mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
The White House wants to tell Xi Jinping what exactly?? Kumusihi au kumtishia kwamba hasijiingize katika kutafuta muhafaka baina ya Putin na Zelensky kwenye masuala ya Ukraine -si USA imekwisha tangazia Dunia kwamba wao ndio wenye mamlaka pekee ya kumaliza mgogoro huu - hata Secretary General wa umoja wa mataifa hana mamlaka hiyo as far as US is concern - would you believe it??💥🤡💥Biden and Xi Jinping's call has not been scheduled yet, but the US president really wants to talk to the leader of China — The White House💥🤡💥
Biden ni km lishugamami flan hv amazing..[emoji95][emoji1782][emoji95]Biden and Xi Jinping's call has not been scheduled yet, but the US president really wants to talk to the leader of China — The White House[emoji95][emoji1782][emoji95]
Atajibu mashtaka gani hapo..Wataruka ruka mpaka mwisho,lakini dictator Putin lazima afikishwe the Hague kujibu mashtaka
Majonzi sana mkuu..[emoji853][emoji853][emoji853]Mama anawasujudia hao mabeberu hana sauti. Naiona Uganda ikipiga hatua kubwa ni suala la muda tu. Museveni yuko serious na taifa lake kwa sasa, sisi tunahangaika na mikopo tu.
"Leo Viongizi 40 wa Africa wapo Moscow katika kongamano la "Russia-Africa in a Multipolar World"View attachment 2559225
Atapewa mgodi wa soledar au Azov plant[emoji298]️The Supreme Anti-Corruption Court of Ukraine has confiscated assets of Russian oligarch Arkady Rotenberg and three other Russian citizens. Among the assets is Kyiv's Ocean Plaza shopping mall.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ajabu Rais wa Ufaransa Anajiandaa kurudi Africa Eti Kuongea na Viongozi wa Africa Wasiunge Urafuki na Urusi&ChinaAfrican Leaders + Chinese Leader are both in Moscow.
Hapo lazima Westerns iwaume sana sana.
Lakini cha kushangaza wao kila siku wanakuta na kufanya vikao, lakini hakuna anayeumia....