kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Umesoma swali vizuri lakini? Usiwe kichwa maji mwepesi kujibu tu.The founder of Wagner Evgeny Prigozhin announced the liberation of the entire eastern part of Bakhmut. Everything to the east of the Bakhmutka River is under their control.
Kila mmoja anao wajibu wa kukemea kwa nafasi yake.Halija niuma hata kidogo.
Tatizo ni moja kama umkemeaje utoke hadharani ulikemee vizur kila mmoja asikie lakni kulikemea hapa kwenye keyboard ndio suluhisho?
Kwani huko kwa putini hakuna huwo ushoga?
Wanaoleta habar za ushoga humu ni pro urusi wote pale wanapotofautiana mawazo na wenzao.
Kama hujui miongoni mwa njia ya kueneza ndio hizo mnazoziongelea na kuutaja kila mda.
Mnajiona na akili kumbe ni 0.
Wayaache mabomu yetu kama yalivyo 😀😀😀! US si anajifanyaga kiherehere aguse bomu la kiduku ili kusudi kiwake![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 2540244
Naona Wagner wameamua kutumia tactic ya kujifanya hawana silaha ili Ukraine wajitokeze bila kificho wachezee kisago interchange 🤣🤣🤣Kama silaha hazipo kinawakimbiza nn?
To avoid moving on the road #Ukranian fighters try to shoot down structures and move through backyards of ppl to escape #Bakhmut
Hatype makosa, ana andika kiswahili kisichotumika kwa sasa ( cha kwenye Biblia na Vitabu vingine vya kale).Yeye alijiona ameandika usahihi kumbe hajui kama keyboard inachangia kutype makosa.
Tulia wewe askari wa UngujaHalija niuma hata kidogo.
Tatizo ni moja kama umkemeaje utoke hadharani ulikemee vizur kila mmoja asikie lakni kulikemea hapa kwenye keyboard ndio suluhisho?
Kwani huko kwa putini hakuna huwo ushoga?
Wanaoleta habar za ushoga humu ni pro urusi wote pale wanapotofautiana mawazo na wenzao.
Kama hujui miongoni mwa njia ya kueneza ndio hizo mnazoziongelea na kuutaja kila mda.
Mnajiona na akili kumbe ni 0.
Kwisha kaziii😀😀😀Mnaosifia leopard angalieni wenyewe
View attachment 2540742