Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tofauti na nchi za dunia ya 3, ni kiongozi gani mwingine wa nchi zilizoendelea amefikishwa mahakama hiyo? Jiongeze bro
 
Kweli?? Uko "Overated" kivipi? Yaani huu uchumi ni mdogo kuliko ule wa wakati wa "Great Depression"?
Amemaanisha uko kwenye $ papers...hawana urari wa uhalisia..wamejikopesha urari wa nchi zingine kinguvu kwa kutumia paper printing...akija kwako anafanya mkataba naww umpe eneo afanye biashara..mkipatana bei yeye anaenda anaziprint anaziingiza kwenye uchumi wako...kwanini anajiamin kufanya hivi hakutaathiri stability ya dola?.anajua hakutaharibu kwakua anakua na data kamil ya kiasi cha fedha ndani ya nchi yako na thamani ya rasilimali zako...anaona huyu nikimwingizia kias hiki haina shida... Utajua hujui...unavyofanya transaction ya dola unakabidh na kitambulisho..wanaspot hiki kimetoka hapa kwa .'bank' amekichukua 'juma' kimeenda hapa kulipia kitu amount ileile, ile amount ukichanganya na amount zngine zimetumwa nchi fulan.. huyu na huyu uhusiano upoje..kile kiasi kimeenda nchi gani au kimerudi kwao wanakitoa tena haraka kukisambaza eneo jengine amabalo dola inahitajika..ili dola iwe stable..
 
Ndio maana tunataka huo mrija wa ukandamizaji ukatike...
Your browser is not able to display this video.
 
Hii hoja ni sahihi sana kwa asilimia mia moja.

Lakini hii njia ya kutumia Dollar isiyothaminishwa kwa dhahabu ina asili yake na pia ni uhalisia. Hakuna anayebisha kwamba Dollar iliyoko mtaani haifanani na uthamani wa uchumi HALISI wa Marekani. Lakini ni nchi ngapi zimeegemeza (Pegged against) fedha zao kwenye dollar?

Afrika inanyonywa na wanasiasa wa Afrika na walanguzi wa rasirimali zetu waliozaliwa Afrika na kukulia Afrika.
 
Ndio maana tunataka huo mrija wa ukandamizaji ukatike...
Fikra za "Mirija" ni fikra za kikomunist na kwenye zama hizi hata hao ambao bado wanajiita wakomunist kama vile China, sehemu kubwa ya chumi zao wanaziendesha kibepari. Uchina inainyonya Afrika kama ambavyo nchi za Ulaya na Marekani zinavyoinyonya Afrika!!
 
Kama ni propaganda tusubiri nao urusi wazitumie, maana akishasema hivo ukakataa kuitoa nayeye anaileta...means wewe utapanic utaongeza nyingine na nyingine..escallation ndivyo ilivyo..sasa anasema mnambeza akiitumia nayeye kelele utaziskia..
 
Itapiganwa kivipi ndani ya USA? Do you think USA ataruhusu hilo? Do you think USA ni mjinga kiasi hicho cha kuingia kichwakichwa bila kuusoma mchezo? Maana naamini na yeye anajua kuwa anawindwa.
Siungi mkono USA Lkn natamani kujua kwa facts kuhusu Uwezekano WA USA kuchapika kwa kuchangiwa na hayo mataifa rafiki (China, Russia, North Korea na Iran) tena vita ipiganwe ndani ya USA.. !
 
Elimu ya darasani inafaa kuanzia kujifunza maisha ya uhalisia, kama umewahi kuagiza vitu kupitia alibaba, allexpres ebay unahisi kwenye hizo nchi huyo anaekutumia mzigo anakua amenunu kwa dola? Sasa kile alichonunulia nacho ndio tunataka kiwe 'exchange medium' inapunguza unyonyaji na upigaji..simu ya dola 120 hapa unauziwa 520,000 kwanini? Wakat teansport fee ni chini ya dola 30?
 
Kwani kitu kilichonunuliwa kwa dollar hakiwezi kuuzwa hapa nchi kwa shilingi ya kitanzania? Kuna nchi hazitumii dollar kwenye kuuza ama kununua biashara zao lakini fedha ya nchi husika imeegemezwa kwenye dollar.
 
Kwani kitu kilichonunuliwa kwa dollar hakiwezi kuuzwa hapa nchi kwa shilingi ya kitanzania? Kuna nchi hazitumii dollar kwenye kuuza ama kununua biashara zao lakini fedha ya nchi husika imeegemezwa kwenye dollar.
Wewe mdogo wangu. Nataka kukufundisha kwa kukuuliza maswali.
Do you know Foreign Exchange Rates?
Do you know main types Foreign Exchange Rates?
 
Super pawer anazidi kuishiwa pumzi [emoji28][emoji23][emoji1787]


The Russian military are losing significant forces in the city of Bakhmut, Donetsk Region. They are running out of breath, Oleksandr Syrskyi, Commander of the Ukrainian Ground Forces, said.

“Very soon, we will take advantage of this opportunity, as we did in the past near Kyiv, Kharkiv, Balakliia and Kupiansk,” Syrskyi said.

[emoji328]: Telegram / Syrskyi

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56]



[emoji298]russia has already lost about 168,150 troops in Ukraine (+660 over the past day).[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298] U.S. Secretary of State Antony Blinken called Russia's autocracy and full-scale aggression against Ukraine a direct and acute threat to the national interests of the United States.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kipigo kinaendelea [emoji91][emoji91][emoji91][emoji123][emoji123][emoji123][emoji1255][emoji1255]



[emoji298][emoji298]In the past 24 hours, Ukraine’s Air Force has launched one strike on a russian air defense missile system, as well as 12 strikes on enemy personnel and military equipment clusters.[emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mwamba anazidi kuchanja mbuga tu[emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]



[emoji298][emoji298]President Volodymyr Zelensky paid a working visit to Kharkiv region, where he held a coordination meeting on the current security situation in the region, [emoji298][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…