kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Sijui mlikoanzia, lakini tatizo la "Green energy" Ni "Consumption". Yaani hizo zinazoitwa Green energy ili kukidhi mahitaji ya nishati kwa dunia hii inayoongeza vifaa vinavyohitaji nishati hasa ya umeme, ni ndogo sana. Iwe ni upepo, joto ardhi au Jua, bado haijatokea teknolojia rahisi ya kuzitia hizo nguvu asili kwenye mkondo wa kuzalisha nishati ya umeme kwa wingi!!Aisee we jamaa una upungufu wa maarifa asa kwenye energy resources, hivi kwa karne ya sasa kuna energy gani rahisi ya kuendesha uchumi wa viwanda ukiacha makaa ya mawe, gesi na mafuta?, hakuna alternative ya hivi vitu kwa sasa na miaka mia ijayo, hakuna green energy inayoweza kureplace hvyo vitu kwa gharama ya chini na upatikanaji ukawa mrahisi.
Ukraine uwezo huo wa kipigana kwenye war fronts zaidi ya moja wameupata wapi??Kazi inaendelea [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]
Ukraine's defense forces repelled 48 Russian army attacks in the Lyman, Bakhmut, Avdiivka and Marinka sectors on Wednesday, March 29.#stoprussia #StopRussianWar #StopRussianAggression
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Do you understand the term "likely" dude?Russia likely lost 'large number' of tanks in fight for eastern town
Moscow is continuing to attempt to seize the eastern town of Avdiivka in the Donetsk region of Ukraine, the British defence ministry said this morning.
However, it has only made "marginal progress" - and this has reportedly come at the "cost of heavy losses in armoured vehicles".
The MoD added that the losses are likely due to "tactically flawed frontal assaults similar to those in other recent failed Russian armoured attacks, such as around the town of Vuhledar".
In its daily update, the Ministry of Defence said: "Russia's 10th Tank Regiment has likely lost a large proportion of its tanks while attempting to surround Avdiivka from the south.
"The regiment is part of 3rd Army Corps, the first major new formation Russia stood up to support the invasion of Ukraine since August 2022.
"Numerous open-source accounts suggested that 3rd Army Corps has been particularly dogged by problems with ill-discipline and poor morale."
==========================
Supa-pawa wa mchongo yupo hoi na dhoofu kuliko inavyosemekana na wanazi wake humu.
Kwa hiyo usilete habari za photoshop hapa. Kama hao watu kwenye picha, wakionekana hivyo Russia, kuna sheria za kuwafunga, kwa sababu kitendo icho ni haramu kwa sheria za Russia.
Hata wahuni wanazeeka Mzee [emoji28]
Akiwa na miaka 45 Zelensky amemzidi busara Mzee wa miaka 70, Putin!!
Mchina peke yake anamdai US zaidi ya trilion 2000 Tshs!In the latest reports, Russia National Government Debt reached 327.9 USD bn in Jan 2023. The country's Nominal GDP reached 619.9 USD bn in Sep 2022.
Yaani ni hivi, Mrusi anadaiwa Tshs Trillion 764
USA huko Syria anafanya Nini?Pamoja na hii Ushoga kuwa ni mbaya lakini bado Urusi ni mvamizi na hawezi kuungwa na mtu mwenye akili
Kwanini Avemie nchi za watu?
Tuwaombee NATO, USA na Ukrain
😆😆😆 Cause you know much about America than themselves🚮in your life never be faked with US. They will never ever tell you what their doing and to what level.
Waki,waki,waki,waki waki🚮🚮 Nini kinwazuia wasiende?NATO wakitia guu pale huyo mtume wenu Putin anafutika na nchi yake.
,[emoji28]Haya majamaa mawili yalipatikana mtaani katikati ya jiji la Moscow yakilana denda...
Ask Putin why this war has taken longer time than expected, he knows better than us.😆😆😆 Cause you know much America than themselves🚮