Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwanza unatakiwa kujua kifaa kikifanyiwa Upgrade basi uwa kinakuwa na ubora mwingine.

Marekani wanatumia Abram tank.je ! unajua Abram tank ilitengenezwa mwaka gani.ni tank ya toka miaka ya 70 ila Marekani kaifanyia Upgrade.kwa iyo kama unadharau Upgrade ya T-72, T-80 na T-64 basi unatakiwa udharau n a Abram tank.

Kwa iyo futa kauli yako ya kusema Urusi anapeleka tank chakafu na zisizo na ubora
 
Hii operation ime prove kwamba kuna mengi hamuyajui kuhusu jeshi la Urusi na mengi yamekuja kudhihirika battlefield so tujipe muda kila shaka litajibiwa kwa wakati. Kwanza tuishi humu "hypersonic missiles sio tena kitu kisicho wezekana kwa laws of physics". Imedhihirika zipo na zinafanya kazi kwa mujibu wa malengo hayo mengine tuuachie muda
 
Kwa muda wa dk 24-28 ulaya yote inakua jivu alaska yote inakua jivu na washington inakua magofu ya kutunzia popo....lengo la usa kuweka proxy war ni kutaka kujua Russia wana uwezo gani wa silaha...haichukui round atasema zeleboy akae mezani wayajenge na kakaae putin..huku biden akichukua mrahaba wake wa mkopo aliowakopesha wajinga wa kiev akaunde silaha kwa kutumia mifumo ya mabaki ya silaha za Rusia..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
mkuu walirudije pwani bila mawasiliano?,
Actually hawa kurudi pwani ya Cuba walishatoka huko walikuwa safarini kurudi Urusi ila somewhere kwenye safari yao baada kuondoka Cuba chini ya bahari radio ya mawasiliano ya sauti na text zikashindwa kuwasiliana na Moscow kutokana na itirafu za kiufundi.

Kama nilibyo sema tangu mwanzo tatizo lilikuwa kwenye mawasiliano ya Radio na sio navigation systems hivyo walijua wako wapi in real time wakiongozwa na navigation systems zao including compass.
 
shukrani
 
mkuu walirudije pwani bila mawasiliano?,
Mawasiliano yalirudi tuu kwa bahati nzuri...na marekani nao walikua wameshakaa mkao wa kuiwasha ile submarine maana walitoa warning kwa radio call na hakukua na response, hivyo wakawa wanajiuliza hawa wanataka kukiwasha?dharau au ni wameshakufa humo ndani? Maana chombo ilipanda hadi juu kbs usawa wa maji, ndio network kurud...na kuskia warning wasisogee..ndipo wakawasiliana na moscow wakaambia hakuna ishu..mambo ni shwar, hivyo wakageuza nyambiz lao wakasepa..
 
Nahisi wasimuliaji walikua wengi, upande wa usa na upande wa Russia hivyo kila mmoja aliandika kwa mrengo wa nchi yake..upo sahihi kabisa..
 
Unaongea kama mtu aliyelishwa na kushiba propaganda tu... Unafikiri watu wa Ukraine (ni hao wanasimama na kutetea nchi, si wanajeshi wa NATO) hawajui wenyewe kwa nini wako tayari kujitolea hadi kufa? Unamini kweli hadithi wanatumwa na US? Unaamini ni wajinga? Walikuwa chini ya Urusi muda mrefu kama koloni yake, hawataki tena.

Na bado hujaelewa kwamba swali si uwezo wa Putin kubadilisha Ulaya kuwa majivu??? Hii inajulikana tangu miaka mingi. Jambo ambalo ama hujui au hutaki kuelewa au unashindwa kuelewa: hatua hii ingebadilisha Urusi kuwa majivu. Hujaelewa kwamba hata baada London kuwa majivu, roketi za Kiingereza zitabadilisha miji mikubwa ya Urusi kuwa hiyohiyo??
Bila kuhesabu roketi za Marekani???
Labda hujui, nikiona jinsi unavyoandika.
 
Kwa nini nifute kauli kama ni kweli??? Je ni ubora uliomaliza vifaru vya Kirusi karibu 3000?
 
Nani kakwambia kwamba Submarine ikitaka kuwasiliana na Naval base yake au meli yoyote kwa njia ya radio lazima itoke chini ya bahari - nani??

Haya unayo yasema hapa kama kweli USA ilikuwa determined kumtisha Mrusi nchini Cuba mbona Urusi ilitungua ndege mbili za kisasa zinazo tumika kwenye masuala ya upelelezi na marubani wote wawili kupoteza maisha - kumbukeni ndege type U-2 ni za gharama sana kiziundwa pia zina uwezo wa kuruka juu sana, lakini zilitinguliwa bwana - sasa mbona USA ilikaa kimya bila ya aidha kuivamia Cuba au kushambulia meli za Urusi zilizo kuwa zinatoka na kwenda Cuba kupeleka vifaa, mbona US hakushambulia missiles za Urusi ambazo zilikuwa zimekwishwa wekwa Cuba kwa mashambulizi - swali bado ni: kwa nini USA iliogopa kulipiza kisasi wakati ndege zake mbili zilipo tunguliwa na air defense system za Mrusi nchini Cuba - hizi ni story za kweli na sio za kubuni zinazoletwa hapa kwa ku-copy kutoka kwenye machapisho ya Wikipedia ambazo nyingi ni overly biased 2wards USA, mtu unapaswa kuzisoma kwa umakini sana.

Eti Wamerikani walisha kaa mkao wa kuliwasha sijui kitu gani cha kulipua Submarine iliyo kuwa inaelea juu eti "kufanya mawasiliano: hizi story mnazitoa wapi lakini??

Kwa taarifa yako Submarine hiyo haikuwahi kuelea juu eti inatafuta mawasiliano, ilikwenda zake Urusi bila ya kusimama njiani au kuomba msaada wowote njiani.
 
Putin. Must die for God sake
Una roho ya kuua sana wewe.
Kw hiyo NATO mmemshindwa Putin kwa njia zote za kijeshi,sasa mnaombea TU afe.

Kawashinda Kwa mbinu zote za kimedani na hatimae mmekata tamaa na Sasa mnaombea TU kama suluhu ya matatizo yenu.

Kufa kwa binadamu ni mpango wa Mungu,mnaweza mkaandaa mpango ili Putin afe lkn kama Mungu hajaridhia Putin ataendelea kudunda.
Mfano mmoja ni mwanasiasa mmoja wa nchi Fulani ya Afrika alipigwa risasi kibao lakini hakuna,kwa sababu Mungu alitaka aendelee kuwepo.
Vivyo hivyo na Putin ,akifa Leo basi ujue siku zake zimeisha ,kama vile na wewe zitaisha.
Kubali kataa,Putin ni kiongozi juu ya Viongozi wote wa west na NATO.
Putin is a Great leader in this century.
Nayo mashirika ya ujajusi ya Urusi ni moja ya mashirika Bora kabisa ya ujasusi hapa duniani,kitendo Cha kudili na mashirika yote y ujasusi ya west kwa pamoja na kuweza kuyadhibiti,hiyo sio kazi ndogo.
Kwa Sasa hunantegemeo jingine nje ya vita kumshinda Urusi,zaidi ya kufikiria kumuua ili kushinda vita.
Lakini njama zenu zitakutana na SVR,GRU,FSB na akina Spetsnaz
 
Ni kweli unavyosema,
naijua habari yake.
 
Ni zaidi ya janga kwa kp kipanyaView attachment 2547795
USA/NATO/ na west wote kwa mara ya kwanza tangu Mungu wetu mpendwa,alieiumba mbingu na Dunia na vitu vyote vilivyomo ndani yake vile vinavyoonekana na visivyoonekana.Safari hii hao wadau niliowataja hapo juu,narudia Tena USA,NATO na west wote wanapitia katika kipindi kigumu sana,

Safari hii moto wameuwasha wenyewe wameshindwa kuuzima,

Safari hii wamekutana na dume,sio kivulana,

Kwa mara ya kwanza USA na NATO wanapigana wakiwa ndani ya mashimo,nyuma ya vichaka,mafichoni na kote huko wako na hofu tupu.

Safari hii wanadhalilishwa wao,wakati walizoea kudhalilisha.

Vifaa vyao vinateketezwa mbele ya macho Yao,

Wapambe wao wanapigwa mbele ya macho Yao,

Wanachangishana Hela na silaha badala ya kuchangishana majeshi kama walivyozoea.

Waliweza kushirikiana dhidi ya Yugoslavia,Iraq,Libya na Afghanistan, safari hii wanashirikiana kwa kuchangishana silaha na vikwazo.

wanachangishana silaha.

Adui wa mpambe wao (Urusi,)anawaalika uwanja wa vita,lakini hawataki kusogea,wanachofanya TU,ni kumpa silaha mpambe wao,ili akajitetee mwenyewe.
USA inapitia wakati Mgumu mno,
Iko kwenye mtanziko wa mawazo,

heshima iliyojipa yenyewe imeshushwa safari hii.

Tulisikia kua makamanda wa Iraq waliojificha ndani ya mahandaki waliilipuliwa na mabomu yaitwayo "Bunker busters" ya USA ,

Leo hii kibao kimegeuka,nao USA wakiwa ndani ya mahandaki wanalipuliwa na makombora ya Urusi.

Tena inadhaniwa sio wa USA peke Yao,Bali na Wana NATO wenzao.
Kama habari hii ni kweli,basi ndugu zangu mjue Dunia inakwenda kwa Kasi sana.
 
Georgian PM accuses Ukraine of stirring unrest

Kiev has its hand in the unrest over the controversial foreign agents legislation in Georgia, Prime Minister Irakli Garibashvili has claimed, urging Ukrainian President Vladimir Zelensky to take care of his own country instead of fueling riots in Tbilisi. The PM made the remarks in an extensive interview with Georgia’s Imedi TV channel that aired on Sunday.

Garibashvili strongly condemned the support expressed by Zelensky towards the protesters, accusing him of yet again trying to open a “second front” against Russia in Georgia. Earlier this week, Zelensky issued a video address to Georgians, stating that every Ukrainian wishes a “democratic” and “European success” to the country.
 
Russian super-ultrasound Kinzhal missile with a blow speed of 12 Mach (12 times the speed of sound) succeeded in hitting the command, control and communications center of Ukrainians and NATO allies, located at a depth of 120 meters (400 feet) under the ground!.
Mwisho wa kunukuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…