Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huu ndio ukweli🤣
 
Nakazia!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na ulaya NATO ina nguvu haswaa...ni supa pawa wa uhakika, US ni taifa lenye nguvu isiyopimika, UK ni kiranja wa Ulaya mwenye nguvu bila kumsahau Spain Canada France na German, mataifa supa pawa kabisa haya, watauwasha moto kila mtu ataomba uraia wa hizo nchi, bila kumsahau supa pawa mwenyewe uwanjanii Ukrain, anawanyoosha Russia kweli kwelii karibu wanaingia Moscow sasa..warusi wanatetemeka kwelikwel rais wao anavyopelekwa The Hague keshokesho tuu hapo
 
Hawa jirani Mexico wamzingue USA na kwa hii logistics hata dunia nzima iwe nyuma ya Mecico ingeisha angukia mikononi mwa USA,sababu is too close kufanya ipigwe!

Tatizo la Urusi kutoichukua hadi leo Ukraine ni nn?
Russia has been real exposed
Anataka uchumi hewa uanguke kwanza, ule uchumi unaoishi kwenye migongo ya wengine ukishadondoka mirija ikishakatika kabisa anarudi kwa mdogo wake ukrain anamwambia mdogo wangu tuishi kwa amani achana na ujinga wa lgtb..tuishi kwa amani..
 
Mpakwa mafuta.
 
Sergei Shoigu – about the supply of depleted uranium ammunition by Great Britain to Ukraine:

"Well, this moves us to serious thoughts about the further course of events and what we can answer."
Ni aina gani ya silaha naona inazungumziwa sana na pande zote

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hapana.ukraine hakuwa best kijeshi kuliko member yeyote wa NATO(unamaanisha US,UK,france nk nuclear armed stete)
hapana mkuu jaribu kuchunguza tena.tena now nchi hizo ndio zinampa vifaa advanced vya kivita.
Wewe ndio uchunguze

Baada ya euro maidan kama sijakosea mwaka 2014 mpaka mwaka jana kabla ya SVO huyo UKRAINE alikua anapata wapi silaha

Nazimeenda wapi kwasasa nahata hizo mpya anazopewa sasa baada ya SVO kuanza zimeenda wapi mpaka anataka nyengine

Ama silaha za west nidhaifu kiasi kwamba hazijaweza kuyatoa majeshi ya PMC tokea mwaka jana mpaka leo MAURIOPOL down BAKHMUT down soon SOLEDAR down nk nk
 
Wanarud mmojammoja...
Na Bado - wanao jifanya magangwe watakuja wenyewe kumpigia magoti Mkombozi wa Dunia dhidi ya mabeberu yaliyo kuwa yame kubuhu karibu kwenye nyanja zote za ndio sivyo -
Mabeberu yalijisahau sana sana na kufikiri wana hati miliki ya Dunia nzima - sasa kibao kimeanza kuwagehukia - mabeki huko US yana firisika na kufungwa moja baada ya nyingine - hali ya Uchumi na ajila huko Ulaya inatia wasiwasi kweli kweli, maandamano kila kona lakini MSM hawasemi chochote wako kimya kabisa as if hakuna tatizo.

kama nakumbuka vizuri Jemedari Putin aliwahi kuyaonya mataifa ya magharibi kwamba hayata weza kijifanya as if Urusi does not exist hapa Dunia, wakajifanya kuiignore watahumbuka wenyewe na kweli maoni yake ndio tumeanza kuyaona hivi sasa - bottom line is: Russia shall always be part and parcel ya Dunia hii, like it or not.
 
Sidhani kama ni kichekesho.sina muda wa kuchekesha watu.maybe ni habari usiyoipenda.ingia mtandaoni katafute.
Siko humu kubishana na vijana wa 20+.(niko specific,counterattack on last remaining route)
 
Sidhani kama ni kichekesho.sina muda wa kuchekesha watu.maybe ni habari usiyoipenda.ingia mtandaoni katafute.
Siko humu kubishana na vijana wa 20+.(niko specific,counterattack on last remaining route)
 
Kuna mda unaweza ukawa alone unapitia maandishi ya hapa na pale. Nasema maandishi nikiwa nalenga yale yaliyomo kwenye vichwa vya watu ambayo yanawisilishwa kupitia maandishi yao kwa hapa jukwaani. Mwisho unajiuliza what's wrong with us?
Hizi mambo hazitokei bahati mbaya mdogo wangu.
Your browser is not able to display this video.

Hiyo ndio Africa yetu, so hawa vijana usiwashangae saaaaaana.

Video Credit kwa howardlite
 
Namshkuru Mungu nimefanikiwa kuuona mwanzo wa hii story itayovuma baadae.
"US, FALL OF AN EMPIRE"
Ni mtu mjinga pekee ambaye hawezi kuona hili.
Namuomba Mungu anifikishe niuone mwisho kabisa wa hii Story, US kuwa kama mexico tu au Bolivia.
Ameen atujaalia uhai kuona anguko lawaunga mkono ufiraauni
 
Hakika EU na USA waliingia kwenye mfumo

Robo tatu ya world population, inapatikana nchi za BRICS Sasa hawa wakisusia dollar plus na kuwashawishi wengine it means, pound, euro, its means itakuwa kipengele

Pia naona Kuna awareness, movements za chini chini za nchi kuanza kutumia local currency zao kwny international trade ......nadhani hiki kitu ndicho Putin alikuwa anataka

NB: dollar imperialism is shrinking
 
Mkuu mwanzo hazikuwa mzito kama stinger na javelin.
impact yake imeonekana kwenye counteroffensive(wamerudisha kupiansk,izyum,lyman,kherson city)
mkuu huwa nakupa heshima maana napenda mtu anayejibu hoja like you but mkuu hivi hujui kuwa siraha zinatumika na kuisha(kuharibika,kutekwa na hata kulipuliwa),si ukraine hata russia anapoteza siraha(utoeauti ni kuwa russia anaproduce mwenxewe )
 
Odesa expects more than 19 million tourists at EXPO 2030. They will bring the town and the country more than 15 billion dollars.

In addition, EXPO will have a positive impact on foreign investment in Ukraine, as well as the growth of the gross domestic product.

#expo2030odesa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…