🤔 majibu kutoka chuoni. Ookey.Ashapewa jibu...halitaki ana majibu yake anayo kutoka chuoni
Mkuu ni hivi: kuna mkakati wa baadhi ya Nchi hawataki kutumia $. Kwani ndicho USA anacholingia. Sasa basi:- tunajiuliza ni kipimo gani kitatumika kwenye mizania ya ulinganifu wa fedha zao kwamba e.g Mtanzania anauza nyumba yake Tshs. 200m na anayetaka kununua ni Mjapan na ana Yuen fedha ya kijapan na wanauziana kwa fedha zao? Mjapan atatoa Yuen ngapi bila kuhusisha $. ili kununua hiyo nyumba?Sijaelewa swali boss.
Sawa Mkuu, huu ndio usomi na ustarabu katika kutoa elimu kwa manufaa ya yote.Naomba kuchangia hapa.
Kigezo number 1 cha kuthaminisha pesa ya nchi ni Gold.
Ndio maana hata huu mfumo wa USD ulipoanza, ulikuwa unatumia Gold Standard (Ingawa baada wakaja kuutoa kwa sababu hizo Gold hawakuwa nazo)
Kwa hiyo tambua kwamba, Gold ndio standard ya kuweka mizani na sio USD... OKay?
Jamaa kawa out smart sana NATOHii technique ya Russia kutumia Wagner PMC kama main troops kwenye hii SMO ni technique nzuri sana.
Westerns walichokuwa wanataka ni kufanya uhuni wakuli subdue jeshi la Russia kwa kulifanya liwe weak kwa kulipiganisha vita ya kipuuzi.
Sasa, Russia wakaona dawa na sisi ni ku outsource hii vita kwa third party, na sio jeshi letu kupigana.
Kwa hiyo Wagner PMC wanaajiri mtu yeyote aliye capable kupigana. Then twende kaza.
Jeshi la Russia, lipo limetulia tu kwa sasa, linatoa technical assistance za hapa na pale.
Propaganda za bei rahisiMercenary group boss 'likely overestimated his favour with Putin'
Tensions between the Kremlin and the private military group Wagner have been well-documented over the last few months.
Russia analyst Kateryna Stepanenko, from think tank The Institute for the Study of War, has said that Mr Prigozhin "likely overestimated his favour with Putin and the combat effectiveness of his forces in hopes that achievements in Ukraine would secure him a spot near Putin".
Speaking to The Cipher Brief, she said: "Prigozhin likely imagined his efforts in Ukraine would continue to lend him military and political power in Russia.
"But Prigozhin began to exploit the Russian information space – and his prominence – to attack the Russian Ministry of Defense and Russian military command in hopes of pursuing his commercial and political objectives such as the legalisation of Wagner in Russia."
In response, she says the Kremlin has been "increasingly marginalising" him and siding with the Russian Ministry of Defence.
Reports have also emerged that the Kremlin and Russian MoD are forming new private military forces.
Ms Stepanenko says this is "likely in an effort to displace private military companies like Wagner".
========================
Kwisha habari yake huyu, katumika tu sasa katoswa.
Shetani hana rafiki.
MIGAIDI sio yakuione huruma acha aendelee kuiponda pondaMkuu Putin ni nyonya damu lile jitu,halina haruma.
RUSSIA maskini sanaaaaa[emoji23][emoji16][emoji16][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russia baada kuibonda Mariupol Sasa kaijenga upya..View attachment 2546055View attachment 2546056View attachment 2546057
Wewe Moooo ndio uanze kujibaraguza mbele yangu. Kwanza wewe ni KE au ME?Mkuu ukiona umezidiwa hoja pita kushoto.. Ukimuona mtu mwenye maneno ya OVYO sehemu kama hii unamwombea kwa MUMGU asitarabike
Ooh, Ok, kabla sijajibu kuna wadau wameielezea vzr huko nyuma. Fuatilia wale waliokuwa wakinijibu swali nililouliza wameeleza itakavyokuwa na majibu yao yana usahihi ila ni mchakato sio jambo ambalo lipo kwenye mfumo.Mkuu ni hivi: kuna mkakati wa baadhi ya Nchi hawataki kutumia $. Kwani ndicho USA anacholingia. Sasa basi:- tunajiuliza ni kipimo gani kitatumika kwenye mizania ya ulinganifu wa fedha zao kwamba e.g Mtanzania anauza nyumba yake Tshs. 200m na anayetaka kununua ni Mjapan na ana Yuen fedha ya kijapan na wanauziana kwa fedha zao? Mjapan atatoa Yuen ngapi bila kuhusisha $. ili kununua hiyo nyumba?
Ni mpango mzuri kwasababu Amerika anatumia Dora kibiashara ,anuwezo wa kuprinti nyingi zikipungua na tunalazmika kuzinunuaSasa bado tunatumia western world order. Bado ipo.
Ila taratibu baadhi ya mataifa wanaachana nayo.
Itachukua muda, sio swala la overnight.
Anachokaje na huku badala ya kutumia silaha za mamilion ya dollar na zinazochukua nda mrefu kuzalisha anatumia silaha za million 1-2 hapo kwa wingi. Kumbuka anapigana wakati Iran anamtengenezea silaha.Mbona sijaelewa!? How wanapiga pesa? Silaha wanazompa Ukraine watapataje faida ikiwa Ukraine mwenyewe anachapika? Atawalipa vipi? Biden Jr ananufaika vipi kwenye hii vita? Nielewesheni plz hii msaada wanayompa Ukraine wanaandikishiana kwamakubaliano? Na if that so kwanini raisi WA Ukraine asikubali kukaa mezani na Urusi yakaisha?
Coz kamsaada anachopewa hakitoshi kumdhibiti Putin. Na Putin hajui kuwa hii vita ni biashara ya magharibi? Haoni kuwa na yeye anapoteza rasilimali nyingi ikiwepo wanajeshi na silaha? Haoni kuwa ni mtego watu wakimalimaliza biashara watamrudia yeye kumchapa! Maana atakuwa ameshachoka
Kwahio sasa wanamtegemea mchina ndio asawazishe kipengele eti ashawishi nchi zote 🤣🤣🤣 wamarekani wajinga sana hasa huyo babu ***** Biden.National Security Council spokesman John Kirby told NBC News that there is "no doubt" that Russia is committing war crimes and crimes against humanity in Ukraine.
"President Biden has been very clear, since the beginning of this war, that we're going to look for ways to make sure that Russia is held accountable for the war crimes for the atrocities that they are perpetrating against the Ukrainian people," Kirby told Kristen Welker of NBC News.
The UK is calling on China to ask Russian leader Vladimir Putin to withdraw his troops from Ukraine during Chinese Premier Xi Jinping's Russia visit next week.
"If China wants to play a genuine role in restoring sovereignty to Ukraine, then we would obviously welcome that," a spokesperson for Prime Minister Rishi Sunak said.
"We're clear that any peace deal which is not predicated on Ukraine's sovereignty and self determination is not a peace deal at all. So we will continue to call on China, as we have done before, to join other countries across the world in calling on Putin to withdraw his troops," the spokesperson added.