Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hkuna ww3 itayoletwa na ICC kisa PUT IN sababu hakuna anaeweza kumkamata PUT IN
 
PUT IN
 
Walikuwa wanaongea sana maneno mengi.haya sasa mpaka mafuta yupo Donbass, kama Zelensk ana uchungu na Donbass basi amfate mwanaume huko Donbass
Ngoja T14 Armata aje atie neno maana walisema hatembelei war zone sasa kaenda MAURIOPOL

Nanawahakikishia panapo uzima na uhai mwakani watamuona BAKHMUT

Wakiendelea kukaza shingo mwaka ujao watamuona LIVIV anakagua kambi ya kijeshi
 
Ngoja T14 Armata aje atie neno maana walisema hatembelei war zone sasa kaenda MAURIOPOL

Nanawahakikishia panapo uzima na uhai mwakani watamuona BAKHMUT

Wakiendelea kukaza shingo mwaka ujao watamuona LIVIV anakagua kambi ya kijeshi
Zelensk bila shaka mpaka muda huu anangalia video mara mbili mbili.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Are u serious mkuu? Putin atatua USA na nakuhakikishia hakuna atakayethubutu kumkamata.
 
Kibaya zaidi fedha nyingi zilizotaifishwa za wawekezaji kutoka russia US ndio wanazitumia kuwapa msaada Ukraine kwa chakula na kila kitu, ni vile russia wanakaangwa mafuta yao putin ni babu jinga
Duh haya mawazo yako yamenishangaza sana.

Mali za serikali ya Russia pamoja na Mali za matajiri wa Russia has wenye mafungamano na serikali zimezuiwa. Kuna tofauti ya kuitaifisha na kuzuiwa. Hapo baadae mali za serikali zinaweza kutaifishwa ila za matajiri haiwezekani maana wao hawahusiki na SMO ya serikali.
 
Mkuu Asante kwa kulitambua hilo . Mabeberu ni wajanja sana walisema Ulaya yote watakufa kwa baridi , hivi ni wangapi walikufa kwa baridi , Vita alivyoanzisha PUTIN vitamtokea matakoni kama sio vilishamtokea , achana na vikwazo vya uchumi.
Wee kenge PUTTIN sio sawa na mama Samia,jibwa koko we, ataenda kokote na hakuna Mbwa yeyote wa kumkamata.
 
Aisee,jamaa kamind sana!Alipelekwa na rafiki zake Iraq wakiamini Kuna weapons of mass destruction which possed a threat to US!

Ikawa ni uongo na analalamika rafiki zake wamekufa Kwa sababu ya uongo wa Bush! Bush hapo kapewa za uso,Tony Blair juzi juzi ameomba msamaha huku akibubujikwa na machozi Kwa kushiriki uvamizi wa uongo na kuua zaidi ya watu wa Iraq million 1!
 
Tonny Blair tangu astaafu Uwaziri Mkuu amekuwa ni mtu wa kuungama. Nakumbuka alipo staafu uwaziri mkuu alibadili na dini kabisa kutoka Anglikana kwenda Roman Catholic....
 
German authorities will comply with the ruling of the UN International Criminal Court in The Hague and be forced to arrest russian warmonger vladimir putin if he dares to enter their country.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
President Volodymyr Zelensky of Ukraine has expressed gratitude to the Ukrainian military who defend the city of Bakhmut from the russian onslaught.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tutaendelea kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56]

From February 24, 2022 to March 19, 2023, the Armed Forces of Ukraine eliminated about 164,910 russian military personnel, including 710 soldiers over the past day.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mmerudisha mita ngap mpaka saiz baada ya kuwachinja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…