Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

U.S. Secretary of State Antony Blinken on March 20 called Xi’s visit to the Kremlin “a diplomatic cover for Russia to continue to commit” war crimes.

The visit “suggests that China feels no responsibility to hold the president accountable for the atrocities committed in Ukraine,” Blinken said of Putin.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukrainian Defense Ministry's Main Intelligence Directorate has no evidence of China providing Russia with weapons, the directorate's spokesperson Andrii Yusov said on March 20.

According to Yusov, as cited by the Ukrinform news outlet, Russia has bought commercially available Chinese-made drones or civilian products with microcircuits suitable for military use. However, interstate aid has not been confirmed.



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Waje waone waliokuwa wanasema serikali za west wanaweza tu kuteka assets za Russia na Russians na kuzipiga mnada ili waisaidie ukraine. Ukitaifisha mali za warusi nao wanataifisha za kwako, ukiziuza za kwake nao wanaziuza za kwako. Mwisho wa siku wataitana meza za mazungumzo kureleease mali kila mmoja anazoshikilia.

Russia sio Equitorial Guinea wala Putin sio Kiza Besigye
 
From February 24, 2022 to March 21, 2023, the Armed Forces of Ukraine eliminated about 166,570 russian military personnel, including 960 soldiers over the past day.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu niamani huyo Putin ni suala la muda tu lazima afike the Hague,kizuri hati ikiandikwa imeandikwa lazima mhusika afike the Hague,ikiwa kwa hiari au kwa nguvu.Labda afe leo ndio atapona kufika the Hague.
Ni kichaa Tu anayeweza kufikiria kama wewe Kwa Sababu Russia sio sehemu ya hiyo mahakama.
 

Article nzuri sana. Kila kitu kipo hapo wamefunguka.
 
Tony blair yale machozi ya kinafiq tu nawatawapata wasiojua hila na ghilba za wale majibwa

Kile kilichofanyika IRAQ kilikua kimepangwa vyema sii US FRNACE UK nk

Wote walijua kua IRAQ hakuna WMD ila kwamaslahi yao wanayoyajua wao ilikua lazima IRAQ ipigwe na kweli wakaipiga

SYRIA baada yakuona ghilba na njama zao kua zimeshindwa sababu ya RUSSIA na IRAN wakaona wazushe kama IRAQ kua katumia silaha za sumu ila nako wakashindwa

Mbona IRAN kwenye silaha za Nyuk na Sumu kweli hawathubutu kwenda kupiga nakashafanya yote yakupigwa anafadhili HIZBULLAH na HAMAS ambao nitishio kwa Usrael kapiga kambi za US kapiga ndege kateka wanajeshi wake

Wamagharibi hata wakikwambia nn usiwaamini kama hujafuatilia mbwa wale waongo mnoooo
 

Ukweli ni kuwa Marekani anaumia ndani kwa ndani tulikua tunasema Germany anaumia na vikwazo hata US anaumia sana tu ni vile bado anajitutumua aonekane mwamba. Hapo hata kufuta vikwazo wanaona Aibu maana Dunia nzima itajua Urusi ndo kila kitu. Hii movie sio ya kukosa epsodes huku ukiwa na bakuli la popcorn.
 
Kwanza kujadili suala la PUT IN kukamatwa na ICC nikupoteza muda

Hakuna mahakama yakumhukumu PUT IN hapa DUNIANI
 
Kuna mda unaweza ukawa alone unapitia maandishi ya hapa na pale. Nasema maandishi nikiwa nalenga yale yaliyomo kwenye vichwa vya watu ambayo yanawisilishwa kupitia maandishi yao kwa hapa jukwaani. Mwisho unajiuliza what's wrong with us?

Unajiuliza mbona tunatizama hapa ila pale hatutizami. Mbona tunaangalia kule huku hatuangalii. Nini chimbuko la undumilakuwili ulio kita mizizi kwenye vichwa vyetu. Why tupo hivi na kwanini tunaendelea kua hivi?

Issue kama ya Iraq...


Zile lives of Millions waliouwawa hatima yao imekuaje?

Na kile MSM ilichokua ikitangaza ni Opposite na Public kile ilichokua ikihitaji kifanyike Iraq



Over 30M people across cities duniani kote waliingia barabarani kupinga uvamizi wa Iraqi? Nani aliyewasikiliza?






So against people's will, against UN approval Iraq ikavamiwa na kuteketezwa. Je is that what we call democracy? Is it true democracy ipo for the will of people? Mh?

Ok now its almost 20yrs, wahusika waliofanya yote hayo walichobaki nacho lawama kwa the so called "Intelligence Failure"... Really? Ani mataifa yote hayo UK and US on the lead kwa pa1 wawe na intelligence mbovu against a country like Iraqi?

Yet wanajifanya kinafiki ku apologies, ICC ilikua wapi, International communities wako wapi ama walikua wapi. 20 yrs hawakuyaona ama hawajaona hayo? Wahusika wote hao wameshakua held accountable? So why not wao iwe kwa wengine? Are they Gods? That wana haki to take lives wherever na mda wowote wakihitaji?



Sasa kwanini haya tunayafumbia macho?

Na hilo ni just tone la tukio katika matukio ambayo wamefanya na wanaendelea kufanya. Leo the same country, who keeps lying everywhere to impose fear of war, Instability kwa other nations to keep their power alive eti ndio wanakuja kuiomba dunia iungane nao kuendeleza machafuko kwa kugombanisha Majiran for their own interest. The same shit country leo hii eti ndio anasimama kuelekeza nini wengine wafanye?

The same country ambayo inatangaza kuheshimiwe kwa sovereignty of other nations ilhali ndio nambari moja wa kuingilia internal affairs za mataifa mengine.

Asee, Em UMASIKINI USITUKOSESHE UTIMAMU.
 
[emoji636]UK defence intelligence has suggested that Russian convicts who fought for the Wagner group and survived will receive a promised pardon and freedom in the coming weeks, but their return could be a big problem for Russian society.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…