Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

F-35 ni stealth ila hiyo Yak-141 sio stealth....wamecopya kitu gani ?
In late 80s stealthy wasnt an issue. Na yet stealthy sio issue mpaka sasa kwa military doctrine ya baadhi ya nchi.
US amejikita kwenye stealthy technology ili aweze kuattack deep into enemy territory bila kuwa detected. Military doctrine yake inamtaka awe More offensive na kuproject power nje ya mipaka yake


Mrusi yeye mikitary doctrine yake iko tofauti. Imejikita kwenye defensive warfare, and attack enemy territory from a distance. Hii doctrine imemfanya awe mzuri sana kwenye kudevelop mifumo ya kulinda anga ambayo inauwezo wa kuona hata Kitenesi kikiwa kwenye anga lake 400km away. Hii inafanya stealthy aircrafts za mmarekani kuwa obsolete kwa mrusi.

Baada ya hapo akawekeza kwenye missiles ambazo zinaweza kuntungua mmarekani na aircraft carrier zake muda wowote anaotaka. In missile technology, mrusi yuko 10 years ahead ya Mmarekani.

Kwa iyo stealthy bado kwa mrusi sio a big deal, ameunda Su-57 kuonesha kwamba technology ya stealthy anayo. Na afterall..hata iyo stealthy technology mmarekani ameitoa Urusi.

For your reference.....pitia hii link toka kwenye vyanzo vyenu wenyewe vya kibeberu.

 
The Patriot battery won't help Ukraine against Russian cruise missiles," Kirby, a White House spokesman, told CNN. The system is designed to intercept ballistic missiles, and Russian forces use winged and drones in Ukraine, against which the Patriot is not at all effective, Kirb
 
Very true, harrier ya mwingereza was the pioneer kwenye VTOL technology na technology yake ilikuwa poor in a sense that iliicost hii ndege kwenye range na manuverbility.

Kumbuka kipindi icho muingereza anaresearch kuja na harrier, mrusi alikuwa anaunda Yak 38. Hizi jets zinatofautiana miaka 3 tu. Na zinatumia technology tofauti. So hakuna aliemcopy mwenzie

Mrusi akaja na Yak-38 miaka ya 70. Ambazo 231 units zilitengenezwa, na kuja na improved version ya Yak-41 in 90s.

Kumbuka, hii technology za VTOL mpaka sasa mmarekani hana, hata iyo F35 alioazima technology ya msoviet bado alishindwa kuja VTOL inayoeleweka miaka 30 baadae.

F35 ni STOVL na sio VTOL. F35 inahitaji runway kutake off...its VTOL capability its only when is not loaded na mzigo/silaha Of which its obsolete.

Pitia picha hapa toka kwenye vyanzo vya kibeberu kuonesha utofauti ya hizi technologis ya mrusi, muamerica na mwingereza
 
Jitahidi kujifunza tajiri..... For your reference,msome mrusi Pyotr Ufimtesev, taarifa zake zinanapatikana sana kwenye vyanzo vingi tu vya kibeberu.

Pyotr Ufimtsev - Wikipedia

Aliruhusiwa kupublish paper yake kwa mabeberu maana stealthy haikuwa na any military or economic value kwa mrusi,na haina value mpaka sasa as we speak.
 

Attachments

  • Screenshot_2023-03-10-09-00-34-594_com.brave.browser.jpg
    294.7 KB · Views: 14
Mrusi lazima avutie upande wao.
 
Tafuta source unayoiamini umsome uyo msoviet na profile yake afsa. .....ikibidi tafuta hata jarida la toka pentagon, labda utaliamini ilo.
Huyo Mrusi lazima aegemee upande mmoja vivyo hivyo hata Pentagon pia, muhimu uchague upande unaouona ni sahihi kwa mtazamo wako.

Stealth isingekuwa muhimu tusingeona SU-57, japo zipo chache tu sababu ya gharama kubwa ya uzalishaji.
 
Kwani taarifa ya kuishiwa hayo makombora kaitoa Urusi mwenyewe? Yakiungurumishwa tunaanza kulialia Mrusi sio binadamu
 
Hao Nexta kwa hiyo taarifa yao ya mchongo ilibidi wapigwe ban kbs ni ajabu bado wapo wanaendelea kudanganya watu.
 
Alaf utarudi kudai hoja. Wewe unaweka vihoja alafu sisi unademand tukupe hoja. Hebu muite T14 Armata aje akusaidie. Su57 ina speed zaidi, payload kubwa zaidi, range na maneuverability zaidi. Tushaachana na hizo mambo nyuma huko
Uzuri Proved ameelewa. Hapo ndo advantage yake ya kuwa mjinga ilipo. Kwamba hakuwa na maarifa , ila baada ya kueleweshwa mambo asioyajua, amekuwa mwerevu. Which is good.🤣🤣

Changamoto iko ukikutana na wapumbavu ...kipanya na wenzake
 
ww mfuasi kindakindaki wa 'Collective West'...usitafute pakutokea...., tunakubaliana in principal kuwa F35 ni COPPY... ya Yak 141....period!.... kwa kiwango kipi...mimi na wewe kung'amua ni issue..!!!...naomba tuishi humo kwenye neno 'coppy'..

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…