Sasa wange gandaje wakati bado walikuwa wanatumia gesi ya Urusi?Mkuu Asante kwa kulitambua hilo . Mabeberu ni wajanja sana walisema Ulaya yote watakufa kwa baridi , hivi ni wangapi walikufa kwa baridi , Vita alivyoanzisha PUTIN vitamtokea matakoni kama sio vilishamtokea , achana na vikwazo vya uchumi.
wewe huna ujualo mara kadhaa Biden amekuwa anasema fedha zinatumika kwa msaada ukraine na zile zilizokamatwa nyengine ufaransa tayari watu washagawana ngawira zamaniHakuna pesa yeyote ya Urusi iliyo taifishwa bali zimeshikiliwa tu.
Hati imeletwa na imepokelewa hivi.Hati ya kumkamata ipo, awe makini...
Kumkamata raisi wa Taifa jengine ni kutangaza nalo vita! Hutumii akili?Hati ya kumkamata ipo, awe makini...
Ebu tutolee mihemko ya kijinga ebu leta ushahidi wa unacho kisema.wewe huna ujualo mara kadhaa Biden amekuwa anasema fedha zinatumika kwa msaada ukraine na zile zilizokamatwa nyengine ufaransa tayari watu washagawana ngawira zamani
Mkuu umeiweka vema hakuna mali yoyote ya Urusi ambayo imechukuliwa na kutaifishwa/kutumika zaidi ya kushikiliwa tu. Na wanakosa maamuzi ya kutumia mali ya Urusi iliyoshikiliwa kwasababu hapo kabla hakujawai tokea jambo kama hilo.Hakuna pesa yeyote ya Urusi iliyo taifishwa bali zimeshikiliwa tu.
Huyo Hana akili hiyoKumkamata raisi wa Taifa jengine ni kutangaza nalo vita! Hutumii akili?
Huyo jamaa ni shoga anayejitangaza kiaina..,shtuka!Mwanamme hacheki bila ya sababu za msingi kila siku tabia hiyohiyo.
Siyo tu hayupo Kremlin, Yupo Ukraine kabisa.ICC inasubiri nini kumkamata mharifu wao wakati hayuko Kremlin
Siyo Rais tu mkuu, Ni Rais wa Russia..Hata Us hana uthubutu huo!Kumkamata raisi wa Taifa jengine ni kutangaza nalo vita! Hutumii akili?
Mashoga wana tabu!Tunalirudisha Jimbo , Putin Yuko kwa jeneza anasubiriwa tu kuzikwa . Akili yake imejaa mavi
Kisheria huwezi kutumia pesa ya nchi nyingine kiholela kuna mchakato mkubwa na mrefu wa kisheria unatakiwa utumike kwanza kabla ya kufanya hivyo.Mkuu umeiweka vema hakuna mali yoyote ya Urusi ambayo imechukuliwa na kutaifishwa/kutumika zaidi ya kushikiliwa tu. Na wanakosa maamuzi ya kutumia mali ya Urusi iliyoshikiliwa kwasababu hapo kabla hakujawai tokea jambo kama hilo.
Kafanye maandalizi ya shule kesho. Hiyo simu ya dada yako itakusbabishia kufeliMkuu Asante kwa kulitambua hilo . Mabeberu ni wajanja sana walisema Ulaya yote watakufa kwa baridi , hivi ni wangapi walikufa kwa baridi , Vita alivyoanzisha PUTIN vitamtokea matakoni kama sio vilishamtokea , achana na vikwazo vya uchumi.
Huyo ni mwehu au kichaa kamili,, mwenye akili timamu hawezi jisemesha upuuzi wa aina hiyo,, Russia sio Sudani,,![emoji298]️German Justice Minister Marco Buschmann said he would arrest Russian President Vladimir Putin if he visits Germany, Bild reported.
“I expect the ICC to quickly contact Interpol, as well as the participating States, and ask them to comply with the requirement,” Buschmann added.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Piga na kibao ntu kama huyoKuna msemo unasema usioneshe ujinga wako hadharani
ICC mnaingalia nyie tuuuMkuu muda unakwenda kasi sana, hilo limeshajibiwa kitambo. Leo watu waiingalia ICC inaendeleaje.
[emoji23][emoji23][emoji23] kwani unatesekea ukiwa umepakwa mafuta na SU-27 ukiwa bonyokwa sehemu ganiMwanamme hacheki bila ya sababu za msingi kila siku tabia hiyohiyo.
@T14 Armata uje utuambie hapaPutin yuko jijini Maliopol wale walio tuambia kuwa putin anajificha chumbani njooni mtuambie.