lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Hawatakuelewa hata kidogo,Unaisifia sana f35 chief...soma kuhusu.. Yakovlev Yak-141.. a soviet design ambayo f35 ilienda kucopy design na technology. Yak 141 had its first flight on 1987....mmarekani amekuja na f35 miaka 30 baadae
Halafu stealth ni kwa nchi nyingine sio kwa Russian Federation.kwa uelewa wako..Stealth ni kitu gani???...hebu anzia hapo kwanza...!!!..sababu naona umezinguka na hiyo stealth...,,,!!!
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Wewe umekimbia wewe🤣🤣🤣manyato banaSidhani kama unaelewa hata ulichokiandika.... anyway siku njema.
mm nafahamu..kwamba 'Stealth' ni one of the Technology...!!.. kwa hiyo inawezekana wamecopy vitu vingi...then wao wakaongezea hiyo stealth tech....,!!! kwa hiyo sio issue USA kucopy...!!!.. tatizo huwa tunadhan West ni wavumbuzi wa kila kila kitu...but in reality haiko hivyo...kuna Tech nyingi sana huwa na wanacopy/wananunua... halafu wana upgrade ..then wanatupanga kuwa wao ndio wavumbuzi...Nenda kajisomee mwenyewe
Kumbe nyie wavulana ndo weupe hivi? Mimi najifunza humu , natumia ufahamu wangu kujua nani Yuko na haki. Jifunzeni kwanza juu ya mnachoshabikia kabla ya kuja kupuliza filimbi humu, msg ya pili hii nakuona una escape maswali ya kawaida 🤣🤣🤣🤣Nenda kajisomee mwenyewe
Tatizo pro west wengi wanaamini taarifa zinazotolewa na media zao bila kushirikisha hata akili zao,Hawa ndugu nivigeu geu .....walisema Russia haina uwezo wa kupigana Kwa wiki 2 ......
Russia has enough resources to continue the war in Ukraine for two years, says Lithuanian military intelligence chief, Elegijus Paulavicius.
Aljazeera news
Ni kweli kwamba maarifa kutoka Yak 141 yaliingia katika vyanzo vya F35. Urusi ina mainjinia wazuri, changamoto yao mara nyingi ni uzalishaji. Hata Yak 141 ilijengwa ndege chache sana mpaka mradi kufilisika - na kwa miaka 1991-93 Lockheed ya Marekani ilisaidia milioni mia kadhaa kutengeneza ndege za jaribio za ziada.mm nafahamu..kwamba 'Stealth' ni one of the Technology...!!.. kwa hiyo inawezekana wamecopy vitu vingi...then wao wakaongezea hiyo stealth tech....,!!! kwa hiyo sio issue USA kucopy...!!!.. tatizo huwa tunadhan West ni wavumbuzi wa kila kila kitu...but in reality haiko hivyo...kuna Tech nyingi sana huwa na wanacopy/wananunua... halafu wana upgrade ..then wanatupanga kuwa wao ndio wavumbuzi...
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
zilizo shoot target ngapi au hujasoma!Nasoma waliangusha roketi 30+ na nusu ya droni...
Utatuambia.zilizo shoot target ngapi au hujasoma!
Akwambie nani wakati wewe ndie uliesoma na kusema wayukrain waliangusha roketi 30, na ndio maana nikakuuliza je ni ngapi zilishoot target? Au umeweka zilizoangushwa tu, ila zilizo shoot target hutaki kuweka shauri ya mahaba yako kwa USA na mashost zakeUtatuambia.
It's called nonsense,get ur facts straight damn it!Nimeuzunguku mbuyu, kweli. Nifanye nini? Kuupasua katikati? Hivyo nimeuangalia kutoka pande zote nikajibu.
Mkuu jaribu kutumia mantiki kidogo! Siwezi kujua na wewe huwezi kujua Ukraine walilenga roketi ngapi. Tuna habari a) idadi ya roketi inayosemekana ilirushwa na Urusi wakati huu na b) idadi ya roketi Waukraine walisema waliangusha. Kama walilenga zote zilizokuja, kama walikuwa na vifaa vya kutosha kwa vyote au la - hatuwezi kujua. Au ukijua, sema.Akwambie nani wakati wewe ndie uliesoma na kusema wayukrain waliangusha roketi 30, na ndio maana nikakuuliza je ni ngapi zilishoot target? Au umeweka zilizoangushwa tu, ila zilizo shoot target hutaki kuweka shauri ya mahaba yako kwa USA na mashost zake
Ujerumani imedumazwa na US. Ujerumani, Japan Wala so mataifa ya kununua silaha kws Marekani.Germany got the go-ahead to buy F-35 fighter jets produced by U.S. defence giant Lockheed Martin (LMT.N) as part of military procurement projects worth 13 billion euros ($13.85 billion), Defence Minister Christine Lambrecht said on Wednesday.
The German parliament's budget committee approved the spending, including 10 billion euros for the F-35 jets as well as funds for the purchase of encrypted digital radios and assault rifles.
========================
Ujerumani imeweka hiyo oda Decemba mwaka jana ili kuimarisha jeshi lake la anga kama jibu la uvamizi wa Urusi huko Ukraine.
Poland, UK, Australia na nchi zisizo wanachama wa NATO kama Japan pia wametoa oda kwa Lockheed kununua F-35.
F-35 ndiye mfalme mpya wa anga kizazi cha 5, 'stealth features zake, manuverbility' ni za kipekee.
Kajisomee kuhusu version ya F-35B uone maajabu ya teknolojia, ile vertical takeoff landing sio ya kawaida.
[emoji116]
But unlike the Harrier, the F-35B and its Short Take-Off and Vertical Landing (STOVL) system offers both vertical landing and long-range supersonic speed in one unit, creating a stealthy, lightning-fast fighter capable of carrying advanced weaponry.
T14 Armata
Machoni pako wangenunua nini?Ujerumani imedumazwa na US. Ujerumani, Japan Wala so mataifa ya kununua silaha kws Marekani.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Acha nao wakipate ......sio wanatuletea vita huku .....now it's their time[emoji23]Pia kuna ishu ya hizi hypersonic missiles ambazo Russia anazitumia.
Kwanza zimeonyesha kwamba ni kweli ni hypersonic missiles kwa maana air defense systems zimeshindwa kuzitungua.
Pili, zimeonyesha kwamba ni precision guided missiles. Zinapiga palepale zilipotumwa.
Tatu, inaleta changamoto kubwa pale hizi hypersonic zinapokuwa na uwezo pia wa kubeba nuclear warheads. Ili ndio tatizo kubwa. Maana yake ni kwamba Russia wana uwezo wa kukupiga na nuclear na ukashindwa kuzuia hilo kombola.
Wajichanganye Waingie Bila Kificho ili Mchezo UnogeCol. MacGregor: Ukraine has been DESTROYED and there’s nothing left
Ukrainian president Zelensky just admitted that American troops will be needed to keep Ukraine from total collapse.
Col. MacGregor: Ukraine has been DESTROYED and there’s nothing left | VT Foreign Policy
www.veteranstoday.com