Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wagner kama mazombi. Ni wanakuja kama hawaji vile.
 
Toka kile kipondo kilichowachomoa roho majenerali wa NATO pale Kiev kwenye mapango naona kama Zelenks akili imekaa sawa hawaamini tena washirika wake wa Western na USA anajuq fika Urusi ikitaka kumuua ni mara moja tu...
Baada ya kile kipigo tu
Akaanza Kuhaha kupata Hotline ya Xi Akaambulia Patupu
 
Toka kile kipondo kilichowachomoa roho majenerali na NATO pale Kiev kwenye mapango naona kama Zelenks akili imekaa sawa hawaamini tena washirika wake wa Western na USA anajuq fika Urusi ikitaka kumuua ni mara moja tu...
Warusi wana uwezo mkubwa kijeshi kushambulia popote Duniani ndani ya muda mfupi na kisababisha madhara makubwa sana huku silaha zao zikikwepa air defense systems za maadui zake - hata Merikani/NATO wamekwisha kiri kwamba hawana uwezo wa kujikinga dhidi ya baadhi ya silaha za Urusi - kama Warusi waki-decide kizivurumisha missiles zao 2wards USA au UK ndio basi tena hakuna cha msalie Mtume.
 
Mkishaanza mabishano adui hamtomuweza.
 
Je wajua ni Nchigani iliyo na Amani full yaani haina mambo ya makelele basi ni Mongolia
Kwanini ?
Sababu kubwa ni kuwa Imejitenga na US
yaani hii nchi imezungukwa na Mataifa makuu 2
Urusi&China
Hii nchi haihitaji ***** ***** za Mpuuzi Muanzisha Migogoro Marekani
Angalia Ramani hii
 
Kwa hata hivyo vya kale NATO hawana?
Inakuaje wanategeana kutuma, Si nawao wasafishe stoo tu[emoji16]
Ukraine itapata pia vifaru vya zamani vya NATO, mfano Leopard 1. Ilianza kutoka kiwandani miaka 60 iliyopita, kwa hiyi ni kijana kuliko T54 / T55 na uwezo wake ni mkubwa. Jambo kuu ni elektroniki ya kisasa kama darubini ya mzinga wake pamoja na uwezo wa kutumia grenedi za kisasa. T54/55 hazina uwezo huu wala darubini hizo. Leopard 1 itakuwa dhaifu kujitetea dhidi ya T90 lakini inaweza kuishambulia na kushinda.
 
Hahaha wameanza Kuhaha Kauli ya Mwamba Moja tu panya Wanatoka Mashimoni
Yaani Marekani Kaweka Silaha za Nyuklia Hawaoni Nihatari ila Kwa Urusi Makalio Yanajamba!


⚡️European Union foreign policy official: Belarus hosting Russian nuclear weapons is a threat to European security
 
Mkuu habari zako ziko mbali na uhalisia. Soma hapa blogu ya Kirusi Почему ВС РФ гонят на войну старые танки inaeleza kwamba kutokana na uhaba wa vipuli vya vifaa vya kisasa, vifaru hivi vya kale vinakusudiwa kama msaada kwa muda. Usiposoma Kirusi, hapa taarifa ya Kiingereza inayoeleza maudhui yake.

70-Year-Old T-55 Tanks Are ‘Expendable’ In Ukraine. ​

Hizo T 72 ziko kwenye maehesho, hii ni kweli, lakini hali ni mbaya, zinahitaji matengenezo na vipuli haviko (bado). Wachhina wameuza vichache kwa bei za juu...
 
Unatishika na mikwala ya Biden. Ameshamapa Kiduku mikwala kama hiyo mara ngapi ya kumzuia kutokujaribisha makombola yake??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…