jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Ujerumani aende kufanya nn? Hata Biden mwenyewe ijapakuwa Hana hiyo warrant ya kukamatwa laakin mpaka atatoka madarakani hatakuja kukanyaga ujerumani.German authorities will comply with the ruling of the UN International Criminal Court in The Hague and be forced to arrest russian warmonger vladimir putin if he dares to enter their country.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Chaajabu ni kuwa ukrine anapiga makombora nchi yakeKipigo kinaendelea [emoji91][emoji91][emoji91][emoji123][emoji1255][emoji1255]
Over the past day, the Air Force of the Armed Forces of Ukraine launched 10 strikes on enemy clusters.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hata mali za serikali sio rahisi kutaifishwa kuna mrorongo mlefu wa kisheria mpaka kufikia hatua hiyo.Duh haya mawazo yako yamenishangaza sana.
Mali za serikali ya Russia pamoja na Mali za matajiri wa Russia has wenye mafungamano na serikali zimezuiwa. Kuna tofauti ya kuitaifisha na kuzuiwa. Hapo baadae mali za serikali zinaweza kutaifishwa ila za matajiri haiwezekani maana wao hawahusiki na SMO ya serikali.
Hayo kayasema nani!! Na ana wadhifa gani kwenye Serikali ya Ujerumani???German authorities will comply with the ruling of the UN International Criminal Court in The Hague and be forced to arrest russian warmonger vladimir putin if he dares to enter their country.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ha ha haa.Huyo Hana akili hiyo
Waingize jesh front mazima waachane na mapichapichaWatu wanataka supu ya Putin [emoji848]🥱🥱🥱🥱
Katrina Kaktina, the Ambassador of Latvia [emoji1145] to the UN [emoji2407]
[emoji123]View attachment 2558009
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Safi sana ,umeona kama Mimi ninavyoona.Hkuna ww3 itayoletwa na ICC kisa PUT IN sababu hakuna anaeweza kumkamata PUT IN
Hii ishu ya ICC wameiibua kuja kuzima story ya US drone MQ-9 reaper ilivyoshushwa na Russian jets SU-27.ICC mnaingalia nyie tuuu
PUT IN alikuepo MAURIOPOL c wanasema sehem ya UKRAINE mbona hawajaenda kumkamata
Niliwashangaa Waukraine zaidi walipo piga mizinga jengo lilokuwa lina hifadhi ndege yao iloyo kuwa inasifika sana Duniani kwa kibeba tani nyingi za mizigo kuliko ndege nyingine hapa Duniani A225 - Waukraine waliichakaza kabisa baadae wanakuja kuwasingizia Warusi - juzi hapa ndio Waikraine wamekiri kwamba Warusi hawakuhusika chochote kulipuliwa kwa Antonov A-225.Chaajabu ni kuwa ukrine anapiga makombora nchi yakeView attachment 2558010
Tukumbushe mkuu.Safar za wakubwa huwa zinaratibiwa na pande zote husika
Kila mmoja anajizuia isije ikatokea makosa km yale ya Archeduke
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Kazi ya kuwachinja warusi Ukraine wanaifanya vyema, Sion haja ya kuingiza majeshi mengine!Waingize jesh front mazima waachane na mapichapicha
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
West wana double standard sana. Hii kitu niliwahi kuiona National Geographic kwenye Aircrash investigation. C-5A Galaxy ilipata ajali imejaa watoto wa kivietnam.Supa pawa baada ya kushindwa vita huko vietnam akaamua kuondoka na watoto kwa kisingizio cha .........
Leo hii supa pawa ameshajisahaulisha
Andika Operation Babylift kwenye search engine mfano google
View attachment 2557467
View attachment 2557468
View attachment 2557471
kama unafikiri ipo siku western media zitakupa habari za mateso waliyopata wakati wa winter,basi amini pia beberu nae atapata mimba. Moja wa waanga wa kukosa nishati rahisi ya RUSSIA ni viwanda vikubwa vya europe,waulizie vipi hali yao kwa sasa. Hali hii ya kuumia kwenye nishati ndio imechochea chokochoko anazolengwa CHINA kwa maana Europe industry zinateketea wakati za CHINA zina prosper kwa kupata nishati kwa bei ubwete.Mkuu Asante kwa kulitambua hilo . Mabeberu ni wajanja sana walisema Ulaya yote watakufa kwa baridi , hivi ni wangapi walikufa kwa baridi , Vita alivyoanzisha PUTIN vitamtokea matakoni kama sio vilishamtokea , achana na vikwazo vya uchumi.