Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Fatilia Uchina na hatua anazochukua kwa Sasa?

Utakuja kugundua unsyojadili Sasa, wenzako wameyafanyia kazi karibu miaka 5 nyuma.

Halafu kumbuka uchumi wa China ni uzalishaji wakati wa Marekani ni Service.
 
Yaani ukrain akiacha kushambulia miundombinu ya Russia na hashambuliwi..subiria jibu la shambulizi huko cremea...
 
Fatilia Uchina na hatua anazochukua kwa Sasa?

Utakuja kugundua unsyojadili Sasa, wenzako wameyafanyia kazi karibu miaka 5 nyuma.

Halafu kumbuka uchumi wa China ni uzalishaji wakati wa Marekani ni Service.
Ni kweli Uchina inaanza kujiweka sawa kuzuia uchumi wake kuathiriwa kama uchumi wa Marekani utayumba. Uchumi wa Marekani kuwa wa huduma na siyo uzalishaji kwa kuwa washavuka kwenye uchumi wa uzalishaji. China bado iko kwenye uchumi wa uzalishaji kwa kuwa bado hawajafikia kwenye uchumi wa huduma kutokana na wingi wa watu wake ukigawanya pato ghafi la Taifa utaona kuwa bado wanatakiwa kuzalisha sana ili wafikie kiwango cha uchumi wa huduma.

Siyo Kwamba Marekani haizalishi bali idadi ya wazalishaji inakuwa ndoto kutokana na maendeleo ya Teknolojia kwa ivo kuzalisha siyo jambo kuu bali huduma. Wamarekani wapo kama milioni 350 wakati China ni watu karibia bilioni 1,412. kwa ivo Marekani inaingia kama mara tatu kwa Uchina.

Kuna wakati Marekani ililalamika kuwa Uchina inashusha thamani ya fedha yake. Hii ni ishara kwamba hizi nchi mbili zinafuatiliana sana kiuchumi.
 
Nchi ambazo hazina rasilimali kama za ulaya lazima zijikombe kwa USA hivyo wanaogopa wakipigwa sanctions na USA watakuwa hawana pa kutokea tofauti na Nchi kama Russia ukiwekea vikwazo ni sawa na wewe mwenyewe kukalia msumali.
 
Nchi ambazo hazina rasilimali kama za ulaya lazima zijikombe kwa USA hivyo wanaogopa wakipigwa sanctions na USA watakuwa hawana pa kutokea tofauti na Nchi kama Russia ukiwekea vikwazo ni sawa na wewe mwenyewe kukalia msumali.
Siku Ulaya ikipata mbadala wa Gesi ya Russia... Sema mnunuzi na muuzaji siku zote huwa wanategemeana. Huo ni mfumo wa biashara usiohepukika duniani kote.
 
Vipi kuhusu humu JF, je nao watimuliwe au waondoke ???!!! Nauliza tu...
Watajiondokea au wataacha hiyo tabia..maana ni damage in mind, hivyo tukiwatimua wataenda kujiunga na waliotimuliwa uganda wanakua pipa na mfuniko..waache wajielemishe hapahapa huenda wakaacha..ile ni kama cocain inahitaji rehab, na rehab ni hapahapa jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mashoga ya Nato sijui akili na kutolewa marinda vina uhusiano gani yani bila shaka marinda yakitoka na akili zinasepa
 
Urusi anapigana vita hii kwa kutumia misuli (Askari na Mamluki wa Wagner) wakati zama zimebadilika kwa vita kuendeshwa kielektroniki zaidi. Ina maana hata teknolojia ya "Drone" Urusi iko nyuma sana na ndiyo maana wananunua hizo Drone toka Iran.
Ahangaike kuunda drone zanini hivyo vipepeo...wakati anavinunua kama unavyonunua karanga na bublegum unajua kwanini anapiga sana miundombinu ya umeme? Anajua lazima wataharakisha kuunganisha umeme kwenye mashimo wanamojificha...akapga tena wakaunganisha mashimoni fasta...akajua hapa kuna mali...akamtuma mtoto mhuni Kinzhal akazama ndichi...kilio chake ni kama mbwa koko aliepigwa jiwe...
 
Apeleke..hajanyimwa..ila ameonywa tuu...kama atasikia sawa..kama ataziba masikio yatazibuliwa akizifikisha.
 

Tanks ngapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…