wanasubiria misaada ambayo nayo haina pa kuingilia maana corridor zote Wagner wameshazikaba
Hii ni kwa sababu Africans sasa hivi wana alternatives za washirika wa maendeleo.West wanawakati mbaya sana kihistoria imagine hata rais wa ufaransa .. macron....anapingwa wazi wazi na waandamanaji waafrika
Hii haijawahi tokea kwa hawa viongozi ma Giant[emoji23]
Kipigo na muziki 🤣🤣🤣
Kazi bila Burdani haiendi.
Wamle kichwa tu huyo bwege kumbe anatumia fire extinguisher kupigana 🤣🤣🤣
Kachezea njugu dakk 0 kashakuwa wa juzi🤣🤣🤣***** analet jeuri[emoji17][emoji846]
Propaganda ya kijinga sana hii. Mji ambao umepiganiwa kufa na kupona alafu Russia waje walete uzembe katika kuudhibiti. Mleta uzi hicho kitu kinakuingia akilini?Mkuu wa jeshi la kibinafsi la Urusi la Wagner amesema kuwa hawapati silaha wanazozihitaji kutoka Moscow, kwa vile inalenga kupata udhibiti wa Bakhmut.
Wanajeshi wa Urusi - kutoka kwa Wagner na vikosi vya kawaida vya Urusi - wanajaribu kuuteka mji wa mashariki kutoka Ukraine.
Lakini mkuu wa Wagner Yevgeny Prigozhin amelalamikia ukosefu wa risasi, akisema inaweza kuwa "urasimu wa kawaida au usaliti".
Mahusiano kati ya Wagner na Moscow yanazidi kuwa ya wasiwasi.
Kundi la Wagner lina maelfu ya wapiganaji nchini Ukraine - baadhi yao wakisajiliwa moja kwa moja kutoka magereza ya Urusi - na wamekuwa sehemu muhimu ya uvamizi wa Moscow.
Katika chapisho hilo Jumapili, Bw Prigozhin alisema hati zilitiwa saini tarehe 22 Februari, huku risasi zikitarajiwa kutumwa Bakhmut siku inayofuata.
Lakini nyingi hazijasafirishwa, alisema, kabla ya kupendekeza inaweza kuwa hatua ya makusudi.
Katika video iliyochapishwa Jumamosi - lakini inayoonekana kurekodiwa mwezi Februari - Bw Prigozhin alisema watu wake wanahofia kwamba "wanatatumiwa" kama mbuzi wa kuadhibiwa ikiwa Urusi itashindwa katika vita vyake nchini Ukraine.
"Ikiwa tutarudi nyuma, basi tutaingia katika historia ya milele kama watu ambao walichukua hatua kuu ya kushindwa vitani," alisema.
Chanzo: BBC Swahili (6 March, 2023)
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hayo ni mawazo yako yaliyoshindwa ni kutoa hoja madhubuti dhidi yake.Ni kiswahili cha Google.
Kaja kupigania Legacy ya mashoga.
Hiyo ndio tafsiri kamili.
Ni mfuasi, kaja kwa kazi maalum, anajifanya kushauri kwamba Africa tukiachana na viongozi mafisadi tutafika mbali.
Wakati huohuo, wao (West) ndio wafadhili wakubwa wa machafuko kwa nchi zinazoongozwa na viongozi waadilifu na wasiopenda ufisadi.
Anajikosha tu ili aonekane sio mlowezi.
Ni Punga kama mapunga mengine ya West.
MiNato kweli nyie.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mbinu ya kujifanya huna hela Ila matumizi Sasa mpka watu wenye hela wanashangaa.Yaani Wagner PMC wanawabonda wanamgambo wa Ukraine halafu wakimaliza kuwabonda.... wanasema "Sasa hivi tumeishiwa silaha"
Wa Ukraine wanajileta tena, wanabindwa na maeneo yanachukuliwa.
Halafu Wagner PMC wanasema tena, Silaha zimeisha, njooni tumeishiwa silaha.
Wakija, kipondo tena...
WAGNER wamekunywa maji ya bendera..Wanafanya msako kijiji kwa kijiji 🤣🤣🤣 hakuna kama Wagner PMC
Hii ndio style waliyopigana na magaidi ya ISIS kule Syria.Wanafanya msako kijiji kwa kijiji [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakuna kama Wagner PMC
Wanasema wameajir wapiganaj kutoka mashariki ya kati husuusan hizbollah kwa ajili ya mapigano ya mtaanHii ndio style waliyopigana na magaidi ya ISIS kule Syria.
Ilikuwa hivi hivi... mtaa kwa mtaa mpaka magaidi yakaisha...