Wangekuwa US wapo humo si Moscow nayo ingekuwa imechakaa vibaya. Hapa Ukraine apewe makombora na ndege za kupiga Moscow ndo andunje akili zitamkaa vizuri.Hamna lolote wanacho fanya wao ni kujichimbia kwenye miles and miles za underground reinforced concrete bunkers za enzi za kisoviet pamoja na silaha zao - jeshi la Urusi linajua vizuri sana ramani yoye ya underground reinforced concrete bunkers network - ndio maana Putin amewapa muda ku-surrender kabla hawajawa smoked out na kutokomezwa wote kwa kutumia mabom ya concrete busters wakafa wote. Hata hivyo wengi wanakuwa wakahidi kwa kuogopa kutambulika kwamba wengi wao ni wanajeshi wa NATO including UK&USA baadhi yao niliwasikia wakizungumza a very refined English wakiwaongoza/wapa amri wanajeshi wa Ukraine na wengine ni nini cha kufanya - kiukweli vita hii ni baina ya Urusi na NATO/USA, Ukraine inatumiwa kama chambo tu.
Mpiga nyeto kapoteana 🤣Kuna yule jamaa wa kuitwa( T-14 Armata) sijui kakimbilia wapi maana alikuwa anawaponda sana Warusi kwa uchambuzi wake ule.sasa ivi anaona aibu kurudi jukwaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mwambieni arudi tu sisi tumemsamehe
Wamekaangwa kwenye command center hii lazma Biden alijamba akiwa Ikulu baada ya taarifa kumfikia.Disaster: Russian Hypersonic Missiles Wipe Out US/NATO Secret Command in Kiev, Dozens of Top US Officers Vaporized
INTEL-DROP March 9, 2023
Alexander Sitnikov,
Commander-in-Chief of the Armed Forces of Ukraine Zaluzhny, in hot pursuit, announced the data on the night (from March 8 to 9) strike. According to him, 81 missiles were fired at Ukrainian targets by the Russian side, including Kh-47 Kinzhal, X-22, Kh-101 / Kh-555, as well as 8 Geran UAVs. He also boasted that allegedly independent anti-aircraft gunners shot down 34, and 8 “did not reach their goals as a result of organized opposition.”
Ukro-pravdoruby Zaluzhny do not believe. They believe that the independent air defense was able to chalk up only “dummy” and “Gerani” missiles. For obvious reasons, neither Zaluzhny nor Zelensky will provide details. But, judging by the mood in ukrnet, real despondency reigns on Bankovaya.
Later, the speaker of the Potryanyh Forces of Ukraine , Ignat, spoke . In particular, he said: “This was the first time – at night 6 Kinzhal missiles were fired at Ukraine.
Zelensky was forced to admit: “A hard night.” The audience noted that the President’s coming out looked like a beaten dog, and there were no words about interceptions in his speech.READ ALSO
The battle for Avdiivka: Our fun, the threat of encirclement hung over the grouping of the Armed Forces of UkraineBoth from the north and from the south, Russian fighters are crowding out independent warriors from the 110th OMBR and the Kyiv regiment
According to sources familiar with the political behind the scenes of Bandershtat, the blow fell on the bunker control and planning centers, as well as on air defense / radar. Insiders reported heavy losses among the officers, including American ones. It seems that the “shadow General Staff” of the proxy-NATO got a lot.
According to rumors that are circulating on the Ukrnet, on March 9, a large delegation of the Ukro-General Staff visited the American embassy in Kyiv. It seems that the transfer of lists of star-striped “200th” took place.
In addition, it became known about hits on the Iris-r and Nasams air defense systems, which were worked out on dummy missiles and were destroyed by the Xs flying behind. What is indicative: those Ukrainian Internet resources that reported this were blocked by the independent Mintsifra. As many as 25 publics immediately fell under the distribution, which indirectly indicates hysteria in the Kyiv junta.
“Based on the mass use of the Kinzhal missiles, it can be assumed that Russia has established mass production of these missiles and they have no problems with components,” the coming out blogger @legitimniy concluded.
The head of the Ministry of Energy of Ukraine Herman Galushchenko was forced to admit that the missile attack damaged at least three thermal power plants. It must be assumed that he lied in the smaller direction.
Another well-known blogger in Nenko called for the official damage data to be multiplied by three. According to him, “loud” was in 12 regions and everywhere with serious destruction. Until now, a strong fire continues at CHPP-5 in Kyiv. The arrival took place in the turbine hall, so we are not talking about a quick restoration of generation.
Public “Kharkiv” told about at least fifteen explosions and attacks on CHP-3 and CHP-5. Whether they are damaged is still unknown, but local residents wrote about power and water outages. Separately, the assumption is voiced that the secret barracks of the Armed Forces of Ukraine were destroyed, since the SBU began “filtration” measures.
“In the Zaporozhye region, 5 missiles immediately hit a critical infrastructure facility,” the Ukrayinska Pravda newspaper reported, citing officials from the regional administration.READ ALSO
Armed Forces of Ukraine will soon receive “Cyber-Armageddon”Russian hackers are preparing destructive operations against Kyiv
Residents of Pavlograd, Krivoy Rog and Dnipropetrovsk districts of ex-Dnepropetrovsk are sure that “Substation Yuzhnaya is everything! Destroyed, ”although it was covered by foreign-made air defense systems. “Loud” was at the Krivorozhskaya TPP, but the territory is cordoned off, so there is extremely little information. Typically, such measures of “secrecy” are correlated with the level of damage. The larger it is, the more secretive the power is coming out.
In the Volyn region, the residents heard the strongest explosions in Lutsk and Kivertsy. The blow was so powerful that the ceiling fell down in a number of houses. According to preliminary data, the Lutsk-Severnaya substation and the military airfield were damaged.
“Odessa fraer” informed about the next destruction of energy facilities in the region. Most likely, the Adzhalyk substation was smashed into the trash. In Odessa, new, more stringent schedules for stabilization shutdowns of local power grids from DTEK have already been published. However, the previous ones were not respected.
Thus, the RF Armed Forces continued to “turn off” the switch to Ukraine, and with the use of more powerful Kinzhal missiles. For Bandera and their star-striped puppeteers, it finally began to dawn that there was no longer any place in Nenko where one could hide. If, for example, the Kremlin considers that it is time to “twist” Zelensky, then it will be so.
Special operation in Ukraine
Zaluzhny: the Russian army plans to create three boilers on the eastern front
Ukrainian troops are rampant in the DPR: 13 shellings took place in a day
Ukrainian Armed Forces carried out strikes on Donetsk and Makiivka
Kombat Khodakovsky: Armed Forces of Ukraine are preparing a strike on the territory of RussiaAll materials on the topic (7677)
cc:Kipanya.
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russia baada kuibonda Mariupol Sasa kaijenga upya..View attachment 2546055View attachment 2546056View attachment 2546057
Naona hii scania Mende wameikaanga vizuri kabisa.🤣🤣🤣[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Kwenye kipengele cha maangamizi Wagner hawana huruma kabisaView attachment 2546196View attachment 2546197View attachment 2546198
Hii taarifa ilimpa Biden tumbo la kuhara maana imekuja by suprise pale non sense weapon za mnyamakazi Putin ziliponyoosha hadi kwenye uvungu wa dunia na kuwakaanga kenge wa NATOHabari mbaya sana hii Kwa pro NATO wote,na waumini wote wa USA .inawauma kwelikweli.
Inauma sana aisee.
Makamanda wa Marekani kufukiwa kwenye kifusi kama panya buku ni maumivu sana.
Safi sana Urusi ,Hadi wajue kua wewe ndio Supapawa wa ukweli,sio Supa pawa wa akina Iraq,Libya ,taleban na Colombia.
Hahahah wameamua kukubali mziki wake 🤣 baada ya kuchoma Air defense zao walizokuwa wanaziaminia sana.The US intelligence service said that only Russia has strategic hypersonic missiles
The Russian Avangard system is the only deployed hypersonic strategic system in the world
Gerry L. Freisthlerm
finally they accepted the superiority of Russian hypersonic missiles.
[emoji123][emoji635][emoji817][emoji635][emoji1666]View attachment 2546124
Sana mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vijana wanafanya kazi nzuri sana kule mstari wa mbele, wanapokea taarifa nzuri kabisa juu ya vichwa vya makamanda vinavyoshushwa kama migomba. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na command centre kukaangwa barabara kabisa.
Wacha wazee wapunge upepo tu. Wamewagusa wanapopataka maana Urusi kwa michezo ya vita ndio hobby yake kubwa [emoji3][emoji3][emoji3]
Hapa lazima ufanye mashauri na shetani uliyekabidhiwa kifaru ukiuze Urusi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Makampuni ya Silaha ya Urusi yametangaza ofa kila kifaru kimoja cha Leopard auAbrahms kitakacho kamatwa huko Ukraine kwa dau kubwa
Russia have captured leopard tank[emoji1787][emoji817][emoji123][emoji635][emoji635] 2 Wagners boys capture Leppard tanks
The are going home with 70,000 US dollar[emoji817][emoji1787]
And the tank is intactView attachment 2546099
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
The "Patriot" system is designed to intercept ballistic missiles, it is not as effective against cruise missiles, and it will definitely not be effective against drones,hypersonic missiles are very difficult to intercept." - John KirbyView attachment 2546086
Ukute Ukraine Soldiers wamekiuza...[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Makampuni ya Silaha ya Urusi yametangaza ofa kila kifaru kimoja cha Leopard auAbrahms kitakacho kamatwa huko Ukraine kwa dau kubwa
Russia have captured leopard tank[emoji1787][emoji817][emoji123][emoji635][emoji635] 2 Wagners boys capture Leppard tanks
The are going home with 70,000 US dollar[emoji817][emoji1787]
And the tank is intactView attachment 2546099
Kwa nini unatumia nguvu nyingi kutetea ushoga,,? Au na na wewe ni Ant Ashura mwenye ndevu,,?Hebu nipe shule Ndg yangu Sankara pale Drc nimesikia waafrika wamechinja waafrika wenzao kwa mapanga nani yupo nyuma ya hayo mapanga.
Na hayo maandamano ya Georgia nani yupo yake...
Tambua watu wamejua haki zao siku hizi huwezi kuwaburuza watu jinsi unavyotaka wewe hata urusi is the matter of time ipo siku wataamka na kumwona Putin ni kati ya mtu anaowacheleweshea maendeleo yao.
Ulitegemea Iran wanawake wataandamana...
Nasikia hata Zelensky juzi alionekana yuko STONE FACED kabisa - mimi naendelea kumkumbusha kwamba makubwa ndio yatafuata akijifanya mkahidi na ujeuri wa kijinga.Wamekaangwa kwenye command center hii lazma Biden alijamba akiwa Ikulu baada ya taarifa kumfikia.
Ni nani ambae atamfunga paka kengele? Nani ambae yupo tayari kuona nchi yake ikigeukq magofu? Nani ambae yupo tayari kuwapa shida wananchi wake kwa kuingia kwenye proxy war isiyo na kichwa wala miguu? Ukiweza kujibu maswali haya utajua pia ni kwanini mpaka leo OTAN hawajathubutu kutia miguu moja kwa moja hapo [emoji1255]Wangekuwa US wapo humo si Moscow nayo ingekuwa imechakaa vibaya. Hapa Ukraine apewe makombora na ndege za kupiga Moscow ndo andunje akili zitamkaa vizuri.
Atakuwa ape faced kabisa wakiimaliza bhakmutNasikia hata Zelensky juzi alionekana yuko STONE FACED kabisa - mimi naendelea kumkumbusha kwamba makubwa ndio yatafuata akijifanya mkahidi na ujeuri wa kijinga.
[emoji3][emoji3][emoji3] halaf RUSSIA [emoji635] habweki wala kutangaza hesabu anapiga anakaa kimya milio mtatoa wenyeweH
Hii taarifa ilimpa Biden tumbo la kuhara maana imekuja by suprise pale non sense weapon za mnyamakazi Putin ziliponyoosha hadi kwenye uvungu wa dunia na kuwakaanga kenge wa NATO
Yeye ni kupiga tu kelele anawaachia akina MK254[emoji3][emoji3][emoji3] halaf RUSSIA [emoji635] habweki wala kutangaza hesabu anapiga anakaa kimya milio mtatoa wenyewe