Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kupata wimbo huu bonyeza 2 [emoji23][emoji23][emoji23]


Huu ni mwezi wa 3 umefika toka waliposema wanasafirisha Leopard na Abram tank.sijui vimekwama wapi maana uwanja wa vita hatuvisikii
 
[emoji635][emoji630]Russia and China are ready to create a joint working body to develop the Northern Sea Route. - Putin
Hii "Northern Sea Route" ni completely game changer kwenye mambo ya usafirishaji majini.

Chinese goods zitakuwa very very cheap kupitia hii route.

Pia kwenye hii Northern hemisphere ndio kuna gas na oil nyingi ajabu. Na sehemu kubwa ya northern hemisphere ipo kwenye Russia territory...

Lazima US azidi kuona wivu pale China na Russia wanavyoshikamana...
 
Habari ya leopard ndio mwisho hamtasikia Tena.
 
Huo mzigo ulifyeka ma sniper wote waliokuwa wamejificha ghorofani🤣🤣🤣
 
Aisee Urusi noma,mmm.....!!!! Warusi wanatisha jamani,yaani mpaka damu inasisimka.
 
Extremely unhappy NATO bastards🤣
 
Mkuu naomba kuchangia kidogo hapa.

Hivi ni kwa nini tulipe kwa USD kwa malighafi ya mbolea tunayonunua toka Russia.

Au kwa nini tulipe USD kwa bidhaa tunazoagiza toka China?

Unakumbuka ile mechanism ambayo Russia ali introduce kwa EU wanaponunua Gas/oil ya Russia? Kwamba kutakuwa na settlements accounts mbili.

EU wakitaka gas/oil watakuja na Euro zao, wataziweka kwenye bank ya Russia then bank ya Russia ina convert zile Euro kwenye Ruble account then ikisoma ndio, bidhaa mnapata. Je, Unakumbuka?

Sasa ile ndio perfect example ya kutumia local currencies kwenye kufanya malipo.

Multipolar inataka biashara za namna hii utumie local currencies zao, kwa China tunapaswa kutumia Yuan na kwa Russia tunapaswa kutumia Ruble.

Na hivyo hivyo wao wachina wakija kuchukua mabondo ya samaki hivi mnakubalia walipe kwa TZS kwa hiyo wao watakuja na Yuan zao na kuziacha hapa (kuzibadili kuwa TZS).
 
Hata hivyo ametupatia heshina wanaume wote ikiwemo kipanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…