Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Sio kwamba wana habari za kuaminika laah hasha, bali wana habari za kujifaidisha, umbea umbea, uchimvi, uwongo uwongo, kusingizia na kutangaza 'states secrets' japo sishangai..ni tabia yenye udada mwingi..kwanza hawana marinda[emoji48][emoji48]waooXI kisha Tua Moscow
Kwa unavyojichekesha wewe ndiye unaepakwa mafuta na kukuingia kunako kwasababu yanakufanya ujisikie raha kwakutoa vicheko mda wote.[emoji23][emoji23][emoji23] kwani unatesekea ukiwa umepakwa mafuta na SU-27 ukiwa bonyokwa sehemu gani
Ha ha haa,ukiwa mbabe bwana,unatamba unavyotaka.Dmitri Medvedev has threatened to strike the International Criminal Court in The Hague with a hypersonic Kinzhal missile.
He finished his Telegram post with the statement:
“judges, look carefully at the sky…”
Unarudia kudanganya......Bila shaka ilivamiwa kwa lengo maalum (kutuma wanajeshi bila lengo maalum si kawaida...) na lengo lilikuwa kuishika ili vikosi viweza kutua kwa ndege. Lengo hili lilishindikana, na ndege zenye askari ziliangushwa. Ukraine ilifaulu kuharibu njia ya kutua hivyo uvamizi ulikuwa bure. Vikosi vya Kirusi vilipigwa vibaya, pamoja na balaa ile ya foleni ya vifaru na magari iliyopigwa vibaya. Kumbe walikimbia wakatafuta usalama upande wa Belarus na Urusi na kuhamisha mabaki kwenda Donbas.
Dah!VIDEO
Kuna Askari Mmoja wa Ukrein Aliwahi Kuhojiwa Kuhusu Vita
Jamaa alisema Hawa WAGNER
Nihatari yaani Nikama Mizimu inayo Fufuka haina Uoga Na Anajiuliza Hajui wanapewa Vitugani !!
Angalia Hii video Hawa watu Nihatari yaani Mashine Inatema Rocket yeye nduo kwanza Anapiga Gitaa juu yake
Wana mzuka Balaa
Ndio maana West wana wagwaya hawa watu ni Mizimu
MUNGU IBARIKI URUSI
URAAAAAAAAAAAAAAAAA
View attachment 2559073
Yaaah yaaah russia will not win this op...but why anatembea huko ukrain mnakosema hatoboi? Cha maana ningeona ambacho angefanya angekaa kwa kutulia ajenge tena nguvu...hapo alipo sasa akizingua anaondoshwa had kiev panajengwa magorofa ya watu kukaa bure na huo mkopo wa silaha za west sijui ataurudishaje yaaani NATO watamfirimba[emoji633]Spanish Prime Minister Pedro Sanchez visited Bucha and Irpin.
[emoji187] "Bucha and Irpin show the wounds and scars of Putin's barbarism. Russia will not win this war. All of Spain is with Ukraine," Sanchez said.[emoji298]
Wewe ni rafiki mkubwa na huyu mtu.sasa ukiwa na urafiki na mwizi uwa kuna asilimia kazaa za wewe kuwa mwizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Kwa unavyojichekesha wewe ndiye unaepakwa mafuta na kukuingia kunako kwasababu yanakufanya ujisikie raha kwakutoa vicheko mda wote.
"Heta" namba moja wa Russia ni Poland, akifuatiwa na dada mauwivu UK, anaefuatia ni shangazi yao Canada, tokea enzi yeye na Russia ni paka na panya hadi Rusia akamuuzia US kipande cha Alaska kumaliza ugomvi.. US yeye ni kama kuwadi...anakula kwenye mgongo wa kila mtu..kwa muuzaji anakula cha juu, kwa mnunuzi anakula cha juu...muuzaji ukikaa vibaya anakula na wewe pasupasu na ikibid anakuzid na mali ni yakwako...[emoji1255] The street in front of the Russian Embassy in London was painted in the colors of the Ukrainian flag.
[emoji329]: Reuters[emoji298]
Ulaya Kuna kiongozi mwenye akili labda kidogo Sana Rais wa Hungary.Viongozi wa Nchi za EU ni wendawazimu-nilidhani Africa tu ndio viongozi hawana akili kumbe wazungu nao.
Yani EU nzima wanaendeshwa na USA-angalia sasa pamoja na bei ya natural gas kushuka wenyewe bado wananua gas kutoka USA & Canada kwa kulipa gharama mara 3-5 zaidi ya waliyokuwa wanalipa kwa kununua gas Urusi.
Eti wanamkamata kwa kosa la kumpa hongo(rushwa) kahaba mmoja mamilioni ya dola kipnd cha kampen zake za urais ili asiseme kama walikua na mahusiano....ila ni kweli walikua wanapari kwenye makasino..Kwahio wanataka kumkamata Trump na kumuweka ndani? Kosa lake ni nini au kuwa mrengo wa Putin[emoji1787]
Kwa kipigo alichotembezewa urusi huko hostomel hiyo movie ikitoka nitakuwa wa kwanza sokoni [emoji16][emoji2][emoji1787]
Mara nyingi sana hili swala Putin ameliongelea,yani kiufupi USA ni kama kupe nyie mnagangaika huko kuzalisha halafu yeye anakuja kula tu kwa mrija.Mkuu naomba nieleze kadiri ya uelewa wangu.
Mosi, nguvu ya kila kitu ipo kwenye pesa. Pesa ndio kila kitu.
Baada ya vita ya pili ya dunia, US ndiye aliyeibuka kiranja mkuu (kwa upande wa westerns).
US na allies wake wakafanya makubaliano ya Britonwood (unaweza ku google na kuelewa vizuri).
Kupitia Britonwood, USD ndio ikachaguliwa kama a medium of exchange currency. And truly ikawa backed na gold.
Yaani kwa mfano ukiwa na USD 10 = 5 ounce of Gold. Kwa hiyo USD ikapimwa kwenye mizani ya gold.
Note:
Kwa maana hiyo hapo, huwezi ku print pesa nyingi kama kweli huna hiyo reserve ya gold.
Lakini baadae wakaje kuiondoa USD kwenye ulinganifu huo wa Gold. Kwa hiyo hapo wakapata kichaka cha kuwa na uwezo wa ku print Gold. They are no longer binding kwamba ukileta USD 50 tutakupa 10 ounce of gold.
Kuna swala lingine pia.
Kitendo cha kukubaliana kule Britonwood kwamba USD ndiyo itakuwa reserve currency, maana yake iliwalazimu nchi zingine zooteee ni lazima ziwe na reserve ya USD.
Moja, unakuwa na reserve ya USD kwenye benki kuu yako
Pili, unakuwa na USD reserve huko US [emoji631] kwa ajili ya ku facilite International payments. Kwa hiyo unaweza kuwa na reserve ya USD huko US in terms of hard currency or ukanunua Bonds etc. Ndio maana unasikia, Western wameshikilia mali za Russia za kiasi flani. Yaani hapo wanakuwa wameshikilia USD reserve ya Russia ambayo ame invest huko westerns kwa ajili ya yeye kuweza kufanya USD nased transactions.
Kwa hiyo hapo automatically utaona ni lazima demand ya USD currency iwe juu. Kwa hiyo wao US wanachofanya ni ku print tu hiyo USD na kukuletea wewe TZ in form of Loan, etc.
Kwa hiyo kwa mzunguko huo, demand ya USD imeendelea kuwa juu na USA imeendelea kuishi kwa kutegema interests za kwenye USD.
Kinachotaka kutokea sasa hivi ni kwamba, nchi zinaenda kuachana na USD kwenye transactions zao, kwa hiyo , mambo ya wewe kuhitajika kununua USD assets kama Bills or bonds hayatakuwepo tena. US ata print tena hizo USD kwa ajili ya nani?
Wakati kawapooza machungu kwa kuwapa investiment zote za ndani ya urusi? Na wanajua sheria ya urusi..ukiisaliti urusi uisaliti kwelikweli na usisomeke kwenye rada zao..ama ukiwa maji vuguvugu naww utafanyiwa kiasi kilekile cha usaliti ulichofanyiwa...waisrael wamewafundisha maisha nana ya kuishi na maadui kila kona na ukatoboa mshindi...Maisha ya matajiri wa Russia ni machungu Sana baada ya Puttin kuivamia Ukraine, Mali zao nyingi zimepigwa ban zilizoko nje . Si waungane wamchinjilie mbali hichi kibabu