[emoji3]Na kuna mwingine HIMARS anaelekea kupotea kbsa hum, siku hizi anakuja kwa kulisia kama Pelege kwenye ndoano.[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ivi bado tu ujajua kwa nini wenzako awakupi hata like.ni kwa sababu washajua ukweli kuwa vita haipigani kwenye makaratasi.
Unapoteza muda wako tu bure na utapotea kama alivyopotea Vunjo[emoji23][emoji23][emoji23]
Thubutu .marekani labda apigane vita na kiduku siyo russia .....Kama mwakumbuka, nilisema hapo awali kwamba US na NATO watatengeneza tukio ambalo litapekelea kuhitaji Ukraine kupewa ndege za kivita za F-16.
Marekani kuna sintofahamu kwa wananchi kwamba hawakubali kuunga mkono moja kwa moja vita na Russia.
Hiyo AUV ya Marekani ilikuwa ikiruka umbali wa maili 6000 kutokea kituo cha kijeshi cha NATO na US na ilikuwa ikiruka umbali wa maili 75 kutoka kisiwa cha Crimea. Pia Marekani hawajakataa kwamba kifaa cha mawasiliano kwenye hiyo AUV yaani "transponder" kilizimwa.
Ukizima "transponder" wamaanisha kwamba katika ujasusi wa kuchungua eneo la adui yaani surveiilance hutataka kujulikana wataka kuchukua picha za eneo la adui kugundua amejipanga vipi, vifaa vyake vya kijeshi na masuala mengine mazito.
Na kwa kuwa Russia waliona AUV hiyo yajongelea anga lake pale Crimea kama taifa lililo vitani Russia hawakuwa na jinsi bali ni kuidungua hiyo AUV.
Ili kuweza kufanya mashambulizi ya kimkakati dhidi ya Russia yanoitwa "Spring Offensive" Ukraine wahitaji sana hizo picha za satelite na za "Surveillance" kuweza kuwa na mashambulizi yenye kutoa ipnact kubwa.
Mida hii yaelezwa kwamba kuna maseneta wapenda vita tayari wazoza kuhusu kutuma ndege za F-16 jambo linoashiria kwamba sasa Marekani na washirika wake wapo tayari kwa vita kamili ya angani na Russia lakini bila kutuma vikosi vya ardhini nchini Ukraine kama walivyokubaliana na Russia.
Cha ajabu walitumia missile ya $400,000 kutungua puto la $200🤣🤣Video hii hapa jinsi mzigo ulivyo angusha kwa mafuta tu wao puto hawakulala wiki mojahttps://twitter.com/ArthurM40330824/status/1635900942896734208?s=20
Ndo maana US wajitahidi sana kugharamia na kuhakikisha Ukraine apewa msaada wa hali na mali.Thubutu .marekani labda apigane vita na kiduku siyo russia .....
NATO pro wanashangazaHizo €29mil hapo Ukraine ni kama unamwaga ndoo ya maji kwenye bahari na kutarajia bahari kujaa.
Zimeshateketea zaidi ya $180+bil na maeneo yamezidi kuchukuliwa.
Sasa hiyo €29mil itasaidia nini.
I'd mpya hizi, zinazoibuka hivi karibuni ni za kuzitazamaNaona ushabiki mwingi , unaijua vizuri MQ -9 ? Hii drone ni moja kati ya drone bora kabisa duniani. Hai miss target. Precision yake kwenye ku hit ni kubwa. Yani upo chumbani victim yupo barazani anadonolewa bila kuathiri alieko ndani. Ni drone inayoogopeka zaidi duniani.
Rejea Alzawahir, Soleman na wengine wengi.
Kuiangusha isikufanye uone ni dhaifu. Haifanyi mashambulizi bila kupewa order na Raisi.
Russia hawezi kuishinda Marekani kwenye uwanja wa vita. Marekani hataki vita na Russia kwani itakuwa na gharama kubwa. By the way russia hana tishio lolote la kiuchumi kwa US. Labda kama angekuwa kwenye nafasi ya China.
Bado ni Story tu hizoKama mwakumbuka, nilisema hapo awali kwamba US na NATO watatengeneza tukio ambalo litapekelea kuhitaji Ukraine kupewa ndege za kivita za F-16.
Marekani kuna sintofahamu kwa wananchi kwamba hawakubali kuunga mkono moja kwa moja vita na Russia.
Hiyo AUV ya Marekani ilikuwa ikiruka umbali wa maili 6000 kutokea kituo cha kijeshi cha NATO na US na ilikuwa ikiruka umbali wa maili 75 kutoka kisiwa cha Crimea. Pia Marekani hawajakataa kwamba kifaa cha mawasiliano kwenye hiyo AUV yaani "transponder" kilizimwa.
Ukizima "transponder" wamaanisha kwamba katika ujasusi wa kuchungua eneo la adui yaani surveiilance hutataka kujulikana wataka kuchukua picha za eneo la adui kugundua amejipanga vipi, vifaa vyake vya kijeshi na masuala mengine mazito.
Na kwa kuwa Russia waliona AUV hiyo yajongelea anga lake pale Crimea kama taifa lililo vitani Russia hawakuwa na jinsi bali ni kuidungua hiyo AUV.
Ili kuweza kufanya mashambulizi ya kimkakati dhidi ya Russia yanoitwa "Spring Offensive" Ukraine wahitaji sana hizo picha za satelite na za "Surveillance" kuweza kuwa na mashambulizi yenye kutoa ipnact kubwa.
Mida hii yaelezwa kwamba kuna maseneta wapenda vita tayari wazoza kuhusu kutuma ndege za F-16 jambo linoashiria kwamba sasa Marekani na washirika wake wapo tayari kwa vita kamili ya angani na Russia lakini bila kutuma vikosi vya ardhini nchini Ukraine kama walivyokubaliana na Russia.
Safi sana
Alizoea kuzozana na vivulana,Sasa safari hii kakutana na mwanaumeAwamu hii kakutana Na Kisiki
Ha ha haa,umewaza kama Mimi.Sipati picha jana Russia ndo ingekua imefanyiwa vile na US aisee huu uzi leo watu wangefufuka kujazana humu[emoji1][emoji1]
Hisia 🤣🤣🤣🤣....haya Rudi na data utueleze vizuri, au Hollywood ishaosha kichwa hicho?Naona ushabiki mwingi , unaijua vizuri MQ -9 ? Hii drone ni moja kati ya drone bora kabisa duniani. Hai miss target. Precision yake kwenye ku hit ni kubwa. Yani upo chumbani victim yupo barazani anadonolewa bila kuathiri alieko ndani. Ni drone inayoogopeka zaidi duniani.
Rejea Alzawahir, Soleman na wengine wengi.
Kuiangusha isikufanye uone ni dhaifu. Haifanyi mashambulizi bila kupewa order na Raisi.
Russia hawezi kuishinda Marekani kwenye uwanja wa vita. Marekani hataki vita na Russia kwani itakuwa na gharama kubwa. By the way russia hana tishio lolote la kiuchumi kwa US. Labda kama angekuwa kwenye nafasi ya China.
Sasa weye waingia eneo la adui ili uchukue picha za kipelelezi kisha nikuache tu upyange zako kweli?Kumbe na chombo kimechukuliwa lah[emoji328][emoji385]