kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hizo nchi zoote Marekani Alienda KUTETEA UHAI Ambao madkiteta sugu walikuwa wanauchezea!Hakuna asiyetaka Marekani kuwa na nguvu. Ndiyo maana Urusi aliondoa silaha za Nuclear huko Cuba.
Marekani lipewa nafasi ya kusaidia dunia katika Currency kwamba dunia itumie $ kama currency ya kuuziana kwenye international business.
Lakini cha kushangaza USA na washirika wake wameifanya dollar kuwa silaha. Sasa unataka huyu aendelee kujitanua na kunyanyasa watu?
1. Vietnam aliua watu wengi
2. Yugoslavia
3. Iraq
4. Afghanistan
5. Libya
6. Syria
7. Somalia
Sasa mwenzetu unataka USA asiweze kufugika?
Sure nakumbuka enzi zake Mikheil Saakashvili alijichanganya ndani ya siku 3 Georgia ilikuwa imekalishwa. Nakumbuka kama siku ya 5 waziri mkuu Vladimir Putin alionekana juu ya APC moja ndani ya Georgia ameenda kutembelea vikosi vya UrusiHuyu Dogo angekuwa Rais wa Russia mpaka Sasa hii vita ingeshaisha na kungekuwa hakuna nchi inayoitwa Ukraine
View attachment 2563733
🇷🇺🇺🇦🇺🇸🇪🇺Medvedev: "If it is necessary to go to Kiev, then we will go to Kiev,if it is necessary to go to Lviv, then we'll have to go to Lviv,in order to exterminate this contagion."
Anaenda kutetea uhai Kwa kuondoa maelfu ya uhai aisee nyie watu wa NATO sijui mnatumia kiungo gani kufikiri.Hizo nchi zoote Marekani Alienda KUTETEA UHAI Ambao madkiteta sugu walikuwa wanauchezea!
Kwa hiyo ka drone nako ni ka actor lazima kalijua kapo kwenye movie za kina ramboNgoja tu consult google kibusu Bei kama hawaja edit
Ila wanakaamini sana hako ka drone maama kwenye movie nyingi kapo
Baada ya marekani kwenda kutetea uhai ktk hizo nchi zinaendeleaje?? Maisha yao yameboleka au yamekuwa mabaya zaidi??Hizo nchi zoote Marekani Alienda KUTETEA UHAI Ambao madkiteta sugu walikuwa wanauchezea!
Aise we kweli utakua shoga yaani unadiriki kuutetea na kuulinganisha na dhambi zingineww kichwani humo kuna maharage![emoji56]
Hivi mbuzi wanao firana vingungutj wamefundishwa na west???
Usituletee mahaba humu![emoji35][emoji12]
Usifanye dhambi ya ushoga ni kubwa kuliko dhambi nyimgine!
Allah dhambi pekee Asiyo Samehe hii hapa!
[emoji116][emoji116]
إِنَّ اللَّهَ لَا يَغْفِرُ أَن يُشْرَكَ بِهِ وَيَغْفِرُ مَا دُونَ ذَٰلِكَ لِمَن يَشَاءُ ۚ وَمَن يُشْرِكْ بِاللَّهِ فَقَدْ ضَلَّ ضَلَالًا بَعِيدًا
[ AN-NISAAI - 116 ]
Hakika Mwenyezi Mungu hasamehi kushirikishwa na kitu. Lakini Yeye husamehe yasiyo kuwa hayo kwa amtakaye. Na anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu basi huyo amepotea upotovu wa mbali.
Aisee,huyo Macron Si achane na Huo mpango wa kuongeza Umri wa kustaafu kutoka 62 to 64 years!
Hii waione Pro USA /NATO wote wa humu JF.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji106]
Ukraine’s Deadly Mistakes Condemning Country To Death — Ex-Pentagon Advisor
Former Pentagon adviser Colonel Douglas McGregor stated that the Ukrainian Armed Forces are facing a critical situation and won’t be able to hold out much longer because Kiev is making too many mistakes.
"Everyone continues to adhere to the version that Kiev is doing everything right and will eventually win… It's all nonsense," he said.
President Joe Biden should now be thinking about how to get out of the Ukrainian crisis, McGregor stressed, adding that he is “well aware” the conflict is not developing in the best way for the West but does not want to tell the truth.
McGregor claimed that the only way for the US to end the conflict was to offer Russia the chance to start negotiations without preconditions.
Subscribe to RT
Mkuu hata nchini Tanzania ni jinai kumwua mtu yeyote, kama ni shoga au si shoga . . .Nakubaliana na wewe lakini Republican wanaona si sawa mtu kuwa shoga ila shoga akiuawa na wao hulaani mauaji ya huyo shoga. Ila kama haki fulani fulani zinatamkwa kisheria basi hakuna budi kutekelezwa hata kama aliyeko madarakani ni Republican.
Tatizo ni kwamba serikali inakuwa haina hela ya kuwalipa hao wastaafu.Aisee,huyo Macron Si achane na Huo mpango wa kuongeza Umri wa kustaafu kutoka 62 to 64 years!
Ingekuwa rahisi wangeshabadilisha 😆😆😆😆😆, ukweli uchumi umeyumba,Aisee,huyo Macron Si achane na Huo mpango wa kuongeza Umri wa kustaafu kutoka 62 to 64 years!
Hata ukiongeza hiyo miaka miwili,unatoa guarantee gani kuwa baada ya miaka kadhaa hutarudi kutaka kuongeza Tena?Tatizo ni kwamba serikali inakuwa haina hela ya kuwalipa hao wastaafu.
Pia tambua kwamba, kwa wenzetu life expectance ipo juu sana. Unaweza kuta ni hadi 80+.
Sasa hapo kuna miaka kama 18+ ya serikali ya kumlipa huyo mtu.
Kwa hiyo wanapiga actuarial calculations na kuona wakianza kustaafu na 64, serikali itapunguza mzigo.