Hapana, bila shaka Putin anapata taarifa nyingi. Hivyo anajua matatizo ila -sawa na Zele- hajidili matatizo ya jeshi lake. Kuamnini propaganda yake si tofauti na kuamini propaganda ya Zelenski.Unaijua zaidi Urusi kuliko Putin!?
Zina Nini?Gaddafi angekuwa na nukes nini kingemzuia kufyatua? Hizi nuclear zisikie tu kwa jirani yako.Ndio maana tunamuona Putin ni mwehu kutishia kufyatua nuclear.
Sijasikia alimpa onyo kuhusu makombora hayo yanayoharibu nyumba za watu. Je umesikia wewe?Unatishika na mikwala ya Biden. Ameshamapa Kiduku mikwala kama hiyo mara ngapi ya kumzuia kutokujaribisha makombola yake??
Mm tayari nimetia mtu mimba huku nasubiri Putin azaliwe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inaonekana wewe ndio una haraka!Wagner wao wanapiga kazi na mziki pembeni!
Kazi iendelee!
.Toka kile kipondo kilichowachomoa roho majenerali wa NATO pale Kiev kwenye mapango naona kama Zelenks akili imekaa sawa hawaamini tena washirika wake wa Western na USA anajuq fika Urusi ikitaka kumuua ni mara moja tu...
Endelea tu kujitia uchizi wa kutumia sikio mojaSijasikia alimpa onyo kuhusu makombora hayo yanayoharibu nyumba za watu. Je umesikia wewe?
Kuhusu kutojaribu silaha ndogo za linyuklia, nimesoma mara mbili. Sijui kama hii ilikuwa yote.
Lakini hadi sasa inaonekana maonyo hayo yalifanya kazi vema.
Endelea tu kujitia uchizi wa kutumia sikio mojaSijasikia alimpa onyo kuhusu makombora hayo yanayoharibu nyumba za watu. Je umesikia wewe?
Kuhusu kutojaribu silaha ndogo za linyuklia, nimesoma mara mbili. Sijui kama hii ilikuwa yote.
Lakini hadi sasa inaonekana maonyo hayo yalifanya kazi vema.
Jicho langu moja linaonyesha pia kwamba Putin ameitikia onyo la mzee Biden kuhusu silaha za nyuklia ....Endelea tu kujitia uchizi wa kutumia sikio moja
Bwana mdogo punguza uongo turudishie chenji asee.Nakubaliana na wewe urusi kawekeza kwenye technologia ya hali ya juu ya kukuona ukiwa mbali na kukupiga akiwa kwake ndo maana bana mda na madrone pamoja na ma navy carrier.
Technolojia za design hiyo sio za kawaida chukulia mfano hypersonic missile ambazo hata nyuklia physics inashindwa kuzi prove.
Mfano mwingine nikuangushwa kwa ile drone ya marekani, kumbe marekani walijua haiwezi onekana Kwenye rada, na ing hit target and run bila kugundulika kwenye rada za mrusi.
Tageti ilikua meli za mrusi zilizoblack sea zinazoongoza mashambulizi ya anga.Lakini kabla drone haijafanya chochote ikanaswa kwenye rada na ikafanywa ilichofanywa.
Bila shaka! Maana hawana vitu vipya kwa sasa, hivyo wanaleta vifaru hivyo kutoka makumbusho.Hapo wanasafisha ghala
Mkuu kwanza jeshi la Urusi halikuteka mji wowote tangu miezi; pili vifaa vya kisasa upande wa ukraine havikupelekwa uwanjani maana askari bado wamehitaji mafunzo, vifaa vingine bado kufika. Tutaona Ukraine watafaulu kiasi gani kuvitumia maana ni changamoto kubwa kutumia vifaa tofauti kutoka nchi mbalimbali. Vingine vintofautiana hata katika grenedi wanavyotumia, vipuli ni tofauti na kadhalika . . .Inakuwaje wenye vifaru vya kale wameteka miji,wenye vifaru vya kisasa hawakomboi hata Kijiji?
Uko sahihi aisee ...Ukraine hawateketeiMambo ni Mazuri Bakhmut - Mapigano ni Makali ila tupo gado.
Ukrainian forces are “managing to stabilise” the situation around the eastern city of Bakhmut, the head of Ukraine’s military says.
Putin yupo SA anakula bata huku Bukhamut warusi wenzake wanateketea.