1. Unaweza kunihakikishia ni kwa vipi taarifa ya hiyo blogu ya urusi sio propaganda bali kauli ya raisi wa urusi ni propaganda? Umetumia kigezo gani kusema hii sio na hii ndio?Hapana, bila shaka Putin anapata taarifa nyingi. Hivyo anajua matatizo ila -sawa na Zele- hajidili matatizo ya jeshi lake. Kuamnini propaganda yake si tofauti na kuamini propaganda ya Zelenski.
Kuhusu kuchukua vifaru vya zamani ya miaka 70 iliyopita, ona hapa blogu ya Kirusi:
Почему ВС РФ гонят на войну старые танки inayoeleza kwamba kutokana na uhaba wa vipuli vya vifaa vya kisasa, vifaru hivi vya kale vinakusudiwa kama msaada kwa muda. Usiposoma Kirusi, hapa taarifa ya Kiingereza inayoeleza maudhui yake.
70-Year-Old T-55 Tanks Are ‘Expendable’ In Ukraine.
A sworn disinformation campaigner...Only supporters of LGBTQ would believe this nonsenseMkuu ni kweli baada ya vita kuu ya pili Urusi iliwekeza sana katika jeshi. Ila haikuwa na uchumi wa kugharamia uwekezaji huu. Hapo sababu Urusi ilifilisika kabisa mwaka 1989, ikaporomoka baada ya kushindwa Afghanistan.
Leo hii uchumi wake chini ya kanchi kama Uholanzi. Ila bado silaha za nyuklia hata zimeshashika kutu kiasi.
Marekani kutafuta washiriki si dalili ya udhaifu bali ya busara na nguvu. Maana hata Urusi zamani ilitafuta sana washiriki iliwapata kwenye Warsaw Pact (ingawa kwa kulazimishwa). Leo hii haina washiriki wa aina hiyo tena.
Ushirikiano na China ni ya muda tu.
Subiri hadi China itadai hadharani kurudishwa maeneo yaliyotwaliwa na ukoloni wa Urusi kwenye karne zilizopita.
Mkuu nani anaweza kuhahikisha taarifa hapa? Naona mantiki ndani yake iko. Nilishangaa kidogo maana mwanzoni niliona tu maoni eti vifaru hivyo vya zamani vinakusudiwa tu kama mizinga ya nyongeza... Blogu inasema hapana wanataka kuvitumia kwa mapigano. Si rahisi kuwaza maana modeli hizi ni rahisi kuharibu kwa silaha za mbgani . . hata aina sahili sana.1. Unaweza kunihakikishia ni kwa vipi taarifa ya hiyo blogu ya urusi sio propaganda bali kauli ya raisi wa urusi ni propaganda? Umetumia kigezo gani kusema hii sio na hii ndio?
Siwezi kuamini habari ya blogu inayoelezea taarifa za silaha za nchi ambazo kimsingi ni classified. Wanapiga ramli tu.
Mkuu asante kwa kutumia mbinu unaoeleweka. Pasipo na hoja, inatosha kuandika "SHOGA !" au "LGBT !!".A sworn disinformation campaigner...Only supporters of LGBTQ would believe this nonsense
Putin is brilliant upstairs anajua vizuri alisemalo - he knows what is doing na atafanya operation ya SMO kwa wakati wake na sio nyinyi mnavyo taka.
Kuhusu hali ya akili ya Putin sijadili. Nahisi si mjinga, ila amejenga mfumo ambako alipokea na kukubali habari zisizo sahihi kuhusu Ukraine, alifanya kosa la kuamuru mashambulio kwa jeshi alilolukwa nalo na sasa hajui jinsi ya kumaliza...Russia vile vile wana uwezo wa ku-intercept na ku-destroy most American land based and sea/submarine launched ICBM kwa kutumia S-550 na MiG-31.
Kipindi kimoja cha baridi Novemba hadi Machi, na kipindi cha joto Mei - Septemba.View attachment 2566253The head of 🇩🇪’s Federal Network Agency Klaus Mueller talked about the risk of potential gas shortages, warning that Germany’s power crisis “isn’t over” and much depends on whether next winter is colder than the last. (FT)
Hivi ulaya ina vipindi vingapi vya baridi na joto Kwa mwaka??
Iwe mwaka na ushee iwe mwaka na upadriMwaka na ushee sasa.
Mkuu upo sahihi, US kwa mfano ana Military zaidi ya 200 duniani, achana na hizo Submarine. Hii military base ya Poland ndiyo imeongezewa uwezo zaidi sababu ya uvamizi wa Ukraine - hapa tunapoongea ina wajeda zaidi ya 10,000.Hata kama ingekuwa kweli kwamba Urusi ina uwezo wa kuzuia " most American land based and sea/submarine launched ICBM" (unavyoandika), zile zitakazofika zinatoha kumaliza Urusi kabisa, hakuna kitakachobaki.
Hii ni maana ya "nuclear overkill" na "mutual assured destruction". Inaonekana habari hizo hujaelewa bado, kwa hiyo nenda ukajifunze kidogo.
Tuwe wakweli Je malengo gani kayafikia Mrusi so far?Iwe mwaka na ushee iwe mwaka na upadri
Kikubwa SMO inakwenda vizuri tu na malengo lazima yafikiwe!!
Tusiende mbali.mfano wewe sasa ndo kiongozi wa nchi.unaweza kutoa amri kwa askari wako wamkamate Rais wa Urusi?.Iko hivi!!
Afrika Kusini ni mwanachama wa ICC.Sheria inamtaka kuwakamata watuhumiwa wote wa ICC wenye arrest warrant.
Mwaka 2015 Omar Al-Bashir alitua Afrika Kusini na serikali ikagoma kumkamata. Watu wakaenda mahakamani kupinga na mahakama ya afrika kusini ikaamuru akamatwe ili bahati tu Al-Bashir aka wa ametoroka.
Putin amekuwa akitetea hii sana hii vita. Ni kwa nini sasa anaogopa kwenda kujitetea mahakamani kama Ruto na Kenyattta walivyojitetea pale ICC?Tutamkamata tu.
Al_Bashir ingawa bado hajafika ICC ( Fugitive) ila anaozea jela kwa maana sheria imeshachukua mkondo wake
Dude kubwa anayechukua vifaru kutoka makumbusho (T54 - T55) ??Russia ni dude kubwa.
Katika nchi yenye mfumo thabiti kiongozi wa nchi haamuru polisi. Kazi ya kumkamata mtu au kutomkamata ni wajibu wa mkono wa sheria na mahakama inayoagiza polisi. Ila Afrika Kusini tumeshona hata huyu wa Sudan aliyetafutwa aliweza kuondoka tena. Kwa hiyo watapata njia panya kwa Vladimir.Tusiende mbali.mfano wewe sasa ndo kiongozi wa nchi.unaweza kutoa amri kwa askari wako wamkamate Rais wa Urusi?.
Maana inajulikana kabisa kitendo cha kumkamata Rais wa nchi nyingine kwenye nchi yako ni sawa na kutangaza vita na nchi husika.je ! wewe upo tayari kuona nchi yako inaingia vitani na Urusi.
Jamaa ana uhaba wa silaha vibaya, anahaha namna ya kujitoa kwenye vita bila kujivunjia heshima.Dude kubwa anayechukua vifaru kutoka makumbusho (T54 - T55) ??
Wewe ndo hufuatilii taarifa au utakua umebase kwenye taarifa zinazotolewa upande mmoja.Bwana mdogo punguza uongo turudishie chenji asee.
Ile drone haikutumwa ku hit target yoyote bali ilikuwa kupeleleza ukanda wa black sea.
Ukiwa huna taarifa kamili una kunywa tu kahawa kijiweni hapo sio unapost huku uongo.
Ajabu ni kwamba kuna mazuzu wenzio wamekupa like kabisa.
Huyu jamaa anashangaza sana, hana hata habari kwamba Zelensky anazungumza na kuandika lugha ya Kirusi kwa ufasaha zaidi kuliko Kiukraine - na katika ujana wake ali ishi na kufanya kazi kwa miaka mingi mjini Moscow sio Kiev - hozi blog unazo tuletea hapa zinandikwa na Waukraine kwenye lugha ya Kirusi kwa lengo la kuleta propaganda za kototo, je,wewe kwa mfano ulikuwa unajuwa kwamba Zelensky alikuwa anamudu kuzungumza lugha ya Kirusi kwa ufasaha zaidi, lugha ya Kiukraine alikuja kufundishwa miaka ya hivi karibuni na bado hawezi kukimidu vyema.1. Unaweza kunihakikishia ni kwa vipi taarifa ya hiyo blogu ya urusi sio propaganda bali kauli ya raisi wa urusi ni propaganda? Umetumia kigezo gani kusema hii sio na hii ndio?
Siwezi kuamini habari ya blogu inayoelezea taarifa za silaha za nchi ambazo kimsingi ni classified. Wanapiga ramli tu.
Uwe unatumia akili sio kila jambo unataka kukurupuka tu.izo blogu kaandika nani?.maana mi nilijua utaleta blogu za serikali ya Urusi, unaniletea maoni ya mtu kutoka telegram [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Mkuu habari zako ziko mbali na uhalisia. Soma hapa blogu ya Kirusi Почему ВС РФ гонят на войну старые танки inaeleza kwamba kutokana na uhaba wa vipuli vya vifaa vya kisasa, vifaru hivi vya kale vinakusudiwa kama msaada kwa muda. Usiposoma Kirusi, hapa taarifa ya Kiingereza inayoeleza maudhui yake.
70-Year-Old T-55 Tanks Are ‘Expendable’ In Ukraine.
Hizo T 72 ziko kwenye maehesho, hii ni kweli, lakini hali ni mbaya, zinahitaji matengenezo na vipuli haviko (bado). Wachhina wameuza vichache kwa bei za juu...
Katika hizo base 200 hakuna base hata moja inayoweza kutunisha msuri dhidi ya russia.Mkuu upo sahihi, US kwa mfano ana Military zaidi ya 200 duniani, achana na hizo Submarine. Hii military base ya Poland ndiyo imeongezewa uwezo zaidi sababu ya uvamizi wa Ukraine - hapa tunapoongea ina wajeda zaidi ya 10,000.
Kwa hiyo ukipigana na Marekani - hakupigi kutokea Pentagon, sahau - anakutandika from nearby military base.
Sasa hapo tunasemea US, hatujagusa NATO na hatujagusa uwezo wa nchi moja moja za Ulaya. Putin si mjinga anajua kitakachotokea kama atatumia nuclear.