Mkuu je unafurahi kweli kumnukuu mshamba wa Moscow ambaye ajui tofauti kati ya kina cha Baltiki na kina cha Bahari Nyeusi ? Propaganda ni sanaa na ufundi. Wengine wanaweza, wengine wanashindwa...Maria na maneno yake ya shombo
Kama ukraine waliweza kuripuwa bomba la gesi huko baltic sea kama inavyovumishwa na media za marekani, kwa nini washindwe kuzamia bahari nyeusi kuitoa drone.
Kwa wale waliokuwa hawajaelewa kinachoendelea
View attachment 2553952
Kweli? Ukraine hawawezi kuangusha Tochka-U? Oma hii: Ukrainian soldiers shot down a “Tochka U” missile from a Stinger
Wakipata mabaki ya droni, italeta faida gani kwa nani?Dah!
Hii Dunia Kuna ubabe hatari.
Sasa Ukraine wakiona hivi wanajisikiaje?
Au memba wengine wa NATO wanajisikiaje?
Yaani Mkuu wa genge anafanyiwa ubabe.
Aisee!
Mkuu je una uhakika unajua unachojadili? Mfano Kyiv ina ADS moja aina ya IRIS-T. Kwenye shambulio kubwa la juzi kombora moja liliweza kupiga Kyiv, zote nyingine ziliangushwa mapema.Air defense system zipi unazo zizungumzia hapa, kama ni hizi za magharibi mbona juzi zilitiwa keberiti zote baada ya Urusi kuzitegeshea kwa kurusha dummy missiles kwanza ili zitumike kusoma up/down frequencies za AD system zinazo tumwa na radar ku detect target na vile vile na kuasidia kuongozea missiles inapo pidi, lakini SAM nyingine zinajiongoza zenyewe zikisha memorise mwenendo wa incoming targets/missiles.
Kama nilivyo sema tangu mwanzo, juzi warusi wakazidi kete Air defense system za Ujerumani zinazo pigiwa debe sana na baadhi ya wana JF members pamoja na ADS kutoka USA, Warusi wakatanguliza dummy missiles ili zisome frequency specs na code za ADS za Wajerumani na USA na kutuma taarifa hizo kwa missiles ambazo zilikuja kufuata baadae kwa ajili yakuzitia kiberiti ADS za magharabi zilizo kuwa zinalinda anga la Ukraine - mpaka sasa Ujerumani, Zelensky na USA hawakuamini kilicho tokea kwa ADS zao wanazo jisifia kila kukicha, ziliteketezwa usiku mmoja kama mchezo vile.
Sasa mwenzetu hapa sijui unazungumzia ADS zipi tena? Hizi hizi zinazo toka mataifa ya magharibi ambazo juzi hapa zilionekana kumbe hazina uwezo wakustahimili mziki wa silaha la Urusi - labda kama unazungumzia ADS zitakazo nunuliwa na USA/NATO labda toka kwenye sayari ya MARS.
Sawa tuendelee kuangalia kwenye akiba ya Putin bado kuna ngapi!Ukiwa muongo usiwe msahaulifu
Nyato njooni huku
Kumbe hata iskander inawapeleka puta,
Halafu munatuambia tumefanikiwa kuintercept missile 60 kati ya 59 zilizorushwa
Sijakosea
Apart from the Russian hypersonic missiles Kinzhal and Kh-22, the Armed Forces of Ukraine cannot shoot down ballistic missiles." -AFU Airforce spkesman Yuriy Ignat
View attachment 2553967View attachment 2553968
Wapuuzi, wanongea uongo Sana. Sitakubali wapotoshe, bila shaka hatutakubali pro rosiya🇷🇺Ha ha haa mmewabana Kila Kona hawa Pro Biden.
Safi sana,piga spaner Hadi watoroke jukwaa.Wapuuzi, wanongea uongo Sana. Sitakubali wapotoshe, bila shaka hatutakubali pro rosiya🇷🇺
Vunjo ma video umepotea sanaUnanimisi kenge mweusi wewe
Nyama yarisasi Zele AnawasubiriMwezi Ujao Russia imesema itaajiri Wanajeshi 400,000
Haya wale wafia Urusi kazi hizo hapo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ndege hizo nyingi ziko wapi? Mbona zinapumzika huko Krimea? Labda kupaa tu ili kurusha roketi moja-moja kwa umbali mkubwa?The Russian military keeps "a powerful ground and aviation component" in Ukraine's Crimea, building fortifications and preparing for defense on the occupied peninsula, Vadym Skibitskyi, deputy chief of Ukraine's military intelligence, said on March 16.
According to Skibitskyi, nearly 90 combat aircraft and 60 attack helicopters are currently stationed in illegally annexed Crimea.
Learn more: Intelligence: Russian occupying forces in Crimea preparing for defense
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Pole[emoji298]️Nine countries intend to transfer 150 Leopard tanks to Ukraine, Pentagon Chief Lloyd Austin announced at the tenth meeting of the Ukraine Defense Contact Group (Ramstein format).
“The coalition of countries supplying Leopard tanks to Kiev continues to grow. Now nine countries have pledged to supply more than 150 Leopard tanks,” Austin said.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ajira ina pande mbili: mwajiri na anayeajiriwa. Watapatikana wangapi? Nisipokosei ofisi za kujiandikisha jeshini ziko kila mji wa Urusi, sivyo? Mbona hao 400,000 wameshafika kujitolea? Kama bado - kwa nini waje sasa?Mwezi Ujao Russia imesema itaajiri Wanajeshi 400,000
Haya wale wafia Urusi kazi hizo hapo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Uliyoandika lines za mwisho ndiyo ambayo serikali ya Zelensky inafanywa!Inakamata wanaume Kwa nguvu na kuwapeleka Frontline,wamepeleka Hadi vitoto vya chini ya miaka 18!Ajira ina pande mbili: mwajiri na anayeajiriwa. Watapatikana wangapi? Nisipokosei ofisi za kujiandikisha jeshini ziko kila mji wa Urusi, sivyo? Mbona hao 400,000 wameshafika kujitolea? Kama bado - kwa nini waje sasa ??
Au labda si mpango wa kuajiri ila mpango wa kukamata kwa kulazimisha? Au kudanganya? Miaka 300 huko Ulaya mbinu ilikuwa kuwakaribisha watu kilabuni na kuwalipia vileo. Wakiamka wameshavaliwa sare....
Nasikia Putin anapenda historia?
Mkuu tatizo lako umempenda zaidi Putin., Putin aliliona hili jambo kuwa ni dogo sana ndio maana akaita SMO na lengo lake ni within 96 dayas atakuwa amemaliza kazi, Leo ni mwaka. 96 days zipo ndani ya One week niliyotaja. Zama kwenye vyazo vya habari utaona.Mkiambiwa leteni ushahidi wa sauti au video clip ambayo Putin aliwahi kuitangazia Dunia muda atakao chukua kumaliza kazi huko Ukraine - ushahidi huo hamna kabisa mnabaki ku-copy copy propaganda za media za west, basi! Wengi mna amini uongo huo to the letter.
Mkuu uelewa wako ipoje!!!? Kweni hujui kwamba 96 days ipo ndani ya one week. week? Ebu tuache huu mjadala kuna mambo mengi ya kufanya.Sio wiki tena bali masaa 96?🤣🤣🤣🤣
Post ya mwanzo Ulisema Putin aliutangazia ulimwengu kwamba atamaliza kazi wiki Moja,post hii unasema Putin alitangaza siku 4(saa96) atakuwa amemaliza kazi!
Sasa kipi ni kipi?
Ukiwa muongo kuwa na kumbukumbu!
Haya tuwekee Huo ushahidi wa wiki au hizo siku 4!